Hali ni mbaya sana Arusha hospitali

Inasikitisha sana kuona wasio na hatia wakilemazwa na kuuawa, Nilitahadharisha mapema humu ndani kabla nini kingelitokea, nilionekana mwoga na nisiyependa kuona nguvu ya umma ikitumika! Mazingira ya Tanzania si tofauti na nchi nyingine za Afrika, ni kwamba tunajisahaulisha tu na kuona kwamba matokeo yanaweza kuwa sawa na fikra zetu. Kuna kumbukumbu nyingi zinaonesha matokeo ya maandamano Tanzania mwisho wake ni upi.

Anzieni miaka ya sabini, kisha enzi za Mtikila na Magabachori, Mrema wakati wa NCCR, Mwembechai, Maandamano ya CUF Zanzibar na Dar es Salaam. Je leo mlitarajia kwamba tumeshabadilika? Hata haijapita siku toka zipigwe risasi za moto buguruni... Sidhani na sitarajii kama kuna mtanzania atapata haki zake za kikatiba katika katiba hii iliyopo sasa inayowalinda watawala hata kama wametenda uovu.

Inatia uchungu naishia hapa kwa sasa.
 
Jamani,

Hivi hakuna option ya kuwadelet / kuwaburn watu kama kina kishongo wasiendelee ku access JF yetu?? Maana huyu bwana anaonekana anafanya mzaha makusudi kuvuruga mawasiliano. Siamini kwamba ndo akili yake inavyomtuma. Huyu ni mtu hatari sana kwa ustawi wa ukombozi.

Administrator: Tafuta jinsi ya kum- eliminate huyu jamaa hatufai kabisa.
 
Huyu anatumia makalio kufikiri. Lazima atakuwa bwabwa.

Haya ndio mambo ya kawaida kwa watu wa fujo, wala hayafichiki, wakishindwa hoja huanza matusi na wakizidi kushindwa wataanza maandamano, wakikong'otwa wanasema oooh mnatuonea.
 
ndugu hali ni mbaya dr.slaa,mbowe na viongozi wote cdm wamelia hadharani wodini. huu sio ushabiki . polisi wamesema wameua 2 hospitali wamepokea miili 4 na kcmc wamekufa 4 waliopewa refferal leo asubuhi.

Wanataka umaarufu kwa kujidai kulia au wanayahisi makosa waliofanya yakawafikisha watu huko.

Kinachowaliza nini na wao ndio walioshadidia lazima maandamano yafanyike?
 
Jamani,

Hivi hakuna option ya kuwadelet / kuwaburn watu kama kina kishongo wasiendelee ku access JF yetu?? Maana huyu bwana anaonekana anafanya mzaha makusudi kuvuruga mawasiliano. Siamini kwamba ndo akili yake inavyomtuma. Huyu ni mtu hatari sana kwa ustawi wa ukombozi.

Administrator: Tafuta jinsi ya kum- eliminate huyu jamaa hatufai kabisa.

Hiyo ndio demokrasia yenu? Kila mtachosema na kufany nyinyi ndio chema, kila atachisema na kufanya ambae ana mawazo tofauti, tukana, fungia, piga, uwa, andamana, na matusi kedekede. Hata haya huoni?
 
Watanzania kwa michango, hivi CHADEMA hawana contigency funds au pesa yeyote ya dharura ambayo ingewasaidia hawa majeruhi toka jana? I wonder hadi hiyo michango ikamilike majeruhi wangapi waakuwa wamepoteza maisha.

Wewe Ama, sometimes mtu mzima unatakiwa kutumia akili kidogo, watanzania tukipatwa na misiba/matatizo tunachangiana, hata R.Mengi akifiwa anachangiwa kama heshima. Au unataka kuchangia harusi tu ukale pilau?
 
Dili hizoooo, wachaga!
 
Kishongo wewe kama sio JK basi umeajiriwa na JK na unalipwa hela za ufisadi ili umwage Jamvini kula kuwahurumia ndugu zako ulowaacha kijijini kwenu wanaoishi kwa uji wa chumvi!!!!!!!!!!!!!!

Kichwa cha Panzi wewe. Acha kunywa Pombe haikufai.
 
ama kweli kunawatanzania ambao hawana huruma kwa watanzania wenzao,kama askari wangetumia busara na c amri walizopewa na shemejiye jk yote hayo yasingetokea, mapambano bado yanaendelea mpaka kieleweke
 
Inasikitisha sana kuona wasio na hatia wakilemazwa na kuuawa, Nilitahadharisha mapema humu ndani kabla nini kingelitokea, nilionekana mwoga na nisiyependa kuona nguvu ya umma ikitumika! Mazingira ya Tanzania si tofauti na nchi nyingine za Afrika, ni kwamba tunajisahaulisha tu na kuona kwamba matokeo yanaweza kuwa sawa na fikra zetu. Kuna kumbukumbu nyingi zinaonesha matokeo ya maandamano Tanzania mwisho wake ni upi.

Anzieni miaka ya sabini, kisha enzi za Mtikila na Magabachori, Mrema wakati wa NCCR, Mwembechai, Maandamano ya CUF Zanzibar na Dar es Salaam. Je leo mlitarajia kwamba tumeshabadilika? Hata haijapita siku toka zipigwe risasi za moto buguruni... Sidhani na sitarajii kama kuna mtanzania atapata haki zake za kikatiba katika katiba hii iliyopo sasa inayowalinda watawala hata kama wametenda uovu.

Inatia uchungu naishia hapa kwa sasa.

Kwani haya majitu yanasikia? "Sikio lakufa halisikii dawa"
 
Wape pole waliokuwa wanapita njia wakapata dhahama. Hawakuwa na hatia.

Waliokuwa kwenye maandamano poleni pia lakini mmejitakia.

Hili liwe ni fundisho na msirudie tena.

Kichwa cha Panzi wewe. Acha kunywa pombe haikufai.
 
Namshauri Meya wa CCM ndugu Lyimo akatembelee Mount Meru. Hii ni kwa sababu yeye alikubali kuwa Meya kinyemela. Nataka ajionee jinsi ambavyo nguvu ya umma itakavyomgeukia yeye binafsi siku sio nyingi. Busara inamtaka ajiuzulu.
 
ama kweli kunawatanzania ambao hawana huruma kwa watanzania wenzao,kama askari wangetumia busara na c amri walizopewa na shemejiye jk yote hayo yasingetokea, mapambano bado yanaendelea mpaka kieleweke

Ama kweli, kuna waTanzania ambao wanaburuzwa kwenda machinjioni kama Ng'ombe au Kondoo. Unaambiwa usiandamane, anakuja mmoja anakwambia andamana, na wewe unakubali! Halafu unalaumu?
 
Najiuliza mahusiani kati ya jamii na Polisi yatakuwaje baada ya tukio hili? Hawa si ndio wanaokuja na program zao eti " Polisi shirikishi" na nini tena sijui? nadhani sasa itakuwa ngumu kufanyika.
 
Wallaniwe viongozi wa Chadema waliosababisha yote haya.

Tunawaombea majeruhi wapone haraka na wawe salama. Na wakipone wakihame Chadema kilichowafikisha hapo walipo.
Laana isiyo na sababu haimpati mtu. Mungu mwenyewe ilimgharim kuua watu wa farao ili awakomboe wa israel kwa mkono wa Musa, sembuse Mbowe na watanzania.
 
ndugu zangu WANTANZANIA, poleni sana na mkasa huo ambao ni mkubwa. baada tu ya uchaguzi mambo yamekuwa sio mambo. Hebu fikiri ni lini uchaguzi ukafanyika kisha ndani ya takribani miezi miwili, matukio makubwa matatu yaliyoacha makovu,vilema na zaidi misiba....tumeshuhudia virungu,mabomu na maji ya kuwasha huko UDOM, tena hali ikawa hivyo kwenye maandamano ya CUF, pia mbunge wa chadema huko ARUSHA kupewa kisago na sasa hukohuko ARUSHA...VIRUNGU,MABOMU,RISASI ZA MPIRA NA ZA MOTO ambazo zinaendelea kuacha misiba na vilema vya kudumu kwa watu wake! kisha eti wanasema TANZANIA ni nchi ya amani na utulivu, hivi kweli kuna amani hapo?
 
mkuu labda nikuulize wewe ni mlinzi,director,daktari,mochwari attendant au msemaji wa KCMC?
jack, hili swali ungemuuliza yule alieeleza kwamba KCMC wamekufa watu 4 kuwa yeye ni nani kuliko kumuuliza huyu aliekanusha. Poleni sana wafiwa na majeruhi, inasikitisha kupoteza raia wenzetu kwa stail hii. lakini pia viongozi wa chadema mtumie busara, sidhani kama ilikuwa sahihi kwenda kuvamia kituo cha polisi kwa kisingizio cha kuwatoa akina mbowe, kama mngeenda nyinyi akina slaa na ndesa haya yote yasingetokea. All in all this is so sad kwa waliopoteza ndugu na majeruhi, ila nyinyi viongozi mtaendelea kututoa kafara mapaka lini? So sad.
 
Back
Top Bottom