hapa udenda unawadondoka baadhi ya member wa jf

Inapandisha anndasi hiyo. Hapo soda na Big-G tu, usiku unakatika iiiize.
 
aiseeeee kitu cha Odonyo hicho dah! umenikumbusha arifu ngoja nikachukue kwa bibi zoba nipige kama rumbesa saba hivi dah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom