Haki haidaiwi kwa maandamano-PENGO

Huyu naye kakurupuka tu, hajui yaliyompata Mubarak baada ya watu kuamua kukutana pale Tahrir Square!?

Baada ya kilichompata Mubarak nini kimefuata? Au hadithi imeishia hapo na wamisri leo wanafaidi matunda ya maandamano?
 
Eti haki haidawi kwa maandamano!wafaransa wasingeandamana mpaka leo kizazi cha malikia antonnete kingewanyonya,maandamano yanalipa muulize mtunisia.
 
Tofautisha tabia na uwezo wa mtu wa uelewa. Uelewa wa Pengo ni zaidi ya ufikiriavyo... achana na Pengo (viongozi wa kanisa katoliki) kama unabisha waulize freemasons na Illuminati.
ukadinari hakupigiwa kura kama wafanyiavyo wanasiasa. Sila kila asemalo pengo basi likubalike na kila mtu, hata Yesu na Manabii wengine Akiwepo Muhamad (mtume) walikubaliwa kila kitu na jamiii waliokuwa wahaihubiria juu ya mafundisho ya Mwenyezi Mungu. kuna msemo usemao kila mtu ni mfalme kwenye ubongo wake. Pole weee
kwenye red, Si....., hawakukubaliwa......
 
For sure,tena basi waliochangia kuwakandamiza wafaransa ni Vi0ngoz wa Kidini(kanisa) waloshirikiana na aristorcatic govt
Eti haki haidawi kwa maandamano!wafaransa wasingeandamana mpaka leo kizazi cha malikia antonnete kingewanyonya,maandamano yanalipa muulize mtunisia.
 
For sure,tena basi waliochangia kuwakandamiza wafaransa ni Vi0ngoz wa Kidini(kanisa) waloshirikiana na aristorcatic govt
kweli tena Louis XVI Walikuwa wakatolik wazuri huku wakiwanyonya walipa kodi,maandamano yalisaidia.
 
Tofautisha tabia na uwezo wa mtu wa uelewa. Uelewa wa Pengo ni zaidi ya ufikiriavyo... achana na Pengo (viongozi wa kanisa katoliki) kama unabisha waulize freemasons na Illuminati.
ukadinari hakupigiwa kura kama wafanyiavyo wanasiasa. Sila kila asemalo pengo basi likubalike na kila mtu, hata Yesu na Manabii wengine Akiwepo Muhamad (mtume) walikubaliwa kila kitu na jamiii waliokuwa wahaihubiria juu ya mafundisho ya Mwenyezi Mungu. kuna msemo usemao kila mtu ni mfalme kwenye ubongo wake. Pole weee

Viongozi wa kikatoliki wana uhusiano gani na hii taasisi ya mashetani? freemasons?
 
Baada ya kilichompata Mubarak nini kimefuata? Au hadithi imeishia hapo na wamisri leo wanafaidi matunda ya maandamano?

Bado yanaendelea na hatimaye watafanikiwa. Wameamua hakuna kulala mpaka kieleweke na wanaamini watafanikiwa kupata Serikali inayowajali na kuwasikiliza wananchi wake. Tusubiri tuone.
 
Dah,umenifurahsha kutoa hints za French Revolution!ndio chimbuko la Demokrasia,sasa Pengo cmuelewi,ikaja British Revolution,then 1848 revolutions in Italy,GERMANY,AUSTRIA HUNGARY na nchi nyingne za ulaya,huko kote maandamano yalichukua nafasi
kweli tena Louis XVI Walikuwa wakatolik wazuri huku wakiwanyonya walipa kodi,maandamano yalisaidia.
 
Tazama upande wapili wa sarafu, je; hao walioandamana ( masri, libya, tunisia, syria et cetera) wameleta amani nchini mwao? - kwa mifano yako mimi namuunga mkono Pengo.
[/COLOR]

Mungu yupi asiyejua kinachotokea duniani? Madagascar Ravalomanana kakimbia nchi sababu ya maandamano, Misri, Tunisia n.k.
Anatakiwa kujiuliza kwanini watu wanaamua kuandamana na ku riskmaisha yao, sio kulaumu wanaoandamana.
 
Pamoja na kuwa si busara kukimbilia maandamano kila wakati. Lakini ukweli utabaki kuwa Maandamano ni njia ya kuwasilisha ujumbe, hata kanisa hufanya maandamano, taasisi mbali mbali hufanya maandamano, katiba inaruhusu maandamano. Labda alimaanisha kuwa maandamano si njia pekee ya kudai haki, au si hatua ya kukimbilia katika kudai haki, inawezekana anahimiza umuhimu wa majadiliano ya pande mbili. kwani faida ya majadiliano ni kuwa huacha watu wa pande mbili wakiwa wameshikana mikono kwa furaha, wakati maandamano ya kudai haki huacha jamii ikiwa katika mapande mawili makubwa, na ambayo yamesimama juu ya misingi imara ya chuki, visasi, na ujeuri. Muanzisha Thread umeiweka kwa kifupi sana hiyo taarifa, sijui lengo lako ni nini? Siamini kama Tanzania Daima wameandika taarifa nyeti kama hiyo kwa ufupi huo. Nakushauri usiwe mwoga wa kusikiliza mawazo yanayokinzana na ya kwako ,Wape wasomaji uhuru wa kusoma habari kamili na kuelewa kwa uwezo wao kiakili badala ya kuwalazimisha waelewe ulivyoelewa.

Maandamano ni last resort baada ya kunyimwa haki. Huwezi kuandamana kama unasikilizwa kwa kitu cha haki. After all makanisani hakuna democracy. IMANI, unaamini bila kuhoji -kuwa kitu/jambo fulani ni cha/la kweli kweli kabisa. Huruhusiwi ku-reason, vinginevyo dini wangeasi wengi!!!! Hivyo Mtazamo wa Kardinali Pengo ni reflection ya undemocratic nature of the church and we all belivers succumb-kwa kuwa ni imani. Nami ni muumini huwa sihoji. Siasa si imani, bali ni reality. Objectivity of things!!!!
 
Tazama upande wapili wa sarafu, je; hao walioandamana ( masri, libya, tunisia, syria et cetera) wameleta amani nchini mwao? - kwa mifano yako mimi namuunga mkono Pengo.

Ukombozi ni process. Hao uliowataja wako kwenye process!!! Hatua hiyo ya maandamano itaisha na itaanza process ya kutulia baada ya kukubaliana yale ambayo yalikuwa hawakubaliani.
 
Tazama upande wapili wa sarafu, je; hao walioandamana ( masri, libya, tunisia, syria et cetera) wameleta amani nchini mwao? - kwa mifano yako mimi namuunga mkono Pengo.
watu mnashangaza,they have done this kunufaisha hata kizazi kijacho,watu wanaangalia 20 years to come,na uhakika watoto wao watanufaika na maandamano haya,HEY MAN WAKE UP,usiangalie one year after,focus on ten years to come
 
Maandamano ndo yalisaidia BEI ya sukari IPUNGUE MIEZ MICHACHE YA NYUMA
watu mnashangaza,they have done this kunufaisha hata kizazi kijacho,watu wanaangalia 20 years to come,na uhakika watoto wao watanufaika na maandamano haya,HEY MAN WAKE UP,usiangalie one year after,focus on ten years to come
 
Maandamano ni last resort baada ya kunyimwa haki. Huwezi kuandamana kama unasikilizwa kwa kitu cha haki. After all makanisani hakuna democracy. IMANI, unaamini bila kuhoji -kuwa kitu/jambo fulani ni cha/la kweli kweli kabisa. Huruhusiwi ku-reason, vinginevyo dini wangeasi wengi!!!! Hivyo Mtazamo wa Kardinali Pengo ni reflection ya undemocratic nature of the church and we all belivers succumb-kwa kuwa ni imani. Nami ni muumini huwa sihoji. Siasa si imani, bali ni reality. Objectivity of things!!!!
Una uhakika na unachokiongea? kuwa kanisani huruhusiwi ku-reason? Nadhani unajaribu kuliwasilisha hili to the wrong person? Nikikujibu kwa kutumia Church Doctrines and Theology nitakuchanganya akili na kukupoteza kabisa kutoka na msingi ulio nao kichwani na ambao umeamua kuufuata.
Kwa kukusaidia labda nikujibu kwa kutumia mifano rahisi kabisa amabyo hata mtoto wa sunday schools ataelewa:
Si kweli kwamba kanisa linakataza waumini/watu ku-reason, kama ingekuwa hivyo katika mafumdisho yake juu ya uumbaji, basi ile sehemu ya Mungu alitupa wanaadam akili na utashi kisingefundishwa.
Kanisa lisingejenga vyuo. pia kanisa lisingejenga Hospitals wangekuwa wanahimiza watu wapone kwa maombi badala ya kutegemea dawa.
Lisingefundisha watu katika kujitafuta na kujitambua, mafundisho katika ukristo yana mhimiza sana mtu kujitafuta, na kujitambua yeye na wajibu wake katika hii dunia na huwezi ukafanya yote hayo kama huna uwezo au uhuru wa ku reason.
Na ndiyo maana hawalazimishi mtu kuamini waaminicho, wanatambua haki za viumbe wengine katika hii dunia ndiyo maana wanahifandhi mazingira, wanatambua haki za watu wa imani nyingine katika hii dunia ndiyo maana wanafundisha heshima na utu kwa wote, wanatambua kuwa tofauti za rangi, maumbile, imani e.t.c ni mpango wa Mungu na hivyo hawahitaji kuwabeza wengine na wao kujiona bora, bali wanahitajika kuwatambua, kuchangamana nao na kutowakwaza katika imani zao.

Sasa ndugu yangu , mpaka hapo sijui tuhuma zako zina ukweli kwa kiasi gani?
Najua umechagua kulaumu/kutuhumu kwa kuwa ni rahisi kufanya hivyo kuliko ungechagua tofauti na hivyo au kukaa kimya.
 
achunge kondoo dhidi ya mbwa mwitu na dubu wenye njaa. corupt mind.
 
Back
Top Bottom