Raia Mwema
JF-Expert Member
- Jun 30, 2008
- 535
- 79
utakakoishia wewe napajua huna mda humu ndani
Mbona unanitishia mtanzania mwenzio...mmmmh hufai kuwa Rais na usigombee nitakunyima kura yangu.
utakakoishia wewe napajua huna mda humu ndani
Unaturudisha nyuma mbona jana Usalama wa Taifa wamesema Dr Slaa atoe ushahidi wa kuwahusisha na kuchachua yuko wapi? Wamesema pengine anaokoteza Maafisa Usalama barabarani wanamdanganya wao hawafungamani na chama chochote.
Tunangoja Dr Slaa kujibu kama anao ushahidi