Hali ni mbaya sana Arusha hospitali

ndugu hali ni mbaya sana mount meru hospitali kwani wamelazwa watu 42 ambao walipigwa risasi na polisi na huenda vifo vikaongezeka wakati wowote.Nawaambia ukifika hospitali utalia kwani wengine wamechanwa utumbo ,wengine miguu,wengine mikono nk. la kushangaza watu hawa hawakushitakiwa na polisi kwenye hati za mashitaka za leo. guys its terrible mno.
MVUNA MAJANGA HULA NA NDUGUZE....
Dhamira ya kuifanya serikali isitawalike haitafanikiwa na itapambana na nguvu kubwa. na kwa sababu waTZ niwapumbavu na COWARDS(kama walivyo wanaJF wengi), mtalialia na mwisho mtatulia.
TRICK anayoitumia Slaa na wajinga wengine ndani ya CDM ili wafunguliwe mashtaka na wafungwe jela!!!!!!!! ili kujiongezea umaarufu kwa malengo ya 2015, hayawezi kufanikiwa kwani hakuna ATAKAYEFUNGWA NA VIBARAKA WENU WAKIKAIDI AMRI HALALI ZA POLISI WATAPIGWA RISASI. watageuka vilema, ombaomba na mwisho watakuwa MASHOGA mtaani na wataolewa na wanaume wenzao.
 
Wape pole waliokuwa wanapita njia wakapata dhahama. Hawakuwa na hatia.

Waliokuwa kwenye maandamano poleni pia lakini mmejitakia.

Hili liwe ni fundisho na msirudie tena.

WanJF, acheni kujibishana na tahira wote. Na uzuri ni kwamba mnawafahamu, idadi yao humu haizidi wanne. Kwa nini mpoteza muda wenu wa thamani wa kujadiliana na wenzenu waliokamilika?
 
hali ndio hii,nchi imekuwa machinjio gerezani kwa wasiokuwa na hatia! Tuone tunafanya nini sasa na sio kulalamika tu, maana wahenga walisema kuchukia na kuishia kunung'unika pekee hakusaidii kitu.... let us unite and find the way in how we can amend this situations which leave us with the pain and deaths!
 
Poleni mliopatwa na mkasa huu wa kifisadi,

Serikali ikae ikijua kuwa umma ukiwakataa, jeshi na siraha walizo nazo haziwezi kulazimisha kuwa madarakani, watapiga risasi, zitaisha, nao watakiona cha mtema kuni,

Subiria ya Dar tunaona mwanamme ninani, polisi kaeni mkao wa kufa
 
Pole kwa majeruhi, tunawaombea wapate nafuu mapema, naamini kuna ambao hawakuwa na hatia pia!
 
HEY man serious on what you say,think criticaly before you say.write or talk anything...remember when the time goes the new ideas and thoughts which is productive to the majority erupt. And the time will come and show those leaders who are there for their benefit including you! you're happy for the killing of your friends,parents,tanzanian, oh! it's true that the world is not fair and the one whom you think is best is not! OH! OUR ALMIGHT GOD let you and other people like you to change their ideas towards humanity.
 
naona hata watu wazima mnasema uongo!kwa mount meru sina cha kusema ila kwa KCMC nasema mpaka saa kumi na mbili hapakuwa na majeruhi wala maiti toka arusha.plse ongea kitu unachokijua na una uhakika nacho

Wewe ni MORTUARY attendant?
 
Ama kweli, kuna waTanzania ambao wanaburuzwa kwenda machinjioni kama Ng'ombe au Kondoo. Unaambiwa usiandamane, anakuja mmoja anakwambia andamana, na wewe unakubali! Halafu unalaumu?

Huyo anayesema usiandamane anasimamia katiba au anaenda kinyume chake?
 
MVUNA MAJANGA HULA NA NDUGUZE....
Dhamira ya kuifanya serikali isitawalike haitafanikiwa na itapambana na nguvu kubwa. na kwa sababu waTZ niwapumbavu na COWARDS(kama walivyo wanaJF wengi), mtalialia na mwisho mtatulia.
TRICK anayoitumia Slaa na wajinga wengine ndani ya CDM ili wafunguliwe mashtaka na wafungwe jela!!!!!!!! ili kujiongezea umaarufu kwa malengo ya 2015, hayawezi kufanikiwa kwani hakuna ATAKAYEFUNGWA NA VIBARAKA WENU WAKIKAIDI AMRI HALALI ZA POLISI WATAPIGWA RISASI. watageuka vilema, ombaomba na mwisho watakuwa MASHOGA mtaani na wataolewa na wanaume wenzao.

You have absolutely no clue what you are talking about, ukikaidi amri halali ya polisi unapigwa risasi? uliona wapi, somalia au?. Polisi huwezi kumpiga risasi raia eti kwa sababu amekataa kutii amri, you arrest him with a reasonable force ili sheria ichukue mkondo wake.

I am afraid kwa nchi hii wewe waweza kuwa au kuja kuwa kiongozi na bado hujui nini polisi wanatakiwa kufanya. I am so worried na lack of sense unayoi showcase hapa.
 
ndugu hali ni mbaya sana mount meru hospitali kwani wamelazwa watu 42 ambao walipigwa risasi na polisi na huenda vifo vikaongezeka wakati wowote.Nawaambia ukifika hospitali utalia kwani wengine wamechanwa utumbo ,wengine miguu,wengine mikono nk. la kushangaza watu hawa hawakushitakiwa na polisi kwenye hati za mashitaka za leo. guys its terrible mno.

Busara ilikosekana hapo kwa uongozi CDM.
Viongoz wa CDM, walipoambiwa msiandamane ilibidi wahakikishe wanasort out kwanza na serikali ndio watangaze tarehe nyingine ya maandamano, ingecheleweshwa ila mwisho mngeaandamana tu.

Mlipoondelea kusema mtaandamana hivyo hivyo, mkijua kabisa dola itawapinga mlitegemea nini, au mlidhani kuwa mnanguvu dhidi ya dola?
1.Mmeandamana
2.mkaambiwa mtawanyike
3.mmkabisha
4.polisi wakatumia mabom ya machoz na maji kuwatawanya
5.Mkarespond kwa kupiga mawe polisi, huku mkijua wenzenu wanavyamoto..wat dd u expect?

Mlitegemea nini ndugu zangu? Viongoz CDM, tumie busara kutoa maamuzi. Hamuwezi waingiza watu kwenye mapambano na dola na mwisho wake kusababisha watu kupoteza uhai wao ili tu nyinyi mpande chati.
Mungu azilaze pema peponi roho za marehemu wote waliokufa kwenye vurugu za kisiasa Arusha, 5 jan 2011.
 
Kishogo ni Kijiji kidogo sana kipo Kasikazini Magharibi mwa mji wa Bukoba - closer to Rwanda na wakaazi wengi wa Kijiji hicho ni Washirikina sana! Nakumbuka kwenye 80's walitaka kumchinja Padri mmoja (Ereneus!) na kumla nyama yake!

So no wonder michango ya Kishogo ina-reflect alikozaliwa!
 
JAmani nina ombi kwa ndugu zetu mlioko A town. Kwa akina sie tulio mbali na huko tunahitaji saana kuupata ukweli halisi juu kadhia nzima hii.Na ukweli wenyewe utapatikana kwa kuwa na ushahidi wa ama picha za mnato au video picture za hao majeruhi au marehemu wote waliotokana na sintojua ya Polisi. Nendeni wodin, fanyeni mahojiano na majeruhi kama inawezekana mtuletee jamvin.
Kwa viongozi wakuu wa hospital za KCMC , Mount meru na nyingine zote zinazowahudumia hawa majerhi tunawaaomba mjitokeze mseme hadharani ni majeruhi wangapi waliofika hospital zenu??? Kwa uongozi wa Chadema, to win sympath to local and international supporters of CHADEMa kusanyeni kila aina ya ushahidi na tutaupeleka kwa umma ufanye maamuzi kabla ya 2012
 
MVUNA MAJANGA HULA NA NDUGUZE....
Dhamira ya kuifanya serikali isitawalike haitafanikiwa na itapambana na nguvu kubwa. na kwa sababu waTZ niwapumbavu na COWARDS(kama walivyo wanaJF wengi), mtalialia na mwisho mtatulia.
TRICK anayoitumia Slaa na wajinga wengine ndani ya CDM ili wafunguliwe mashtaka na wafungwe jela!!!!!!!! ili kujiongezea umaarufu kwa malengo ya 2015, hayawezi kufanikiwa kwani hakuna ATAKAYEFUNGWA NA VIBARAKA WENU WAKIKAIDI AMRI HALALI ZA POLISI WATAPIGWA RISASI. watageuka vilema, ombaomba na mwisho watakuwa MASHOGA mtaani na wataolewa na wanaume wenzao.

It sounds like mtoto wa mama kula kulala
 
habari si tu hali mbaya ya arusha, ni kweli ndugu zetu poleni sana tunalia nanyi na pia tunawahurumia; la msingi zaidi ni kushirikiana na FOS namna bora ya kuwasaidia ndugu, na sasa si tena habari ya ushabiki wa vyama bali haki ya kidemokrasia kwa kila mtanzania, watanzania chini ya baba wa taifa tulisaidia nchi za kusini mwa afrika kujikomboa; mimi kwa hali inayoendea sasa ya kunyanyasa demokrasia ya Tz na kuinyanyapaa kwa makusudi ya wachache wanaotumia rangi ya kijani kunufaisha maslahi yao... muda huu naona si wenyewe. na wala hautakuwa wenyewe wakati wowote, polisi kutumia silaha za moto kumpiga mlalahoi ambaye anatozwa kodi hizo silaha zinunuliwe na badala ya kumlinda inamnyanyasa, ss kwa maana na mtazamo huu na kwa kuijali haki jamii inavyoelezwa katika ibara ya 19 ya haki msingi, za tamko rasmi la haki za kibinadamu hapa serikali ina kosa kubwa kutumia polisi kufanya hivyo nami sioni aibu kusema hatuna tofauti na wareno waliowakandamiza waafrika kule msumbiji na angola na makaburu Afrika ya kusini ya wakati ule. Je kama watu hawakutaki, au hawakuchagui walilazimisha nini kwao. Je demokrasi ni nguvu au hiari jamii? Je watanzania hata baada ya uhuru wa takriban miaka hamsini kweli hawawezi kumchagua wampendaye hadi tujilazimishe kwao na kiasi cha kuwashinikiza na mabomu na hatimaye risasi za moto. Na kwani hasa tufikie hapo, kama ni swala ni mwenyekiti wa halmashauri hakuna taratibu kubalika mpaka tushinikize. Na kwanini hasa nguvu kubwa ya dola itumike mpaka kumwaga damu? Je wanaoandamana ni ngombe? au binadamu wenzetu, na kweli hawajui kwa nini waandamane, na kama wanaandamana, kwa nini uzuie maandamano na kwa sheria ipi, matashi ya polisi na serikali iliyo madarakarni, kwani serikali yetu ni ya kiimla ama kidemokrasia. Hivi kweli Tanzania haikusaini Mikataba ya kimataifa kuhusu haki msingi za kibinadamu? Je haki hizo hazisemi mtu yeyote yule ana haki kusema, kufanya, na kwenda anakotaka ili mradi asivunje sheria. Je kuandamana ni kuvunja sheria ipi? Je mikataba ya kimataifa tuliyoisaini haisemi mtu yeyote ana haki kutoa maoni yake kwa namna yeyote ili mrani havunji sheria. Na tena Katiba yetu nayo ikaridhia? Tunapojaribu sana kila mara kulinda tu watawala kwa mabomu na risasi hivi nchi hii ni ya utawala wa kijeshi au wa kiraia? Kama kura tulizopiga ni za kuridhia utawala wa kijeshi si tuambiwe tu ss tujue mikakati tunayoichukua?

Leo tunaposikia waziri wa mambo ya ndani anapotangaza sasa inafaa viongozi wa kisiasa kukutana kwa swla la arusha awali hilo halikujulikana mpaka watu wapigwe mabomu na kuuawa baadhi yao? Je huu ni utawala kweli wa kiraia uliochaguliwa na wananchi, kwa maslahi ya maendeleo na usitawi wao kweli, endapo ati serikali inatumia nguvu kubwa; kwa kisingizio cha amani, hivi kuna amani gani wakati wengi wanalia na kulalia umasikini, tukasema serikali haina fedha kwa maendeleo na wakati wa uchaguzi mabilioni yatumika kwa mabango na kulinda uchaguzi ati huru na haki, wakati ukifanyika, raia wakaeleza uchaguzi wao bado tuwafunike macho kwa kujilazimisha kwenye uongozi kama ulivyofanyika arusha, na kumburuza mbunge halali wa wananchi kama mahabusu aliyeua? Bado tudai tunafuata haki na amani, hapo nani kachochea wananchi kukasirika kama siyo polisi na serikali yenyewe!

anayeumia, na wanaoumia hospitalini Arusha, Poleni nasema Mungu si wa Matajiri na watawala bali ni wa Raia wote kama ilivyo Demokrasia ya Kweli na Makini.
 
Ondoa utumbo huu hapa.

Tukuamini wewe au Polisi?

Usijaze upuuzi humu tafadhali.

Ila haya yakwako ulioandika ndo umeona ya busara saaaaana???!!! Kwa akili yako wewe Polisi wa Bongo ni wakuaminika sivyo???? Kama huna la kusema si lazima uandike chochote!!!.... anyway.... Lunatic in 3:00 o'clock......
 
ndugu hali ni mbaya dr.slaa,mbowe na viongozi wote cdm wamelia hadharani wodini. huu sio ushabiki . polisi wamesema wameua 2 hospitali wamepokea miili 4 na kcmc wamekufa 4 waliopewa refferal leo asubuhi.

Naamini hufanyi mzaha katika kitu muhimu kama maisha ya watanzania wenzetu!

Ebu tusubiri idadi kamaili ya waliopoteza maisha yao tuone kama wahusika watapelekwa kwenye vyombo vya sheria.
 
Wallaniwe viongozi wa Chadema waliosababisha yote haya.

Tunawaombea majeruhi wapone haraka na wawe salama. Na wakipone wakihame Chadema kilichowafikisha hapo walipo.

ulaaniwe wewe unayefurahia kinyesi kilichokuwa wazi hadharani.
 
Back
Top Bottom