Elections 2010 Hakuna gari lililokamatwa na kura feki - IGP

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Saidi Mwema amekanusha vibaya sana tuhuma za makaratasi ya kura kukamatwa kule Tunduma. Amedai huo uvumi ni uzushi mtupu. Amesema mapolisi wamelikagua hilo gari lakini hawakuona hayo makaratasi ya kupiga kura au maboksi yanayosadikiwa yana kura zilizoghushiwa na na kumpa JK kura ya ndiyo.

Uvumi ulioenea unadai kura zipatazo milioni saba tayari zilikamatwa na TRA na sasa zilikuwa chini ya polisi.

Source: Channel ten
 
Kitendo cha kuzungumzia hilo swala kwenye TV tayari kinawapa watu ufahamu wa mambo yanayoendelea, hivyo itapunguza idadi ya waumini wa watuhumiwa au wale walio neutral.
 
Saidi Mwema amekanusha vibaya sana tuhuma za makaratasi ya kura kukamatwa kule Tunduma. Amedai huo uvumi ni uzushi mtupu. Amesema mapolisi wamelikagua hilo gari lakini hawakuona hayo makaratasi ya kupiga kura au maboksi yanayosadikiwa yana kura zilizoghushiwa na na kumpa JK kura ya ndiyo.

Uvumi ulioenea unadai kura zipatazo milioni saba tayari zilikamatwa na TRA na sasa zilikuwa chini ya polisi.

Source: Channel ten

Vitu vidogo tu huwa anaunda tume iweje leo jambo kubwa kama hili atoe tamko haraka namna hiyo, na yeye ni mzushi tu
 
Kumbe vikosi vya jeshi la polisi na magari ya maji yamepelekwa Tunduma kulinda mafuta ya marashi
 
Cha msingi ilikuwa kulisimamisha ilo gari alafu lipekuliwe hadharani
Kwa nini walipeleka magari ya FFU eneo la tukio kama wana uhakika wa icho wanachosema kuwa hakuna kura feki.
Azam nae anatuangusha unatumia magari yako kuipitisha CCM ,umeniboa bse nazipenda sana jiuce zako mpya za siku izi zinazofanan na Del monte sasa unaniangusha kuna haja ya kuanza kurudi kwa Cereals na Dell Monte bse natakuwa nachangia mafuta ya gari zinazoleta mabox ya kura feki
 
Unategemea nini kutuka kwa mtu huyo!?Kwanza ile hali ya kuchukua muda mrefu mpaka kutoa taarifa inatosha kutoa maswali kuliko majibu.Sijawahi kusikia vyombo vya sheria au usalama kutoa kauli kinyume na mwajili wao iwapo. Serikali na CCM kama litatokea hilo itakua mapinduzi.Kwenye moshi ni dalili ya moto MUNGU IBARIKI TANZANIA
Saidi Mwema amekanusha vibaya sana tuhuma za makaratasi ya kura kukamatwa kule Tunduma. Amedai huo uvumi ni uzushi mtupu. Amesema mapolisi wamelikagua hilo gari lakini hawakuona hayo makaratasi ya kupiga kura au maboksi yanayosadikiwa yana kura zilizoghushiwa na na kumpa JK kura ya ndiyo.

Uvumi ulioenea unadai kura zipatazo milioni saba tayari zilikamatwa na TRA na sasa zilikuwa chini ya polisi.

Source: Channel ten
 
Hii habari nafikiri ni ukweli kwamba makaratasi yalikuwepo ndani ya malori.
Mzigo umefika Tunduma, umekaguliwa na TRA, kawaida polisi hawahusiki kwenye mambo ya mapato ila tu kama kuna fujo au uvunjifu wa sheria.

Sasa aliyewaita polisi ni nani kwa ajili ya nini?
Kwa nini IGP aliongelee na kusema polisi walikagua lori kuangalia kama kuna karatasi za Kura.
Ni nani aliyewafanya polisi kukagua kwa ajili ya kutafuta kura.
Je ni kweli mpakani kuna mizigo inawafanya polisi wa vikosi vyote waende kama hakuna fujo?
Je Taarifa iliyopelekwa na Polisi na TRA ilikuwa ikisema nini?

Na kama tuhuma zilikuwa ni karatasi za kupiga kura waandishi wahabari waliitwa?
Hii habari inabeba ukweli kwa asilimia za kutosha, uwezekano wa kwamba polisi walikwenda kuzilinda ni mkubwa, kazi tuliyonayo ni kutafuta polisi waliokwenda kulinda zile nyaraka wako wazalendo watasema tu.

IGP kumbuka EPA, mlikataa hata Raisi wako alitoa lugha za kashfa kiko wapi leo?
 
Saidi Mwema amekanusha vibaya sana tuhuma za makaratasi ya kura kukamatwa kule Tunduma. Amedai huo uvumi ni uzushi mtupu. Amesema mapolisi wamelikagua hilo gari lakini hawakuona hayo makaratasi ya kupiga kura au maboksi yanayosadikiwa yana kura zilizoghushiwa na na kumpa JK kura ya ndiyo.

Uvumi ulioenea unadai kura zipatazo milioni saba tayari zilikamatwa na TRA na sasa zilikuwa chini ya polisi.

Source: Channel ten

Mwache tu akanushe. Mimi nina uhakika wa asilimia 100 kwamba hata kama karatasi zingekuwepo Saidi Mwema asingekiri. Mwenye sababu zinazoweza kumfanya akiri kuwa masanduku ya kura yalikuwa kwenye gari ni nani? Bosi wake aagize masanduku huku yeye ayakamate, hilo haliwezi kuingia akilini. Tusisumbue akili zetu bure na hoja za karatasi/masanduku ya kura kuwepo au kutokuwepo kwa kutegemea kauli ya Said Mwema. Huyo hata ungemkurupusha usingizini ni wazi angesema hayo aliyoyasema kabla hata hajajua ukweli.
 
At least amekubali kuwa ni kweli polisi walilikagua hilo lori. Sasa walichokuta humo ndiyo issue yenyewe.
 
Basi wamchukulie hatua za kisheria aliyezusha kama si kweli!!

Hapo umesema mkuu hatua zichukuliwe kwa aliyezusha ili tuone kama siyo kweli . ukweli kabisa mwema asingeweza kukubali hata kama ungekuwa wewe .hawezi akamsema vibaya aliyempa madaraka na hii ndo maana tunaka kuitoa hii serikali ya kishikaji na yakirafiki iliyopo na kuweka serekali imara isiyo ya kishikaji.hatuhitaji undugunaisesheni kwenye serikali.:A S thumbs_up:
 
Basi wamchukulie hatua za kisheria aliyezusha kama si kweli!!

Kuchukuliwa hatua za kisheria haimaanishi kuwa wewe ni mzushi. Majela yatu yamejaa watu waliozushiwa au kubambikizwa makesi, mara nyingi kutokana na polisi kupotosha sheria au uvivu wao wa kufanya upelelezi makini ili kupata ukweli.
 
Wadau MWEMA asiishie kusema hakuna kura feki,lazima waendelee kufuatilia na kuchunguza swala hili,maana TETESI ZINASEMA NI KWELI KURA FEKI ZILIINGIA TZ ILA BAADA YA KUSHITUKIWA WAKABADILISHA CONTENA.mi kamwe siiamini kauli ya MWEMA.
 
Back
Top Bottom