Hakika inasikitisha kuwaona Wazee wetu Wastaafu wakihangaika na maisha kutokana na Serikali kutowalipa Mafao

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Hakika inasikitisha kuwaona Wazee wetu Wastaafu wakihangaika na maisha kutokana na Serikali kutowalipa Mafao yao baada ya Kustaafu Juni 2018.Wabunge nyie ndio wawakilishi wa hao Wazee Wetu Wastaafu hebu wasemeeni huko Bungeni juu ya Mafao yao.Wazee hao wengi wao Walistaafu mwezi Juni 2018,na mpaka sasa ni miezi 9 hawana kipato chochote wanachopata sio Mafao yao wala Pensheni ya kila Mwezi hakika Serikali iwalipe Wastaafu hawa.
 
Kwa hali hii utakuja kuona ni kwa namna gani wakati ule viongozi mbalimbali wenye dhamana walikomalia wastaafu walipwe kwa kile kikokotoo chao kipya cha 25%!
 
Ukitaka kujua taifa lisilo na future kwasababu ya ujinga ni lile lisilojali wazèe na watoto. Wastaafu aka senior citizens wanapata heshima kubwa katika jamii kwasababu wote ni wastaafu watarajiwa. Walio kazini na wasiolichukulia suala hili Kya uzito stahili ni mafala
 
Watu kama bashe na nape wanao jaribu kuisimamia na kushauri serikali bungeni wanaonekana kua ni watukutu, na katibu mkuu ambae kadiri ya usomi wake wa sayansi ya siasa alitegemewa kua na mtazamo mpya lakini amekua Sawa na wengine tuu.

Wabunge kwakua masilahi yao yoko poa, na chama ndo waamuzi wa kila jambo. Kwanini wabunge wajisumbue. ?
Sasa wabunge wafanyeje wakati chama kimeshika hatamu na tushaambiwa maendeleo hayana chama?
 
Kuhusu wastaafu kutolipwa mafao hili ni donda ndugu. Viongozi wakuu wanajinadi kulipa pesa kwenye mifuko husika lakini watekelezaji hawapeleki hizo pesa ndio maana wasimamizi wa mifuko kama NSSF na PSSSF hawataki kulipa japo sheria ina washinikiza kulipa na wao kudai idara au taasisi husika. Mfano ni pale Katibu Mkuu Kiongozi aliyopo Ikulu alipo muandikia Katibu Mkuu Uchukuzi wa wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano akimuamuru kuwalipa PSSSF wastaafu wa ATCL lakini hadi leo agizo hilo haljatekelezwa. Sasa haijulikani kuwa huyu katibu mkuu wa wizara anafanya jeuri kwa boss wake kwa kujivunia nani.
 
Hakika inasikitisha kuwaona Wazee wetu Wastaafu wakihangaika na maisha kutokana na Serikali kutowalipa Mafao yao baada ya Kustaafu Juni 2018.Wabunge nyie ndio wawakilishi wa hao Wazee Wetu Wastaafu hebu wasemeeni huko Bungeni juu ya Mafao yao.Wazee hao wengi wao Walistaafu mwezi Juni 2018,na mpaka sasa ni miezi 9 hawana kipato chochote wanachopata sio Mafao yao wala Pensheni ya kila Mwezi hakika Serikali iwalipe Wastaafu hawa.
labda baadaye muweke wabunge kwa namba za uswa wa kivyama mukiachia TISS na wakurugenzi makada wa ccm wawatangaze walioshindwa wakajaa bungeni basi hao wazee na watakao staafu na wanaostaafu wataendelea kuumia maana wahuni wa ccm wanajali matumbo yao tu
 
13912358_1568011230171684_8702212615280387452_n-jpg.1083566

Hakika inasikitisha kuwaona Wazee wetu Wastaafu wakihangaika na maisha kutokana na Serikali kutowalipa Mafao yao baada ya Kustaafu Juni 2018.Wabunge nyie ndio wawakilishi wa hao Wazee Wetu Wastaafu hebu wasemeeni huko Bungeni juu ya Mafao yao.Wazee hao wengi wao Walistaafu mwezi Juni 2018,na mpaka sasa ni miezi 9 hawana kipato chochote wanachopata sio Mafao yao wala Pensheni ya kila Mwezi hakika Serikali iwalipe Wastaafu hawa.
 
Hakika inasikitisha kuwaona Wazee wetu Wastaafu wakihangaika na maisha kutokana na Serikali kutowalipa Mafao yao baada ya Kustaafu Juni 2018.Wabunge nyie ndio wawakilishi wa hao Wazee Wetu Wastaafu hebu wasemeeni huko Bungeni juu ya Mafao yao.Wazee hao wengi wao Walistaafu mwezi Juni 2018,na mpaka sasa ni miezi 9 hawana kipato chochote wanachopata sio Mafao yao wala Pensheni ya kila Mwezi hakika Serikali iwalipe Wastaafu hawa.
Tena wafe kabisa, tuluambiwa tuwapishe wazee ili wapige kura meanzo wakahisi wanawakomoa wapinzani.

Sasa wafe kabisa otherwise wapambane na hali zao
 
Aliyeshiba hajui mwenye njaa, hata nauli ya kurudi kijijini ni shida, na mei mosi hiyo sijui hawa viongozi wa vyama vyetu
 
Uzuri muda wao unasogea tunasubiri wake na ule ujasiri wao kusema tena ndiyoooooo kwenye maslahi yetu. Sisi tunawasubiri tuone jeuri yao
 
Back
Top Bottom