Hakunaga.....

Hakunaga bosi asiyekuwa na wafanyakazi wa kuwatuma

je we unafahamu hakunaga nini?
Hakunaga mbaya asiye na mwenza,
Hakunaga kiongozi wa magamba asiye punguani,
Hakunaga uchaguzi wa huru na haki pasipo tume huru.
 
hapana mpnz wa moyo wangu! Kule ni wanyama tu, hakukuwa na waschana, nimerudi na hamu zote kumalizia kwako! Unipe yale yote niliyoyakosa mda mrefu! Najua ukiamuaga mambo yako ya ukweliga!
 
muelekeo huu sijaufurahia, tunajadili neno lisilopatikana kwenye kamusi ya kiswahili fasaha? Tutafikaga kweli?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom