Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

Hata mimi siungi mkono hoja.

Ni ukosefu wa nidhamu na muda mwingine ni maamuzi ya mtu. Mtu mwenye nidhamu hawezi kuwa na wanawake wengi.
nakazia hapa, sioni sababu ya kuwa na wanawake wengi au zaidi ya mmoja hakuna jipya nje ya mwanamke 1, labda kama unataka watoto wengi kwa wakati nmoja unless ni mtu kuwa muhuni by nature au makuzi yake..
 
Back
Top Bottom