EMT Platinum Member Jan 13, 2010 14,483 15,308 Mar 8, 2011 Thread starter #42 HM Hafif said: Hali yake inaendelea vizuri sana kwani alikuwa anasumbuliwa na Sukari kwa mujibu wa Wa Zanzibar waliopo Secundrabad walipomtembela. Inshallah Allah atayaondosha maradhi yako haraka na uweze kurudi na kungana nasi. Click to expand... Mbona wengine wanasema alikuwa anasumbuliwa na miguu? Na kasema amefanyiwa operation sasa anaweza kutembea wenyewe.
HM Hafif said: Hali yake inaendelea vizuri sana kwani alikuwa anasumbuliwa na Sukari kwa mujibu wa Wa Zanzibar waliopo Secundrabad walipomtembela. Inshallah Allah atayaondosha maradhi yako haraka na uweze kurudi na kungana nasi. Click to expand... Mbona wengine wanasema alikuwa anasumbuliwa na miguu? Na kasema amefanyiwa operation sasa anaweza kutembea wenyewe.
popiexo JF-Expert Member Oct 26, 2010 742 182 Mar 8, 2011 #43 Ameula wa chuya, wenzake wanaenda Loliondo yeye kaenda India. Atarudi akiitwa jina lingine, the late.
Ameula wa chuya, wenzake wanaenda Loliondo yeye kaenda India. Atarudi akiitwa jina lingine, the late.
M Mfwatiliaji JF-Expert Member Oct 5, 2007 1,323 67 Mar 8, 2011 #44 Mbona Dr Slaa analazwa na kutibiwa muhimbili?
F Froida JF-Expert Member May 25, 2009 8,768 3,232 Mar 8, 2011 #45 Hata yeye aliwahi kuugua akalazwa na kutibiwa Hindul Mandal akapona arudi bwana
mgen JF-Expert Member Nov 18, 2010 22,633 8,417 Mar 9, 2011 #46 Speaker said: Have a quick death man Click to expand... Speaker wa wa viwango na kanuni.
Gagurito JF-Expert Member Feb 11, 2011 5,600 804 Mar 9, 2011 #47 Umri nao umeenda, pia kapambana sana yule mzee, 20yrs struggling duh!