Hakuna kulala mpaka kieleweke Kamanda Nasari afunika Ngarenanyuki

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Leo Kamanda Nasari alifanya mkutano wa kutoa shukrani pamoja na kusikiliza kero za wananchi wa Ngarenanyuki katika mkutano huo watu walipata nafasi ya kuuliza maswali mbalimabali
Ngarenanyuki1.JPG

Nasarina mama.JPG
Kamanda Nasari akimvalisha mama mmoja mwenye hali ya chini kitenge Kama ishara ya kuwashukuru wanawake wa Ngarenanyuki kwa kumchagua.
 
Victory for Chadema (V4C) na M4C moto wake hauishi wala hautakaa uzime, hahahaha kama nawaona CUF na kuigiza igiza
 
Leo Kamanda Nasari alifanya mkutano wa kutoa shukrani pamoja na kusikiliza kero za wananchi wa Ngarenanyuki katika mkutano huo watu walipata nafasi ya kuuliza maswali mbalimabali
View attachment 66456

View attachment 66457
Kamanda Nasari akimvalisha mama mmoja mwenye hali ya chini kitenge Kama ishara ya kuwashukuru wanawake wa Ngarenanyuki kwa kumchagua.

Ubarikiwe sana kamanda crushwiser kwa kazi nzuri hakuna Kula mpaka kieleweke
 
Magamba watakuja kuuliza hapa ahadi zake vp ametekeleza?
 
Nauliza tu wanachadema huyo kamanda kanga alikuwa nayo kwenye kwenye kabegi kake? Tutumie akili siyo ushabiki wa kuiga vitu. Mgao wa kanga na vitu nilifikili ni ccm tu kumbe hata huku, mama wawatu unampa kakanga ka 1500 Tshs huku anamatatizo kibao acheni unafiki. Elewa hako kahongo kametokana na kodi yako, najua walio lala watasema wasiyo yajua.
 
tunakataza kanga zinazo gawiwa faragha tena kwa lengo la kuomba/kushawishi ili kupigiwa kura. Hapa nasari haombi kura kuna hoja aliijenga hapo kabla ya kutoa hicho kitenge na ndiyo tunapaswa kuisimamia na siyo kumweka maneno mdomoni/moyoni ambayo yeye hana
 
ndio maana CCM chama kubwa lenye uzoefu wa aina kwa aina linapoona mambo kama haya linajipata linabuni mikakati ya kuzuia matangazo ya bunge ya moja kwa moja..
 
Nauliza tu wanachadema huyo kamanda kanga alikuwa nayo kwenye kwenye kabegi kake? Tutumie akili siyo ushabiki wa kuiga vitu. Mgao wa kanga na vitu nilifikili ni ccm tu kumbe hata huku, mama wawatu unampa kakanga ka 1500 Tshs huku anamatatizo kibao acheni unafiki. Elewa hako kahongo kametokana na kodi yako, najua walio lala watasema wasiyo yajua.

Nassari hakutoa kanga kama RUshwa ila kama hasante kwa kina mama.Na katoa baadaye bila wao kujua.Hii haikuwa na maana yoyote ya kuinfluence uamuzi katk kura.Ila kuwapa heshima.Hujaenda oa ukadaiwa kitenge cha mama na mashangazi.Ile si mahari ila ni ahsante kwa mama kwa kukupatia mama watoto.
 
Nauliza tu wanachadema huyo kamanda kanga alikuwa nayo kwenye kwenye kabegi kake? Tutumie akili siyo ushabiki wa kuiga vitu. Mgao wa kanga na vitu nilifikili ni ccm tu kumbe hata huku, mama wawatu unampa kakanga ka 1500 Tshs huku anamatatizo kibao acheni unafiki. Elewa hako kahongo kametokana na kodi yako, najua walio lala watasema wasiyo yajua.

inaelekekea umri wako mdogo sana, muulize mama yako mtoto wake zawadi gani akimletea huwa anaithamini sana..
 
Back
Top Bottom