Netanyahu: Nimepokea barua kutoka kwa Wazazi wa Mateka Wawili waliouawa, Wamenitaka Niendelee na Vita hadi tupate Ushindi!

Waziri mkuu wa Israel mh Netanyahu amesema amepokea barua kutoka kwa Wazazi wa Mateka Wawili waliouawa Wamemtaka aendelee na Vita hadi Ushindi upatikane

Netanyahu amewaahidi hakunaga kurudi nyuma hadi Ushindi

Source Al jazeera news
UONGO UNA NAFASI YAKE.....
 
Waziri mkuu wa Israel mh Netanyahu amesema amepokea barua kutoka kwa Wazazi wa Mateka Wawili waliouawa Wamemtaka aendelee na Vita hadi Ushindi upatikane

Netanyahu amewaahidi hakunaga kurudi nyuma hadi Ushindi

Source Al jazeera news
Wewe na huyo netanyahu wako Wote ni wapuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Propagandists ,actors are everywhere.
Screenshot_20231217-184744.png
 
Back
Top Bottom