Halima Mdee amtafutia Lulu wakili

Tunaangalia upande mmoja tu kuwa mtu aliyependwa sana kafa. Amekufaje? Kwenye mazingira ya zinaa........... na kabinti kadooogo.
Kimsingi, yule dada atakapoachiwa huru, tutaomba kibali cha mahakama cha kufukua maiti ya mbakaji na kisha kuichapa viboko.
Tukichelewa tu...... watamtangaza mwenye heri........

Kweli towashi ww km jina lako na mawazo yako ya kiseng* tu!
 
Halima Mdee anajidhihirisha jinsi alivo mnafiki na anayependa cheap popularity kupitia migongo ya watu wengine. Watoto wangapi wako jela haja wahi hata kwenda kuwaona acha kuwapelekea sabuni, kwa nini Lulu? What about Rama Mla watu? tena yeye aliwekwa jela ya watu wazima sio ya watoto kwa nini hujamtetea hadi leo hii?

Bi Halima Mdee unajidhalilisha kwa hili. Una uhakika gani kuwa Lulu ana miaka 17 wakati mwenyewe alikiri kuwa she already 18 kwa hiyo mwaka huu ni 19?

Halima Mdee anataka kuoga matope akidhani atapata umaarufu kwa hili, she's wrong. Hata hivyo kinachoniuma ni kwamba wapinzani wa kisiasa wanaweza kutumia kosa hilo kuchafua chama chetu makini CDM. Very bad!
 
we leonardo akili yako haiko sawa coz c kila mtu anaeenda jela atetewe na halima. we ndo mnafiki coz huna hoja.mbna wasanii wengi wamekufa hawajazikwa na alaiki km kanumba.kila mtu na perception yke hapa dunian,halima awe na uhakika wa miaka ye mamake lulu?Wazaz wke ndo wamesema na b.certificate. .K2 kingne mcmlaum na kumhukum mamake lulu km hujazaa tulia subiri yko hawa watoto wa cku hzi.

Ww hujatulia. Mbona yanakutoka mengi hivyo kumtetea lulu? Marehemu pia ana haki zake ktkt hili. Cha msingi tusubiri uchunguzi ukamilike ili haki itendeke pande zote 2. Acha ushabiki, majonzi ya Mama Kanumba ni makubwa klk ya Mama Lulu.
 
Wakati Lulu anafanya mambo ya kikubwa, aliachiwa kwamba ni mkubwa, na mwenyew alikiri EATV kuwa she is 18 yrs old. Sasa leo amepata na mabalaa ndipo umri unapokanwa na kuonekana mtoto.Halima, kama kweli unataka kumsaidia huyu binti, fanya hivyo hakuna anayekuzuia ila sio ufanye kwa kujitangaza na kujisifu as If huyo aliyefariki naye si mtu na hana ndugu wala jamaa. Watu wameumizwa na huu msiba, nadhani ufike wakati wa kuacha kutafuta umaarufu kupitia mambo mazito kama haya. . Na ujue pia sio kila mtu amefurahia kitendo hicho, uelewe pia hata huyo Kanumba nayeye ana ndugu na jamaa, kama angekuwa hoi hosp lazima ungesikia nduguze wakihangaika ila kwakuwa ameshafariki ndo unaona kimya. Kikubwa iachiwe mahakama ifanye kazi yake ili haki itendeke,kama amehusika haya kama hakuhusika basi . Hakuna anayetaka Lulu aonewe ila haki itendeke , tumekuwa tukisoma msg zenu eti she is only 17 yrs na umeona cheti chake cha kuzaliwa, ...so what?? wewe sio hakimu, kaa kimya achia watu wafanye kazi yao .!!

I strongly support Mama Ngina!
 
I STRONGLY BEG TO DIFFER!
Sipingi Lulu kupatiwa usaidizi wa kisheria kwani hiyo ni haki yake kisheria na ninaunguana na wote wanaopinga kutoa hukumu kabla ukweli haujajulikana katika kesi hii. Napinga mwelekeo wa wote wanaojipanga mgongoni kwa Lulu kutoa mtazamo wa kumhuhukumu Kanumba kana kwamba walikuwepo wakati wa tukio. Kumsaidia Lulu haina maana kushinikiza aonekane innocent hata kama ukweli uko kinyume chake.UWONGO WA LULUBahati mbaya mtu pekee anayejua ukweli 100% juu ya kifo cha hayati Kanumba ni MWONGO MNO na hii ndo inayonitia mashaka kama ata-cooperate 100% kufunua yaliyofichika na ambayo anayajua yeye tu.1. Lulu alifanya sherehe babu kuwa ya birthday mwaka jana alipotimiza miaka 18 na hivyo mwaka huu anapashwa kuwa 19! Ni kwa faida ya nani leo tunajisahaulisha hilo?2. Lulu ana leseni ya kuendeshea gari ambayo kisheria haitolewi kwa U18!3. Huyo “msanii” aliyempa lifti mara baada ya kuchoropoka kwa Kanumba ni kweli walikutana nje kwa nasibu (coincidently)?HALIMA MDEEInatia moyo kuona wapo watu kama akina Mdee waliojitokeza kumsaidia Lulu asilaliwe katika kesi yake. Mdee (and co.) alikuwa ndiye wa kwanza kujitokeza hadharani kwenda kumsalimia/kumfariji Lulu mahabusu. Ni kutoka kwa Mdee huyo huyo kwa mara ya kwanza ikaanza kusikika kuwa ati umri wa Lulu ni miaka 17! Na ati ameona cheti chake cha kuzaliwa! Alimkuta nacho mahabusu? Inanisikitisha wameanza kwa kumsaidia kusema uwongo na hapo ndipo wanapoongeza mashaka juu ya nia yao. · Walikuwa na kisa na hayati Kanumba?· Mbona kuna watoto wengi gerezani na mitaani wenye matatizo kama ya Lulu au na kuzidi; amesaidia wangapi? Kwa nini anaanzia katika hili? MR. “X”Ni dhahiri sasa kwamba Lulu alibadilisha mawazo ya kutoka na hayati Kanumba ili atoke na mtu mwingine (say Mr. “X”) na ndiyo stori yote inaanzia hapo na kuishia kwenye mauti ya Kanumba. Kwangu mimi Mr. “X” ndiyo msababishi halisi wa kifo cha Kanumba either directly or indirectly. Ni Lulu tu (bila shaka na huyo msanii “aliyempa lifti”) ndiye anayemjua Mr. “X”.· Kama ilikuwa ni ajali tu ya kuteleza na kuanguka halipashwi kuwa jambo gumu kwa Lulu kulieza mahakamani. Aliteleza akaanguka.... aliteleza akaangu, basi! Sasa kwa nini aanze na vituko vya kudanganya umri kama hana jambo la kuficha?· Kwa nini tusifikiri kwamba yumkini kifo hiki ni planned na Mr. “X” under Lulu’s fullest cooperation? MY TAKEMsaada mpatieni Lulu, ni haki yake, lakini:· Msimsaidie kusema uwongo ili maswali haya magumu yajibike na ndipo haki itatendeka.· Mwenye nia ya kujitafutia umaarufu katika kesi ya Lulu afadhari alambe uchochoro mapema. Lulu ameshatumika vibaya mara nyingi huko nyuma; Nobody should take undue advantage of her situation any more for their selfish ends!

Nimependa sana hoja zako.
 
.
..........Tukichelewa tu...... watamtangaza mwenye heri........

hahahaha.....hiyo nayo kali, ni kweli unayosema maana duniani kuna vituko kila kukicha!
Kila mmoja anatafuta umaarufu kupitia mgongo wa tukio fulani.
 
ingekuwa vyema kama mheshimiwa mbunge kama mwakilishi wa wananchi wote bila kujali umri, jinsia nk angejitolea kwa uwezo wake wote kuhakikisha kwamba kunakuwa na fair trial na kwamba pande zote zinazohusika zinatendewa haki... tatizo la wanasiasa wengi ni kujaribu ku-capitalise kwenye situation yoyote kwa ajili ya political gain
 
Na muunga miguu yote Halima ,lakini mbona ni kwa lulu tu mbona kuna watoto wengi wananyimwa haki zao na anasikia kila siku lakin hafanyi chochote,isije ikawa ni kutafuta umaarufu .
 
Nimependa sana hoja zako.

Looks like Mlitika has edited his post, you can have it clean. Mwanzo nilikuwa nimepata shida kuunganisha mawazo yake lakini sasa naona kayapanga poa! It is a good argument!
 
Mahakama zenyewe ndo hizi zilizomnyanganya lema ubunge eti kwa sabb ya kutukana?! huyo halima misifa tu hana lolote!:A S-omg:
 
Mahakama zenyewe ndo hizi zilizomnyanganya lema ubunge eti kwa sabb ya kutukana?! huyo halima misifa tu hana lolote!:A S-omg:


Kabla ya msaada wowote Lulu abinywe hadi amtaje huyo Mr. "X" kama Mlitika anavyomwita. Stori yote iko hapo eti!
 
Ana haki ya kusaidiwa... Wasiwasi wangu hawa wasaidiz mbona hawakujitokeza kumsaidia binti wakati anaharibikiwa kimaisha? Naunga mkono asaidiwe na tufikiri kinyumenyume, kama lulu ndo angefia mikoni mwa R.I.P Kanumba ingekuaje?
 
JF bwana....
Huyu Halima angekuwa ni Mbunge wa CCM ungeojna jinsi watu wangemchalula humu ndani,ungesikia tu ooh hana kazi za kufanya,anaacha kutekeleza ahadi alizoahidi mwaka 2010 anakazana kujiapiza kumsaidia Mtuhumiwa,lkn ksbb ni wa kwetu basi watu tuna'tend kushabikia kila anachokifanya hata kama si utumbo.
 
Back
Top Bottom