denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,511
- 68,150
Hayo maneno aliyosema Mdee hata kama yanakera lakini yana ukweli ndani yake, nikikumbuka lile sakata lao lilivyoanza, wapo watoto wa Bawacha kule twitter walimpachika Mdee majina kibao ya hovyo, siku hizi naona wameanza kupoa, sijui wameona dalili gani.
Naona Mdee ndio anaanza kufunguka, sijui nae hizo nguvu na confidence anavitoa wapi...
Naona Mdee ndio anaanza kufunguka, sijui nae hizo nguvu na confidence anavitoa wapi...