hamnioni tena chit chat!

si ndio maana nikaambia anaitwa babu Asprin aka babu basha! ila mbona wote hao wake za watu au najua vibaya?? angemvizia 'The secretary ndio pangechimbika vizuri. lol!

Kwa The Secretary hathubutu anaogopa kushushwa mshipa?
 
Last edited by a moderator:
si ndio maana nikaambia anaitwa babu Asprin aka babu basha! ila mbona wote hao wake za watu au najua vibaya?? angemvizia 'The secretary ndio pangechimbika vizuri. lol!

Kwa The Secretary hathubutu anaogopa kushushwa mshipa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu convoy ndo liko superhighway,zikosuracommon chichat hutaziona tena.
mmmmhhhh! jaribu njia nyingine, hiyo ya kutishia nyau haitaweza kazi. na Kongosho swahiba wako ana taarifa juu ya hili?
 
Last edited by a moderator:
he he he heeeee
Yalaitiiii unglelijua ya moyoniii, si Bishangaaa wakuondoka jukwaaniii.
Kamwee hutoweza asilaniii, kutimkaaa katu hiyo sikubaliii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom