Halima Mdee amtafutia Lulu wakili

Huyu ndiye Lulu? Hizi picha ni very risque. Ni vizuri Halima Mdee amtafutie wakili. Hii yaelrkea ilikuwa involuntary manslaughter,kwamba,Stephen alimwambia,Ulikuwa unaongea na nani katika simu ,dear? Twende ndani,nikuchape nikufundishe tabia nzuri.
 
Jamani ktk hili I think mahakama ndio muamuzi wa mwisho kwani huko ndiko kunako sheria na mahakama ndio yenye ukweli wa mtuhumiwa kulingana na maelezo yake wakati wa mahojiano
 
lulu ni mtoto, umerudia tena eti umeona cheti cha kuzaliwa, mara anategemewa na mama yake. mh! unazidi kuniacha hoi. Unajua wazi huyu binti keshapanda kizimbani kwa charge ya murder, wewe ni lawyer, unajua rule of law ni nini. unapigania maadili majukwaani kila siku, hayo maadili yataanzia hewani? binafsi, namuonea sana huruma huyu mtoto Elizabeti Michael ila nina hamu ya kujua huyu BINTI Lulu anahusikaje au hahusiki na kifo cha kanumba. Unataka utusahaulishe vimbwanga vya binti Lulu kirahisi hivi? mtoto mdogo usiku mkubwa anakuwa kwa mwanaume? Acha sheria ichukue mkondo wake. unatamba kuwa out of 40 ni watu 10 tu wanaokupinga, naomba nikukumbushe mageuzi ya vyama vingi, majority walipenda chama kimoja kiendelee(mangumbalo) lkn wenye akili wachache walitaka vyama vingi. Hii itakula kwako, mi napost 4 the 2nd time tatizo lenu politians huwa mnafikiria mnajua kila kitu encyclopedic perception. pole nafunga domo langu, tukiwa hai nitakukumbusha.

Hoja yako haina maana ndugu unayepingana na Mh Halima Mdee ni kwamba moja kwa moja wewe ni mbumbu wa sheria,sasa maadili unayosema Mh Mdee anayopigania majukwaani ndio haya sasa ya haki itendeke kwa wote nakupa akiba ya maneno Elizabeth Michael (Lulu)she is not a murder as you say she's still innocent until kama sheria itamtia kuwa quilty sasa hapo ndo utasema she is a murder rudi shule kasome au jaribu kupata mtu wa karibu akueleweshe jinsi kesi kama hizi zilivyo am not a lawyer but sheria nyingi sio lazima uwe Lawyer
 
Jamani watanzania tuache kujadili umri wa mtu wakati wa matatizo kwa muda wote huu wa matukio mabaya ya LULU ikiwa pamoja na kupiga picha za uchi tulikuwa hatuambiwi kuwa huyu ni mtoto ila sasa anakabiliwa na kesi jamii inaona kuwa yeye ni mtoto tuiachie mahakama ifanye kazi yake ya kutenda haki,naionekane haki ikitendeka
mdee anachemka....

mtoto wa babu seya alikaa segerea akiwa na miaka 17 tu... umri isiwe kigezo cha haki kutotendeka plus kuna ushahidi wa interview mbalimbali anaukana udogo hadharani na kusema she is 18 .. tuacheni mahakama iamue..
 
...hv mdee amekutwa na nn? S ni lulu aliyegoma kujieleza k2oni akidai mpak afike mwanasheria wake?
 
Kwani umri mdogo ndio kibali cha kuua na kutokutwa na hatia? Ok kumbe ukiwa under 18 unaweza ua na kuondoka scott free.

Upande wa pili wa shilingi je? ukiwa msanii ni ruksa kutoka na under 18! na je? ni wasanii wangapi wamebaki wa style hii, vilevile hawa tuwadhibiti vipi? maana mitoko yao inaanzia saa 6 usiku tobaaaaaaa!!!!!!:nod:
 
Kwani vyeti bongo havitengenezeki?

Ingekua nchi yenye record zakueleweka hata mimi ningemuona huyo mbunge ni mtu wa maana.

Ushabiki unapotawala fikra za mwanadamu ni mbaya sana.Inamaana wewe kama mwanamke hujui ni jinsi gani wanaume wenye pesa/majina wanavyowarubuni hawa dada zetu wenye umri mdogo!?.Inamaana hujaona dhambi waliyomtendea huyu binti kuanzia akiwa na umri mdogo mpaka sasa ameharibikiwa na kudanganya umri ili awe analala kwa wanume!?

Nani wa kulaumiwa hapa kama dada /mama/shangazi ambao waliyashinda hayo mapito hawatasimamia hili ili iwe fundisho kwa wanaume wanatuharibia watoto!?.Halima yupo sahihi kwani kuna watoto ambao leo hii wanahadaiwa na hawa wanaume wenye pesa /umaarufu kesho na kesho kutwa watakuwa Lulu mara 100 .Je tutamlaumu nani?

Samahi kama wewe ni mwanaume mwenye jina la kike humu jamvini.
 
Duniani kuna mambo na vijambo, Watanzania wengi wameamua kumbeza na kumhukumu Lulu kuwa ni muaji na mtu asiyefaa ilhali wamesahau kuwa hawana haki ya kumhukumu kwani shughuli ya kuhukumu inafanywa na Hakimu Duniani ila Mbinguni itafanywa na Mungu na hapo ndio hata Hakimu mkuu wa Tanzania atapata kuhukumiwa.

Tunapaswa kufahamu mtuhumiwa si muaji hadi itibibitishwe ndio Sheria ifate mkondo wake.

Kwa kuwa Binadamu wanatofautiana kiaina aina kiasi kwamba nikionacho kuwa hakinifai humfaa mwingine.
Nichafuapo hewa kwa kushuta wengi hawafurahi ila kuna viumbe kama vile nzi watafurahi mno!
Nikifa seremala atafaidi kuwauzia ndugu zangu jeneza litakalo nizika ilhali wengi watanililia hata kama idadi haitakuwa kubwa kama ile iliofika kumwaaga Msanii Stephen Charles Kanumba.

Baada ya kusema haya yote ngoja niwaombe watanzania wenzangu kuwa tusimhukumu yeyote ambaye yuko tayari kuhakikisha haki imetendeka dhidi ya Msanii Lulu kwani pia ana haki zake za kimsingi.

Jamani tusiwabeze, tusiwachukie Mawakili, wasanii, watu binafsi, wazazi wa Lulu pamoja na wabunge Zitto Kabwe na wengineo wakiongozwa na Halima Mdee ambaye amehapa liwe na liwalo lazima atamsaidia Lulu. Na mnukuu katika mtandao wa twitter http://twitter.com/halimamdee >Na hii itakuwa
tweet yangu ya
mwisho khs
lulu. Tuache
sheria ichukue
mkondo wake. Ila kumsaidia
nitamsaidia bila
kujali maneno!

My take:- Kuwa na haki ya kuhukumu mwenzio bila kutumia Sheria si haki.
Tuache sheria ifate Mkondo wake kama maji yafatavyo mkondo wake.
 
...kwa makala na mengine mengi jiunge na kundi http://m.facebook.com/groups/352911848085188?refid=27
 
Namuunga mkono Halima Mdee. Watu wengi wamemhukumu Lulu kutokana na mapenzi yao kwa Kanumba bila kuangalia kwa undani zaidi.
 
Miongoni mwa misingi ya utawala wa kisheria ni hiyo HAKI YA KUSIKILIZA NA MAHAKAMA NA KUPATA AU KUTOA UTETEZI KWA KILA RAIA,by A.V. Dicey an english jurist.Mdee yuko sahh kabisaaaaa
 
Niko upande wako dada Halima, msalimie shemeji yetu, mwambie bado raia wa msasani (bonde la mpunga) wanateseka na maji hasa mvua zikinyesha, MUNGU AKUTANGULIE
 
Back
Top Bottom