Hali ya Kiafya ya Seif Shariff Hamad

Hali yake inaendelea vizuri sana kwani alikuwa anasumbuliwa na Sukari kwa mujibu wa Wa Zanzibar waliopo Secundrabad walipomtembela.

Inshallah Allah atayaondosha maradhi yako haraka na uweze kurudi na kungana nasi.

Mbona wengine wanasema alikuwa anasumbuliwa na miguu? Na kasema amefanyiwa operation sasa anaweza kutembea wenyewe.
 
Ameula wa chuya, wenzake wanaenda Loliondo yeye kaenda India. Atarudi akiitwa jina lingine, the late.
 
Hata yeye aliwahi kuugua akalazwa na kutibiwa Hindul Mandal akapona arudi bwana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom