Hali ni mbaya sana Arusha hospitali

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,571
ndugu hali ni mbaya sana mount meru hospitali kwani wamelazwa watu 42 ambao walipigwa risasi na polisi na huenda vifo vikaongezeka wakati wowote.Nawaambia ukifika hospitali utalia kwani wengine wamechanwa utumbo ,wengine miguu,wengine mikono nk. la kushangaza watu hawa hawakushitakiwa na polisi kwenye hati za mashitaka za leo. guys its terrible mno.
 
Ondoa utumbo huu hapa.

Tukuamini wewe au Polisi?

Usijaze upuuzi humu tafadhali.
 
Poleni kwa matatizo.

Any way, mmechukua hatua gani kuhusiana na hii hali? To be terrible, kulia hakusaidii kuokoa maisha na kuberesha hali za afya za majeruhi.

tupe picha

ukishaona?
 
ondoa utumbo huu hapa.

Tukuamini wewe au polisi?

Usijaze upuuzi humu tafadhali.

nafikiri wewe kishongo ni shetani -yaani unataka tuamini wauaji?? Polisi haiwezi kusema nimeua 40, lazima itapunduza huo ndio ukweli. Sisi tupo arusha na tumetoka hapo hospital muda si mrefu majeruhi ni wengi na hali zao ni mbaya harafu wewe unasema utumbo au upuuzi kweli wewe ni shetani mkubwa. Hata kama wewe unaipenda ccm lakini sio upende na wenzako kuuwawaw. Alichosema mpaka kieleweke ndio ukweli-tupo arusha hata wewe njoo
 
ndugu hali ni mbaya dr.slaa,mbowe na viongozi wote cdm wamelia hadharani wodini. huu sio ushabiki . polisi wamesema wameua 2 hospitali wamepokea miili 4 na kcmc wamekufa 4 waliopewa refferal leo asubuhi.
 
Sasa kwa kweli hii ni hatari na inatisha. Hembu tujuzeni yote yaliyojili huko, kwani ni kawaida kwa Polizi ya nchi hii kuchakachua habari.
 
nafikiri wewe kishongo ni shetani -yaani unataka tuamini wauaji?? Polisi haiwezi kusema nimeua 40, lazima itapunduza huo ndio ukweli. Sisi tupo arusha na tumetoka hapo hospital muda si mrefu majeruhi ni wengi na hali zao ni mbaya harafu wewe unasema utumbo au upuuzi kweli wewe ni shetani mkubwa. Hata kama wewe unaipenda ccm lakini sio upende na wenzako kuuwawaw. Alichosema mpaka kieleweke ndio ukweli-tupo arusha hata wewe njoo

Wape pole waliokuwa wanapita njia wakapata dhahama. Hawakuwa na hatia.

Waliokuwa kwenye maandamano poleni pia lakini mmejitakia.

Hili liwe ni fundisho na msirudie tena.
 
Kishongo wewe kama sio JK basi umeajiriwa na JK na unalipwa hela za ufisadi ili umwage Jamvini kula kuwahurumia ndugu zako ulowaacha kijijini kwenu wanaoishi kwa uji wa chumvi!!!!!!!!!!!!!!
 
Wape pole waliokuwa wanapita njia wakapata dhahama. Hawakuwa na hatia.

Waliokuwa kwenye maandamano poleni pia lakini mmejitakia.

Hili liwe ni fundisho na msirudie tena.

Ficha upumbavu wako kwa kuonyesha hekima!
 
Wape pole waliokuwa wanapita njia wakapata dhahama. Hawakuwa na hatia.

Waliokuwa kwenye maandamano poleni pia lakini mmejitakia.

Hili liwe ni fundisho na msirudie tena. you! talking shit! hebu jaribu kutafuta kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendelea kusema ovyo,
nenda hata kalale, hujui hata unalosema, umelewa nini?
 
Wape pole waliokuwa wanapita njia wakapata dhahama. Hawakuwa na hatia.

Waliokuwa kwenye maandamano poleni pia lakini mmejitakia.

Hili liwe ni fundisho na msirudie tena.

A closed mouth catches no flies.
 
Ondoa utumbo huu hapa.

Tukuamini wewe au Polisi?

Usijaze upuuzi humu tafadhali.
Kama polisi walikuwa wanawazuia waandishi wa habari kuingia kwenye kituo cha polisi, wataaminikaje taarifa wanazotoa? Polisi ndio walalamikiwa kuua raia kwahiyo hawawezi kutoa taarifa sahihi, na ukumbuke pia hiyo huwa pia ni strategy ya serikali katika matukio kama haya ili kuonyesha kuwa madhara sio makubwa!! Ameshakwambia ukitaka kujiridhisha fuatilia mount Meru Hospital Arusha!!!
 
kishongo unatakiwa kuwa na akili za mtu mzima sio uwe unapost vitu kwa ushabiki kwani ipo cku yatakukuta na wewe sio kwa hao wanachama polisi wenzenu ila ipo cku soma kitabu cha mwlimu mkuu wa watu ujue kinafuata nini?
 
[I said:
Kishongo;1455719]Ondoa utumbo huu hapa.

Tukuamini wewe au Polisi?

Usijaze upuuzi humu tafadhali.

[/I]inawezekana una mashimo kichwa ambayo yaliruhususu ubongo ukamwagika, sasa unafikiri police wanaweza kusema ukweli ilihali ni vibaraka wa ccm?
 
Mkakati wa Kusaidia WanaArusha .

Tunapenda kuwafahamisha kwamba FOS Imeanzisha Mkakati wa Kuchangia WanaArusha waliopata Shida kwenye Maandamano ya Wafuasi wa CHADEMA na Viongozi wao .

Kwa sasa namba zitakazotumika kwa michango ni
ZAP – 0786 806028
MPESA – 0766334049
Email : friendsofslaa@gmail.com

Ni vizuri ukaweka na jina lako kwenye mchango wako kama utapenda liwepo kwenye kumbukumbu .

Tunashukuru sana kwa wale wote wanaoendelea kutoa msaada wa hali na mali kwa FOS katika kutekeleza majukumu yake .

Mwanzo wa wiki Ijayo wawakilishi wa FOS toka Dar es salaam watakuwa Arusha kwa ajili ya Kuona Majeruhi Na kuendelea na jitihada za majadiliano .

Tembelea www.naombakazi.com Kwa Nafasi za kazi Kila siku

Tembelea Wanabidii | Google Groups kwa Majadiliano Moto Moto
 
ndugu hali ni mbaya dr.slaa,mbowe na viongozi wote cdm wamelia hadharani wodini. huu sio ushabiki . polisi wamesema wameua 2 hospitali wamepokea miili 4 na kcmc wamekufa 4 waliopewa refferal leo asubuhi.

naona hata watu wazima mnasema uongo!kwa mount meru sina cha kusema ila kwa KCMC nasema mpaka saa kumi na mbili hapakuwa na majeruhi wala maiti toka arusha.plse ongea kitu unachokijua na una uhakika nacho
 
ndugu hali ni mbaya dr.slaa,mbowe na viongozi wote cdm wamelia hadharani wodini. huu sio ushabiki . polisi wamesema wameua 2 hospitali wamepokea miili 4 na kcmc wamekufa 4 waliopewa refferal leo asubuhi.

Kulia hakusaidii kurudisha uhai wa marehemu, wala kuponyesha majeruhi.

Tusijibu maswali magumu kwa majibu rahisi. Mnawasaidiaje hao majeruhi wasipoteze maisha? Namaanisha sio lazima wawe kwenye hospitali ya serikali kama huduma haitoshi. Kuna Selian, Dr Babu, IACC. Mmefanya mpango wowote wa kucheki kama hopitali hizi zinaweza kutoa huduma zinazohitajika haraka iwezekanavyo?
 
Hizo Damu hazitapotea bureeee, hao ni mashujaa wetuu lzm wawepo kwenye kumbukumbu za chama chetu
 
Back
Top Bottom