hili gazeti si ndio lile lile lilikuwa likitaka Lowass ma kina Sumaye na wengine ni mafisadi papa.baadae wakabadili gia angani kwa maslahi yao binafsi wakaamua kuwasafisha. gazeti hilihili likaanza propaganda za kuwasafisha utafikiri wao ni vyombo vya dola vya uchunguzi. wakalamba walizolamba biashara ikaishia hapo. leo wanatakaje tuwaamini tena. labda ipite miaka 50 mingine ya uhuru. kama wana ushahidi wakimbilie mahakamani wasituhusishe na maujinga yao. watu wanajitambua sasa hatutaki uhuni wao. watu sssa hivi wako busy na kazi tu.
Kwani wewe unaamini nini ndugu au ungependa watu wote waamini nini? Niaminivyo mimi ni kuwa ni sahihi zaidi kusikiliza pande mbili ili uweze kubalance story, kusikiliza upande mmoja daima unaweza ukawa biased. Simtetei Lowasa wala sisemi hana kosa au si fisadi, ila UKAWA/CDM walimsikiliza Lowasa wakaweza kubalance story tofauti na walivyoamini mwanzo kuwa kadhia yote ya Richmond ilimuhusu yeye, kumbe kuna kinara wa hilo zengwe.
Tena basi mbele ya kadamnasi Mbowe alielezea kuwa Lowasa ametubu na kukiri alipokosea na akakubali pia kuishi sawasawa na sera za CDM. Mtu huwa hasamehewi? Poa uchaguzi umekwisha tuganye yajayo huku tukitoa support kwa rais aliye madarakani maana bila support hataweza ukizingatia system ya CCM inavyo operate. Uongo na ushabiki wa kichama au kikanda haufai, hatutajenga nchi, tutazidi kubomoa
Mkuu, labda na yeye ni mmoja wa ma-stakeholders wa Kampuni, aingii akilini MTU mwenye akili timamu kutetea uozo kama huo.
Na kampuni ikishakuwa na hisa halafu ziwe sokoni,unaweza leo ukawa majority shareholder,kesho ukawa hauna control ya kampuni kama share zako zinapungua,
sijui hizi share za UDa Zimeuzwaje,lakini SIMON GROUP sio wajinga wainvest mabilioni yao katika UDA ili baadae Uda ichukuliwe,lazima wameangalia kama sheria iko upande wao ama vipi,sasa huyu mhitimu wa darasa la saba pamoja na elimu za hapa na pale ngoja tuone hii gemu atafika nayo wapi...
Hii Game haitaki hasira
mwanahalisi ni kitu gan wewe? we jenga hoja mwanahalisi ni watu tu kama wewe hofu yako nn? hapa hatujadili mwanahalis tunajadili uwiz wa uda we unawatoa watu ktk wizi unakimbilia mwanahalis, upo sawa kwel wewe?
Sitaki kutetea Simon Group kwa sababu ni majizi na wanatakiwa wawe mahakamani.
Kinachoshangaza ni baadhi ya watu hapa Jamiiforums wanataka kutuaminisha ni wazalendo lakini hawana lolote. Hao ni wanafiki wanaojificha katika kichaka cha ujinga na usahaulifu wa Watanzania.
Kwa sasa ukimgusa Lowassa wanakuambia peleka ushahidi mahakamani lakini wakati na wao walimgusa huyo huyo Lowassa mpaka kumuweka kwenye list of shame wakiwa hawataki kusikia neno peleka ushahidimahakamani.
Wamiliki wa gazeti la Mwanahalisi wametajirika kwa sababu ya kuandika habari/makala za ufisadi wa Lowassa na genge lake.
Leo hii wanataka tena kutajirika kwa kuandika makala za kumsafisha Lowassa na genge lake.
Kwa sasa tunaambiwa na Mwanahalisi kuwa, Lowassa na genge lake ndiyo wanafaa kusimamia maslahi ya nchi huku wakimsafisha bila ushahidi!
Kundi la wanafiki lipo nyuma ya Mwanahalisi likipiga vigelegele na nderemo!
Kampuni inaweza uzwa hata kwa shilingi 100 kama wauzaji wanaamua kuuza.simon group yeye ni mnunuaji tu,
hii story inatakiwa mtu kuifuatilia nyuma kuanzia genesis ya harakati za kuiuza uda,
ijulikane kabla haijauzwa ilikua na asset zipi na kwanini waliuza kwa bei ndogo,au kwanini bei ya hisa ilishuka.
Pia ieleweka bei za hisa hushuka na kupanda kufuatana na namna kampuni inavyoperform.
Mfano hisa leo inaweza kuwa tsh 1000,kesho ikabadilika na kuwa tsh 500,kwamaana hiyo thamani ya kampuni husika inakuwa imedrop,
ni kawaida katika biashara
Unafahamu maana ya Pathetic au unaandika tu ili uonekane umeandika neno la kiingereza? Angalia usije ukaonekana mjinga.
Wewe unadhani kama siyo genge la wanamtandao haya matatizo ya UDA yangekuwepo?
Wewe unadhani kama siyo waanzilishi wa wanamtandao kufarakana, hizi kelele za UDA ungezisikia?
Mimi ninaangalia chimbuko la tatizo la UDA, wewe unaleta hoja ya matokeo ya tatizo.
Yes, Lowassa ni chimbuko la ufisadi wa UDA.
Hiyo ni typical feature ya CHADEMA!Vipi kuhusu pendekezo la CAG unaliongeleaje hilo?
Kweli nimeamini mtanzania ukitaka kunyonya vizuri mkaririshe kwamba Mtu wa champ chetu hata akiiba mtete even till the last drop of your blood.
Hapo utamuibia kiulainii..yeye atakazana kutetea tu.
Hapa hazungumziwi Lowasa na wala sio mada hiyo.Sitaki kutetea Simon Group kwa sababu ni majizi na wanatakiwa wawe mahakamani.
Kinachoshangaza ni baadhi ya watu hapa Jamiiforums wanataka kutuaminisha ni wazalendo lakini hawana lolote. Hao ni wanafiki wanaojificha katika kichaka cha ujinga na usahaulifu wa Watanzania.
Kwa sasa ukimgusa Lowassa wanakuambia peleka ushahidi mahakamani lakini wakati na wao walimgusa huyo huyo Lowassa mpaka kumuweka kwenye list of shame wakiwa hawataki kusikia neno peleka ushahidimahakamani.
Wamiliki wa gazeti la Mwanahalisi wametajirika kwa sababu ya kuandika habari/makala za ufisadi wa Lowassa na genge lake.
Leo hii wanataka tena kutajirika kwa kuandika makala za kumsafisha Lowassa na genge lake.
Kwa sasa tunaambiwa na Mwanahalisi kuwa, Lowassa na genge lake ndiyo wanafaa kusimamia maslahi ya nchi huku wakimsafisha bila ushahidi!
Kundi la wanafiki lipo nyuma ya Mwanahalisi likipiga vigelegele na nderemo!
Kapuya ni mwanachama Wa ccm . je ni sawasawa ccm kuwa na mwanachama mwenye ushirikiano na kampuni ya kifisadi!?Kampuni ya Kapuya (swahiba wa Lowassa) ndo inayoosha magari yote ya UDA kwa Sh 140,000/- kila wiki kwa kila gari.
mimi ni Tingo wa uda,nna hakika kisena kuitema UDA ,labda auze hisa zake,tofauti na hapo mnapoteza mda tu,Kama wewe sio Kisena bila shaka utakuwa dereva Wa UDa. Sasa kamwambie Kisena kuwa kama yule lofa mpumbavu alivyoitema Kiwira na yeye ni suala la muda tu kabla hajaitema UDA. Majambazi wakubwa nyie. Ila asihofu hiyo migari yenu mutaanzishiwa njia mpya ya upendeleo ya Mbezi Kibaha mtakwenda huko kama walivyowapendela njia ya Nazi Mmoja Kivukoni. Kwa hiyo usihofu Ndugu ajira yako iko pale pale labda kama bosi wako aamue vinginevyo.