Elections 2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

kaka mbona unafanya roho zetu zidundi fastafasta? tupe ukweli basi ili afya zetu zirudi katika hali ya kawaida otherwise utanipoteza mwanaJF mwenzio (nitakufwaaa........)
 
Wakuu wa JF,
Jimbo la Segerea lilimegwa sehemu mbili: Segerea ya Ukonga na segerea ya Tabata inayokomba hadi Buguruni. Makongoro kabaki Segerea ya Tabata na Fredie kapigania segerea ya Ukonga!
Kama kashinda ni raha tupu.

Mkuu hii umechakachua.. Hawa watu wako jimbo moja.. Kama kapigwa bakora.. Duhhhh!
 
Jamani acheni mshushia hadhi anaitwa Dr M
Kama kapigwa chini ni bora anawatetea sana mafisadi huyu
 
Hongera saana Mh. John Myika kazituliyofannya imetuletea ushindi mnono Mungu atupe baraka na Msimiziiwa uchaguzi aweze kutangaza bila kuleta mifarakano isoyo ya lazima. bila CCM inawezekana.
Ni Mjumbe wa shina Sinza "C"
Paschal Leonard Bashange
 
Wakuu wa JF,
Jimbo la Segerea lilimegwa sehemu mbili: Segerea ya Ukonga na segerea ya Tabata inayokomba hadi Buguruni. Makongoro kabaki Segerea ya Tabata na Fredie kapigania segerea ya Ukonga!
Kama kashinda ni raha tupu.

Mkuu hii umechakachua.. Hawa watu wako jimbo moja.. Kama kapigwa bakora.. Duhhhh!
 
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
duziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii daimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
mapin
 
Milton alikuwa ni mjivuni mno, hakika kupigwa chini ilikuwa ni stahili yake kama ni kweli yametimia hayo!
 
Mpaka sasa sijaona habari ya uhakika. NIko na VODCA hapa lakini nashindwa kuiinywa sababu taarifa sijaipata.
 
Back
Top Bottom