hamnioni tena chit chat!

Si ndio unapenda yale makitu?
Au siku hizi hupendi tena?

Nakumbuka kipindi kile unasutwa soko la Tandale, uko kama Wema wewe hujielewi wataka bara au pwani.
Na wewe uko kama shibuda,lol!
 
Asprin hafai kabisa,ndo kamshawishi zinduna animalize ujue.
Zinduna naye kafanya kweli, mpaka sare yako nimeletewa ofisini ya ngoma ya kilugwai. lol! sasa unamkabidhu nani wakezo, mi nataka jibu kwanza, nani unamuona ana afadhaliafadhali?? ila Bishanga wewe nikujuavyo, huchelewi kumrithisha mtu na tego ukaliset ukatuletea mambo ya kenya hapa, ukihama uhame jumla na matego yako beba!
 
Last edited by a moderator:
si ndio maana nikaambia anaitwa babu Asprin aka babu basha! ila mbona wote hao wake za watu au najua vibaya?? angemvizia 'The secretary ndio pangechimbika vizuri. lol!
Wake za watu?
Mh waume zao unawajua?
 
Last edited by a moderator:
Zinduna naye kafanya kweli, mpaka sare yako nimeletewa ofisini ya ngoma ya kilugwai. lol! sasa unamkabidhu nani wakezo, mi nataka jibu kwanza, nani unamuona ana afadhaliafadhali?? ila Bishanga wewe nikujuavyo, huchelewi kumrithisha mtu na tego ukaliset ukatuletea mambo ya kenya hapa, ukihama uhame jumla na matego yako beba!

Mkuu convoy ndo liko superhighway,zikosuracommon chichat hutaziona tena.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom