Usimsikilize TS ana hasira jana nimechelewa kurudi.
Vipi Amy hajambo?
Konnie ujue nna hasira,umeona kitu aliyonitenda zinduna? Hivi namwendea kwa fundi makorora on way back napitia kwa bi manyau kwa ali maua.
Afu unajua Konnie mi nnamheshimu sana huyu Mzee alietangaza kuhama, naomba huu ujumbe upitie kwako umfikishie kuna Bidada kanituma tumwambie Bishanga kua juzi alipolala nae alipoondoka Mkubwa alisahau Kabati yake, Bidada anasema kabla hajahama afate Kabati yake.Hivi bishanga, umeshapona ule ugonjwa?
Afu unajua Konnie mi nnamheshimu sana huyu Mzee alietangaza kuhama, naomba huu ujumbe upitie kwako umfikishie kuna Bidada kanituma tumwambie Bishanga kua juzi alipolala nae alipoondoka Mkubwa alisahau Kabati yake, Bidada anasema kabla hajahama afate Kabati yake.
Una ndoa wewe?
Yanakutoka rohoni haya bebi wangu?
Kuanzia leo chit chat kwangu itakuwa sawa na sentro kama sio Isanga,sikanyagi tena. Mzee mzima nahamia jukwaa la siasa na thread yangu ya kwanza huko itakuwa na title:
TANZANIA BILA JAMII FORUMS INAWEZEKANA.
kudadadadeeeeeeki halafu mwambieni Zinduni nimemfungia safari namwendea Pemba!