Haloo Mpenzi... Ndo niko kona ya mwisho hapa..

Hii JF bwana hata tv kuangalia huwa siangalii mi nikifika tu ni jikoni nikimaliza chimbani kusurf kha inabidi nipunguze kidogo maana hata matangazo kama haya mazuri yananipita siyaoni
 
na kati ya matangazo yote ya hapa tz, lipi unalipenda na kwa vigezo gani?

binafsi nilikua navutiwa sana na lile la zain la 'uhuru wa kuongea,eenh,eenh".sababu za msingi ni lile sebene la ngwasuma bana,toto kalala na seven wanapokezana tu,liko powa.lakini pia one of the models amewahi kutumika na mimi bana,na alikua powa mbaya.(though i dont luk back at it with nostalgia!)
 
Mi silipendi lhalipo Real, Yule dada anaonekana kabisa kuwa anaigiza!!!
La longa Longa la tigo lipo mzuka jamaa anakumbusha mavazi ya zamani ya kina Michael jackson!!!
 
"Chanda chema huvikwa pete" nimemkumbuka Juma Bhallo na wimbo wake wa Pete.
 
binafsi nilikua navutiwa sana na lile la zain la 'uhuru wa kuongea,eenh,eenh".

ni tangazo la muda mrefu uliopita ndiyo ambalo niltokea kulipenda sana
1) Mshkaji amekaa ktk benchi 1 na demu ambaye yupo kivyake. Anatoto vijitoyz ki1 ki1 ktk mkoba wake, at ze end anatoa soda ya cocacola na kumpa yule demu huku akimuambia "its fou you". Demu mwenye mvuto na sura ya kibrazil huku akitawaliwa na rangi ya kiafrika, anaonesha tabasamu la nguvu na kuipokea. Nililipenda coz ni zuri pia ni fupi sana, ilikua halibowi.
 
Katika makampuni yote ya simu Kampuni yenye matangazo yenye akili ni TIGO peke yake .Matangazo ya TIGO yametengenezwa kwa umakini sana, yako natural, real, and I think huwa ni ya gharama sana.(Though huduma zake hadi sasa ni mbovu na inavuta mkia kwa hilo).
 
Aisee mie yule baba wa binti ndio huwa ananikosha.anatabasamu zuri sana lenye kumtoa nyoka pangoni.yaan nataman ningekuwa infii wake maana yule mzee anajua kubembeleza.angekuwa ananiambia 'chanda chema huvishwa pete mpnz'
 
Aisee mie yule baba wa binti ndio huwa ananikosha.anatabasamu zuri sana lenye kumtoa nyoka pangoni.yaan nataman ningekuwa infii wake maana yule mzee anajua kubembeleza.angekuwa ananiambia 'chanda chema huvishwa pete mpnz'

Chanda chema?...indeed.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom