Hakunaga mbaya asiye na mwenza,Hakunaga bosi asiyekuwa na wafanyakazi wa kuwatuma
je we unafahamu hakunaga nini?
pitaga salama usije ukapitiwaga naweweNapita tu...
hagunaga w'endiga isiyokuaga na waleviga.miaga
Hakunaga prezdee fa.lasi kama huyu
hadi wewe unaharibu.
Dah, mpenzi nimekumis!
nimekumiss pia habibi chokoleti wangu. Ulipotea kama jasho la kuku.
ah, nipo wangu! Si unajua mishe mishe, nilikuwa porini my choklet
dah, porini ulikuwa unawinda! Haya usipotee tena.
ila najua kipindi nilichokuacha huku nyuma hujachakachua! Ingawa nitasikia tu kama wameku......
Hakunaga Chama kizuri kama C...MHakunaga bosi asiyekuwa na wafanyakazi wa kuwatuma
je we unafahamu hakunaga nini?
hadi wewe unaharibu.