Hamad Rashid: CHADEMA ni chaka la wanaokimbia CCM

Ngoja kwanza.
hamad amesema CHADEMA inapewa fedha na baadhi ya makada wa CCM!!?
Hii kauli sio mara ya kwanza kuisikia.
 
tofauti ya Sofia Simba na Hamad Rashid ni jinsia tu. Upstairs wote ni sifuri!
 
Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid, amesema maneno yanayotolewa na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa CUF ni CCM B. ni ujanja unaotumika kuwahadaa wananchi, ili wasitambue uswaiba wa Chadema na CCM.
Alisema Chadema ni chama chenye uswaiba mkubwa na CCM na kwamba, kimekuwa kikipewa fedha na makada wa chama tawala, ndio kimbilio la vigogo wanapohama chama tawala, Alibainisha hayo juzi alipokuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa oporesheni kitaifa ya Zinduka, awamu ya pili itakayoendeshwa nchi nzima kwa viongozi wa Cuf kuwaeleza wananchi kuhusu mustakabali wa taifa hili.
Katika mkutano huo ulifanyika katika Uwanja wa Tangamano na kuhudhuriwa na Umati mkubwa wa watu. mbunge huyo alisema kauli iliyoanza kutolewa hivi karibuni kuwa CUF ni CCM "B" ni njama ya vyama hivyo viwili yaani Chadema na CCM kuwahadaa kwa makusudi wananchi wasijue kuhusu uswahiba uliopo baina vyama hivyo. alisema Chadema ina uhusiano wa karibu na CCM kwani ni chama pekee cha upinzani kinachoungwa mkono na baadhi ya vigogo wa waliopo madarakani. katika Serikali ya CCM na hata waliostaafu, Chadema inaangaliwa kwa jicho la karibu na CCM sababu imeandaliwa kwa ajili ya wabunge au vigogo wa CCM kuhamia, nadhani wenyewe mnashuhudia hakuna kigogo anayehama CCM na kuthubutu kuja CUF kwa kuwa wanao tuna msimamo usiokuwa wa kuyumba. alisema Hamad Rashid.
Source Mwananchi Machi 24, 2011
Hivi ukitoka bedroom ukaenda sittingroom utakuwa umehama nyumba? Hamadi Rashidi anawaza nini hasa? Mtu mwenye uelewa wa kawaida tu (rational) atoke CCM aende CUF halafu aseme amehama chama! Lazima uelewa wake uwe substandard,
 
Kweli Nyani haoni kundule hivi hawa wakina hamadi rashidi kina seif , kina haji duni na wengine walitoka wapi kama si sisiem
Kweli nimeamini MFAMAJIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII???????????????.....................................................
 
Mchawi mkubwa huyo Hamad Rashid na mroho wa madaraka. Amemfanya mwanae ndondocha kwa lengo la kupata madaraka. Anabwabwaja kwa sababu ya kukosa madaraka hana lolote, kubwa zima hovyoooo. Walio wengi ndani ya CUF walitoka wapi zaidi ya CCM?. Kweli nyani haoni kundule.
 
<p>
Kwa sasa, ndg zangu wana CUF ni vema mkafikiri jinsi ya kuwahamasisha watanzania ili wakipende chama chenu, bila hivyo yangu macho, siku si nyingi CUF kitapotea machoni mwa watanzania. Mlidhani kujiunga na CCM mtakuwa salama, hakika hapo mlicheza bahati na sibu, tunaelewa kuwa<b><i><font size="3"> Chatu</font></i></b> hata akishiba ustarabu wake ni wa muda mfupi tu. Subiri mumuone chatu huyo kama atawasalimisha.Kale kamchezo ka baba na mama naona hamkajui, time it will tell you.
</p>
<p>&nbsp;</p>

Ushabiki ni kitu kibaya sana isaya, kama kweli hamad rashid amesema maneno hayo nadhani hayana chembe ya uongo, kwani unadhani cdm inavyopokea hela kutoka kwa makada wa ccm kina mengi , sabodo nma wengineo unadhania siku cdm wakiingia madarakani wataenda kukutumikia wewe au sabido?
huoni yaliyomkuta ndugu yako ******? kina rostam na lowassa wamemchangiiiia mwisho wa siku kapata urais haya niambie hivi sasa anamtumikia mtanzania au dowans za kina rostam na wenzao.
What goes around comes around, hata siku moja usijedhania eti cdm watajitoa kwenye mikono ya matajiri,they wont na kama unadhania ndio ukombozi huko umepotea.
 
Kweli we Kishongo, maana ya jina lako kwetu ni mwenye uwezo mdogo wa kufikiri, hahaha huyo ni mpenda vyeo ni yeye aliyependekeza kuwa ili chama kiwe ni kambi rasmi ya upinzani iwe na wabunge asilimia 12.5 akidhani CUF itaendelea kuwa major opposition party.

CUF ni cha kislamu, angalia uongozi wake wote UTAPATA JIBU MWENYEWE, CHADEMA NI chama dume, baba wa taifa Mwl. Julius Nyerere alisema hiki ni chama Mbadala, eneo ambalo Hamadi Rashid anaongoza lina ukubwa sawa na KITONGOJI huku bara.

AMEFULIAAAAAAAAA!.....
Umesahau kubwa lao mtaalam wa kukurupuka .. DR Silaha.
 
kina hamad na hafifu mmwekwisha maaluni nyie. chadema ni imani na kiko wazi kwa yeyote aliye tayari kuikiri! we dont have pernmanent rival! hata wewe hafifu na kashongo mankaribishwa!
 
Umesahau kubwa lao mtaalam wa kukurupuka .. DR Silaha.

- Lipumba hakuwahi kuwa mshauri wa Mwinyi wa Uchumi - mCCM?
- Hamad Rashid si uswahiba wake wa awali na ccm na mkapa uliofanya mkapa amteue kuwa mbunge wa kuteuliwa?
- Ohh nimekumbuka Seif Shariff Hamad hajawahi kuwa m-CCM na waziri kiongozi wa SMZ.
-the list goes on....

roho mbaya tu ya hamd
 
...mtumbwi ni chombo muhimu huko zenji ila ni gogo la kuacha shambani litafunwe na mchwa huku tabora (bara)
so siasa za hamad ni gogo kwa wengi wetu na atuondolee wingu
 
Mmmh ndiyo maana kuna wanasiasa na wataalam wa siasa. Huyu jamaa ndiye anaonekana smart kwenye chama chake CUF. Na kama huyu genius wa CUF anaongea huu upupu (pupuka) sasa waliobaki itakuwaje? Kasahahu kuwa hata yeye alikuwa CCM.

Hilo ni swali la msingi: Genius wa CUF anapochemka, waliobaki inakuwaje
?
 
Historia FUPI ALIPOTOKA - CCM; kwahiyo how about CUF ni chaka hilo????

Hamad Rashid Mohamed.
This former deputy minister of finance in the Tanzanian government had been sacked from his post at the same time as Seif Shariff Hamad (the leader of the CUF) for having opposed the Chama cha Mapinduzi (CCM, government party). Mohamed has been a member of the CCM executive committee and an activist in favour of democratic reforms in Zanzibar. He was subsequently among the five Zanzibaris who founded the CUF and for a long time was in charge of the finances of this opposition party before eventually becoming its director of information. Hamad Rashid Mohamed was accused of treason and imprisoned in 1998 for allegedly trying to overthrow the President of Zanzibar. Now 53, he has twice been a widower and is the father of ten.
 
mbunge wa wawi, hamad rashid, amesema maneno yanayotolewa na viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kuwa cuf ni ccm b. Ni ujanja unaotumika kuwahadaa wananchi, ili wasitambue uswaiba wa chadema na ccm.
Alisema chadema ni chama chenye uswaiba mkubwa na ccm na kwamba, kimekuwa kikipewa fedha na makada wa chama tawala, ndio kimbilio la vigogo wanapohama chama tawala, alibainisha hayo juzi alipokuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa oporesheni kitaifa ya zinduka, awamu ya pili itakayoendeshwa nchi nzima kwa viongozi wa cuf kuwaeleza wananchi kuhusu mustakabali wa taifa hili.
katika mkutano huo ulifanyika katika uwanja wa tangamano na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa watu. Mbunge huyo alisema kauli iliyoanza kutolewa hivi karibuni kuwa cuf ni ccm "b" ni njama ya vyama hivyo viwili yaani chadema na ccm kuwahadaa kwa makusudi wananchi wasijue kuhusu uswahiba uliopo baina vyama hivyo. Alisema chadema ina uhusiano wa karibu na ccm kwani ni chama pekee cha upinzani kinachoungwa mkono na baadhi ya vigogo wa waliopo madarakani. Katika serikali ya ccm na hata waliostaafu, chadema inaangaliwa kwa jicho la karibu na ccm sababu imeandaliwa kwa ajili ya wabunge au vigogo wa ccm kuhamia, nadhani wenyewe mnashuhudia hakuna kigogo anayehama ccm na kuthubutu kuja cuf kwa kuwa wanao tuna msimamo usiokuwa wa kuyumba. Alisema hamad rashid.
Source mwananchi machi 24, 2011

hivi maalim seif naye yupo ktk operation hiyo? Mbona sijamsikia?
 
Sema sema sema mheshimiwa ni la mwiisho Chadema ni chama cha Kikanda, kikabila na Kidini zaidi.

Mbona ruksa kama ni hivyo huwezi kumlazimisha Muhaya ale pweza ima mpemba ale senene kula kitu roho inapenda.
niende cuf ipi!
cuf mageuzi!
cuf upemba!
cuf udini!
cuf uccm!
Kazi kweli kweli mmesha kuwa Adui no1 wa taifa letu.
 
kufirisika ki fikra na kisiasa!! CDM ni chama makini kinachovutia wananchi wengi hata kutoka ndani ya vyama vingine mbalimbali ccm/cuf vikiwemo kwa sababu ya kusimamia ukweli na kupinga ufisadi kwa dhati. Kina historia njema machoni mwa watanzania,na ni chama mbadala kuwavusha watanzania katika changamoto za leo baada ya ccm kushindwa.
Hebu ondowa jazba na uisome tena hiyo habari pengine kuna kaukweli wa namna fulani. Ukweli wauma hata hivyo lafiki yangu
 
Mbona ruksa kama ni hivyo huwezi kumlazimisha Muhaya ale pweza ima mpemba ale senene kula kitu roho inapenda.
niende cuf ipi!
cuf mageuzi!
cuf upemba!
cuf udini!
cuf uccm!
Kazi kweli kweli mmesha kuwa Adui no1 wa taifa letu.

Badilisha haya kwa uhaya na ukristo na hoja yako itanoga.
 
Back
Top Bottom