Hakuna ushahidi kuthibitisha Kifo cha Lazaro yawezekana alilala usingizi wa Coma

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana wetu YESU Kristo hakufa kama inavyoaminika na wengi wetu bali alikuwa kwenye usingizi mzito wa Coma

Cha kushangaza zaidi sio biblia wala Nduguze wameweza kutoa maelezo ya aina ya maradhi aliyougua Lazaro hadi kupelekea umauti wake kama inavyodaiwa.

Haijulikani pia ni sababu gani hasa zilipelekea Yesu Kristo kushindwa kuhudhuria maziko ya rafikiye kipenzi na badala yake kusubiri zipite siku 4.

Wapo wasomi wanaodai kuwa aina ya kaburi alilozikwa Lazaro lilikuwa na uwezo wa kupitisha hewa ya kutosha na hivyo kumfanya aendelee kuwa hai kwa siku zote 4

Wapo wasomi wanaodai kuwa Lazaro alipewa dawa maalumu ya usingizi mzito ili kuwahadaa Mayahudi wamuamini Yesu

Kisa kizima cha Lazaro kimeelezwa kwenye Yohana 11

Karibuni tujadili tukitoa ushahidi kupitia maandiko matakatifu

Niwatakie usiku mwema

tomb-of-lazarus.jpg
 
Wayahudi walikuwa watu smart sana ilikuwa ni ngumu kuwaongopea kirahisi.

Huyo jamaa yao walimpiga nusu kaputi ili mwamposa wa miaka hiyo ajichukulie ujiko.
 
Welcome to a generation where people profess smartness by actually spitting out stupid prevarications.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana wetu YESU Kristo hakufa kama inavyoaminika na wengi wetu bali alikuwa kwenye usingizi mzito wa Coma

Cha kushangaza zaidi sio biblia wala Nduguze wameweza kutoa maelezo ya aina ya maradhi aliyougua Lazaro hadi kupelekea umauti wake kama inavyodaiwa.

Haijulikani pia ni sababu gani hasa zilipelekea Yesu Kristo kushindwa kuhudhuria maziko ya rafikiye kipenzi na badala yake kusubiri zipite siku 4.

Wapo wasomi wanaodai kuwa aina ya kaburi alilozikwa Lazaro lilikuwa na uwezo wa kupitisha hewa ya kutosha na hivyo kumfanya aendelee kuwa hai kwa siku zote 4

Wapo wasomi wanaodai kuwa Lazaro alipewa dawa maalumu ya usingizi mzito ili kuwahadaa Mayahudi wamuamini Yesu

Kisa kizima cha Lazaro kimeelezwa kwenye Yohana 11

Karibuni tujadili tukitoa ushahidi kupitia maandiko matakatifu

Niwatakie usiku mwema
Subiri nami ntakuja na hoja yangu hakuna ushahidi wa uwepo mfalme Sulemani.
Mtu wa wake 700 na masuria 300 awe na watoto wachache vile. Ina maana alikua hawadinyi wake zake?
Hakuna hata waliozaa mapacha mapacha?
 
Welcome to a generation where people profess smartness by actually spitting out stupid prevarications.
Don't pretend that you're too smart than Jews

Ambao mnawaita Taifa teule wanakataa hizo habari za Yesu, na kama mnakubaliana na hoja ya kwamba wao ni Taifa teule

Basi ukiwapinga hao maana yake umempinga Mungu
 
^smart than^?

Didn't anyone ever teach you to use ^smarter than,^ instead?

It's never the Gospel according to the Jews. Understood, Mr Smart Than?

We have the Gospel of Jesus Christ. Leave the Jews alone. They've a hell of a lot of troubles already.

Seriously? Hii itakuwa filosofia mpya ya dini.

Please, try harder next time.
 
Ooh I forgot if there are still unemployed teachers in this forum.

Btw I am also dumb in writing Kiswahili, I think you should take a time to see my grammar
 
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana wetu YESU Kristo hakufa kama inavyoaminika na wengi wetu bali alikuwa kwenye usingizi mzito wa Coma

Cha kushangaza zaidi sio biblia wala Nduguze wameweza kutoa maelezo ya aina ya maradhi aliyougua Lazaro hadi kupelekea umauti wake kama inavyodaiwa.

Haijulikani pia ni sababu gani hasa zilipelekea Yesu Kristo kushindwa kuhudhuria maziko ya rafikiye kipenzi na badala yake kusubiri zipite siku 4.

Wapo wasomi wanaodai kuwa aina ya kaburi alilozikwa Lazaro lilikuwa na uwezo wa kupitisha hewa ya kutosha na hivyo kumfanya aendelee kuwa hai kwa siku zote 4

Wapo wasomi wanaodai kuwa Lazaro alipewa dawa maalumu ya usingizi mzito ili kuwahadaa Mayahudi wamuamini Yesu

Kisa kizima cha Lazaro kimeelezwa kwenye Yohana 11

Karibuni tujadili tukitoa ushahidi kupitia maandiko matakatifu

Niwatakie usiku mwema
Yale yalikua maigizo tu kama tunayoona kina gwajima wakifufua wafu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom