Hahaha! ukitaka kumfahamu mtu mwangalie rafiki yake,kwahiyo mbwiga+mbwiga.na wewe utakuwa bonge la mbwiga, so two mbwiga friends
Hahaha! ukitaka kumfahamu mtu mwangalie rafiki yake,kwahiyo mbwiga+mbwiga.na wewe utakuwa bonge la mbwiga, so two mbwiga friends
Aisee mie yule baba wa binti ndio huwa ananikosha.anatabasamu zuri sana lenye kumtoa nyoka pangoni.yaan nataman ningekuwa infii wake maana yule mzee anajua kubembeleza.angekuwa ananiambia 'chanda chema huvishwa pete mpnz'