Hali ni mbaya sana Arusha hospitali

Mkakati wa Kusaidia WanaArusha .


Tunapenda kuwafahamisha kwamba FOS Imeanzisha Mkakati wa Kuchangia WanaArusha waliopata Shida kwenye Maandamano ya Wafuasi wa CHADEMA na Viongozi wao .


Kwa sasa namba zitakazotumika kwa michango ni
ZAP – 0786 806028
MPESA – 0766334049
Email : friendsofslaa@gmail.com


Ni vizuri ukaweka na jina lako kwenye mchango wako kama utapenda liwepo kwenye kumbukumbu .


Tunashukuru sana kwa wale wote wanaoendelea kutoa msaada wa hali na mali kwa FOS katika kutekeleza majukumu yake .


Mwanzo wa wiki Ijayo wawakilishi wa FOS toka Dar es salaam watakuwa Arusha kwa ajili ya Kuona Majeruhi Na kuendelea na jitihada za majadiliano .

Watanzania kwa michango, hivi CHADEMA hawana contigency funds au pesa yeyote ya dharura ambayo ingewasaidia hawa majeruhi toka jana? I wonder hadi hiyo michango ikamilike majeruhi wangapi waakuwa wamepoteza maisha.
 
oh my god sikujua kama jf kuna mafisi yenye roho mbaya yanayofurahia vifo vya wenzao,kama mazezeta vile!
 
hao wahusika wote wa hivyo vifo,kwa namna moja au nyingine wakae wakijua damu ya mtu haiendi bure
 
CCM should stop hiding their heads in the sand. watu wanataka change. tanzanians have realised that change wont come peacefully and they are now taking to the streets. the police can shoot as many people as they want but the movement for change has already started and it wont be stopped by bullets.

POWER TO THE PEOPLE!!!!!!!
 
Yakhe usiombee kujitoa mhanga - kujilipua ni kama mtego wa panya - hunasa aliyekusudiwa na asiyekusudiwa!
Kaka hatuombei tufike huko, lakini threshold ya uvumilivu CCM yenyewe ndio inaishusha.

BTW, Huyu Saba Sita na mwenzake Mwovu sijui Mwema, watambue kwamba wao ni mamesenja tu na siku mafisadi wakiwachoka watawapoteza au kuwaweka benchi. Wakae wakijua kwamba kwa fisadi, rafiki pekee ni PESA..
 
Wape pole waliokuwa wanapita njia wakapata dhahama. Hawakuwa na hatia.

Waliokuwa kwenye maandamano poleni pia lakini mmejitakia.

Hili liwe ni fundisho na msirudie tena.

mpumbavu wewe....njooo tukupe mbegu ukazae...
 
ndugu hali ni mbaya sana mount meru hospitali kwani wamelazwa watu 42 ambao walipigwa risasi na polisi na huenda vifo vikaongezeka wakati wowote.Nawaambia ukifika hospitali utalia kwani wengine wamechanwa utumbo ,wengine miguu,wengine mikono nk. la kushangaza watu hawa hawakushitakiwa na polisi kwenye hati za mashitaka za leo. guys its terrible mno.

Wallaniwe viongozi wa Chadema waliosababisha yote haya.

Tunawaombea majeruhi wapone haraka na wawe salama. Na wakipone wakihame Chadema kilichowafikisha hapo walipo.
 
Wape pole waliokuwa wanapita njia wakapata dhahama. Hawakuwa na hatia.

Waliokuwa kwenye maandamano poleni pia lakini mmejitakia.

Hili liwe ni fundisho na msirudie tena.

Wazazi wako wapo kijijini wanalalia ugali na balale wakijuwa mtoto wetu yupo mjini anatafuta maisha ili siku moja na wao wawe watu katika watu...

Kumbe mtoto wao mwenyewe kinyesi tu...
 
Inatia uchungu kwamba polisi wanaweza kuua watu hivyo bila hata kuulizwa. Hii nchi imekwisha, tulifikiri yale ya Pemba yalitokea kwa bahati mbaya na yamekuwa ni fundisho kumbe wapi, oh! LOD Help TZ.
Nafikiri kuna haja ya kutafakari namna ya kuwafanya polisi wawajibiki kwa mauaji haya ya raia wasiyokuwa na silaha ambao ndiyo kazi ya polisi kuwalinda. Jamii na mashirika ya kijamii yafikirie kuunda tume ya kuchunguza jambo hili na matokeo yake kutolewa kwa uma na kwenye mahakama ya kimataifi ICC.
 
naona hata watu wazima mnasema uongo!kwa mount meru sina cha kusema ila kwa KCMC nasema mpaka saa kumi na mbili hapakuwa na majeruhi wala maiti toka arusha.plse ongea kitu unachokijua na una uhakika nacho

mkuu labda nikuulize wewe ni mlinzi,director,daktari,mochwari attendant au msemaji wa KCMC?
 
Ulaaniwe wewe unayetaka kupotosha ukweli kuhusu maandamano ya CDM, na pia walaaniwe polisi wa TZ Waliyopeleka sifa mbaya ya nchi yetu kuwa ya ukandamizaji na mauaji ya raia wasiyo na hatia.
Kwa taarifa yako maandamano ni haki ya msingi kabisa ya binadamu ambayo haina mpaka wa kwepo kwa wageni, au siku maalum. Kumbuka kwenye mikutano mkikubwa yenye kuhudhuriwa na watu mashuhuri duniani kama G8, G20, WTO n.k ndiyo upokelewa kwa maandamano mikubwa zaidi.
 
Ondoa utumbo huu hapa.

Tukuamini wewe au Polisi?

Usijaze upuuzi humu tafadhali.



Kweli hii nchi kama inawajinga kumi wewe kishongo ni mmoja wapo...

njoo arusha ujionee wewe mwenyewe... Hii ni kashfa kubwa sana.. na aliyesababisha ni Said Mwema...

Atashtakiwa siku moja kwa makosa ya kutoa idhini kwa wananchi kupigwa risasi na mabomu..
 
Wewe uliyeanzisha hii thread upo wapy?
Lete Picha bila ushahidi huo utabaki kuwa ni uongo mweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom