Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,235
- 4,764
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana wetu YESU Kristo hakufa kama inavyoaminika na wengi wetu bali alikuwa kwenye usingizi mzito wa Coma
Cha kushangaza zaidi sio biblia wala Nduguze wameweza kutoa maelezo ya aina ya maradhi aliyougua Lazaro hadi kupelekea umauti wake kama inavyodaiwa.
Haijulikani pia ni sababu gani hasa zilipelekea Yesu Kristo kushindwa kuhudhuria maziko ya rafikiye kipenzi na badala yake kusubiri zipite siku 4.
Wapo wasomi wanaodai kuwa aina ya kaburi alilozikwa Lazaro lilikuwa na uwezo wa kupitisha hewa ya kutosha na hivyo kumfanya aendelee kuwa hai kwa siku zote 4
Wapo wasomi wanaodai kuwa Lazaro alipewa dawa maalumu ya usingizi mzito ili kuwahadaa Mayahudi wamuamini Yesu
Kisa kizima cha Lazaro kimeelezwa kwenye Yohana 11
Karibuni tujadili tukitoa ushahidi kupitia maandiko matakatifu
Niwatakie usiku mwema