Halmashauri ya Jiji la Dar yawakaanga Ridhwani, Mama Salma

Umerogwa? Hivi kosa la gazeti hapo ni lipi? Uloibiwa ni wewe, gazeti linakujulisha tu wizi huo ulifanyikaje. Badala ya kuchukizwa na wizi huo na wezi hao, wachukizwa na gazeti. Grow up!
Unajuaje kaibiwa? labda huyu ndo mwizi mwenyewe, au ni ndugu wa mwizi!
 
Hivi ndivyo vilivyokuwa vinasababisha meya wa jiji kutotangwazwa mapema itajulikana tuu
 
haya mbona mambo ya ajabu kabisa. sasa mamlaka ya nchi inasubiri nini. hawa wahuni na washirika wao wangekamatwa maramoja. msajili wa hazina nahalmashauri
ya jiji waunde bodi mpya wakachukue uda toka mikononi kwa hao matapeli. ikiwa lazima nguvu ya dola itumike kutwaa uda na kuwatia nguvuni matapeli wa mali ya umma.
 
Kama yanayosemwa ni kweli ni wakati sasa wa ukawa kwenda mahakamani,ili uda iludi mikononi mwa jiji.wakishindwa kui rudisha uda mikononi mwa jiji nitaanza kutilia mashaka uwezo wao.maana kutuhumiana tu sasa imetosha ni wakati wa kuchukua hatua ziwe za kisiasa au za kisheria.
 
labda watumie nguvu,kisheria hawatashinda,mtu akinunua hisa za kampuni ikavuka asilimia 50,maana yake yeye ndo anacontrol kampuni,pawepo akidi ama pasiwepo akidi
 
Huwezi kusema umenunua kampuni kwa kulipa 24% tu ya bei ya kununua na pia maamuzi ya kuuza kampuni yaliyofanyika katika kikao haramu (Kwenye mkutano huo ambao pia uliohudhuriwa na Isaya Mwita Charles, Meya wa Jiji la Dar es Salaam Kubenea amesema, mkutano uliokabidhi UDA kwa Simon Group uliitishwa bila baraka za wenye mali – Baraza la Madiwani la Jiji na Msajili wa Hazina na kwamba, ulihudhuriwa na watu wanne tu.)

labda watumie nguvu,kisheria hawatashinda,mtu akinunua hisa za kampuni ikavuka asilimia 50,maana yake yeye ndo anacontrol kampuni,pawepo akidi ama pasiwepo akidi
 
labda watumie nguvu,kisheria hawatashinda,mtu akinunua hisa za kampuni ikavuka asilimia 50,maana yake yeye ndo anacontrol kampuni,pawepo akidi ama pasiwepo akidi
kama ndivyo tushaliwa mazimaaa, ila hawajamaaa ni noma aiseee.suluhisho ni nini?
 
Back
Top Bottom