CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Una uhakika na unachokiongea? kuwa kanisani huruhusiwi ku-reason? Nadhani unajaribu kuliwasilisha hili to the wrong person? Nikikujibu kwa kutumia Church Doctrines and Theology nitakuchanganya akili na kukupoteza kabisa kutoka na msingi ulio nao kichwani na ambao umeamua kuufuata.
Kwa kukusaidia labda nikujibu kwa kutumia mifano rahisi kabisa amabyo hata mtoto wa sunday schools ataelewa:
Si kweli kwamba kanisa linakataza waumini/watu ku-reason, kama ingekuwa hivyo katika mafumdisho yake juu ya uumbaji, basi ile sehemu ya Mungu alitupa wanaadam akili na utashi kisingefundishwa.
Kanisa lisingejenga vyuo. pia kanisa lisingejenga Hospitals wangekuwa wanahimiza watu wapone kwa maombi badala ya kutegemea dawa.
Lisingefundisha watu katika kujitafuta na kujitambua, mafundisho katika ukristo yana mhimiza sana mtu kujitafuta, na kujitambua yeye na wajibu wake katika hii dunia na huwezi ukafanya yote hayo kama huna uwezo au uhuru wa ku reason.
Na ndiyo maana hawalazimishi mtu kuamini waaminicho, wanatambua haki za viumbe wengine katika hii dunia ndiyo maana wanahifandhi mazingira, wanatambua haki za watu wa imani nyingine katika hii dunia ndiyo maana wanafundisha heshima na utu kwa wote, wanatambua kuwa tofauti za rangi, maumbile, imani e.t.c ni mpango wa Mungu na hivyo hawahitaji kuwabeza wengine na wao kujiona bora, bali wanahitajika kuwatambua, kuchangamana nao na kutowakwaza katika imani zao.
Sasa ndugu yangu , mpaka hapo sijui tuhuma zako zina ukweli kwa kiasi gani?
Najua umechagua kulaumu/kutuhumu kwa kuwa ni rahisi kufanya hivyo kuliko ungechagua tofauti na hivyo au kukaa kimya.
Anyway, pamoja kuwa umetoa ad hominen arguments- by character assassination-mara chekechea etc, mimi sitakuwa kama wewe. Bado naamini kuwa kanisani hakuna ku-reason when it comes to IMANI. hapa ndipo hukunielewa, sio kwenye scientific fields or social fields etc. Ni hapa kwenye IMANI ya dini tu!!. Ukiwauliza scientific proof ya existence ya God wanang'aka kuwa inabidi uamini tu. Mimi vile vile naamini in God, but I can not prove his existence beyond reasonable douts!!!!!! Nadhani hata Mungu huyo kama yupo anahitaji mtu kama mimi wa kuhoji mambo, sio kukubali tu!!!! na uki-reason sana kesho utaasi dini.
Next time kuwa na uvumilivu maana umenijibu kwa jaziba ndio maana umetumia maneno ya dharau-chekechea etc- wote humu nadhani tu wasomi wazuri tu, ni kuwa hatujuani kwa physical identity. Anyway, upendo wa Yesu ukutawale na sisi wote