Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 3,771
- 11,865
Vipaumbele vyetu ni fursa za watu kupiga, wakati wa kuandaa bajeti ndio muda ambao watu huwa wanachomeka fursa za kupiga.Hili ni suala la upigaji. Tunahitaji kamera wakati watu wengi wanafariki kwa magonjwa ya kutibika? Wanaofariki kwa uhalifu wanafikia hata 1/100 ya wanaokufa kwa kukosa mahitaji muhimu? Kwa taarifa yao ni kuwa kamera kama hizi haziwezi kuzuia uhalifu hasa kwenye mazingira kama yetu.