Nina hasira...naombba siku moja wanajamii tuchangie mada kwa kutoa matusi ya nguoni tu maana tuondoe hasira zetu kwasababu unaweza ukatusi watu hadharani ukafungwe bure.
tusimwachie Mungu Tuingie mtaani on Monday tukiwataka (Mwinyi na Mwamnyange) waachie ofisi za ummaWe achana nao 2 just mwachie mungu.