Haka kamvua na kiwinta vinakukumbusha nini?

duh... mkuu yaani la pili tayari ulishaanza kuangalia ndito? kweli kilimo ni asili yetu watanzania

Nadhani ni majaliwa yake mola, kweli hisia zilikwepo ingawa vitendo ilikuwa bado lkn i was just feeling it, na si mie tu kuna jamaa yangu mmoja nilikuwa namsindikiza eti anamfukuzia mtoto wa mbunge wa KWERA (Mzi...kaya) sasa hivi yule dada nasikia yupo ulaya. dah na kenyewe kalikuwa ka sweet, sa tukiwa na miaka nane hapooooo hahahahahahahahahahahahahahah
 
Ni kweli wandugu mi nakumbuka mvua hizi zilikuwa kawaida huko 80's wakati huo tunaenda primary umeloa kaptula na viatu havifai. Niulize juu umejifunika nini, juu una bonge la nailoni mwamvuli walikuwa nao wanafunzi wachache hadi waalimu walikuwa wanawaazima.

Dah kweli tumetoka mbali!
 
It is Summer over here, 40c Temperature :angry:

pole sana mazee,

i am planning not to go to the office kesho ili nipate ubora wa kimvua hiki aisee, yaani shuka linakua tamu kama nini
 
DN mimi bwana kipindi hiki nilipokuwa shule ya msingi.............mmh nilikuwa sipendi kukanyaga maji maji au matope, kwenda shule duh kazi ya ziada ilihitajika. nilikuwa na boot zangu maalum for such days with my stockings (uchepechepe ulikuwa unaniudhi sana, sasa ndo nikiona na uchafu uchafu dizain duh hata msosi sitaki kabisa coz when am eating i would recall that) hahaaa but I looked lovely with my speicial boots n stockings lol!!!
 
Hali hii inanikumbusha matembezi ya Pamoja huku wote mmevaa Gambuti za kuzuia tope ali maarufu Rain boot.Naona jana watu wameunga azimio ile mbaya.Duh wakazi wa mabondeni, hasa jangwani,balaa tu.
 
yaani jamaa ni soo...

yani me nimecheka mbaya,teh teh
chimunguru umenikumbusha mtu mmoja ivi na team yao walikua wananisumbua balaa enzi izo tuko std 1 na 2 tuu...ukifika muda wa "kwaheri mwalimu kwaheeri-tutaonana keshooo"
 
hahahaah ukiona hivyo ujuwe unalipa hahahaaaaaaa.
 
tehe tehe inanikumbusha wakati niko darasa la pili miaka ya 80 mwanzoni pale sumbawanga, mvua ilikuwa ikinyesha mwalimu wetu wa mwandiko alipenda sana kutuambia tuunganishe madawati, yaani rows zote tatu tunaziunganisha tunakuwa tumekaa km kwenye fremu moja mithili ya yale ma benchi marefu ya kanisani. Niliipenda sana style hiyo sababu upande wa kulia kwangu walikuwa wanakaa wasicha watupu watatu, nawakumbuka wawili, mmoja alikuwa akiitwa lilian, mwingine monica, acha bana walikuwa watoto wazuri ajabu (tehetehetehe). Ile tukiunganisha madawati tu wananiweka katikati yao, basi kale kajoto na kule kunifinya finya mara wanitekenye daaaaaaaaaaaaah niliipenda sana ile style. Walikuwa marafiki zangu wakubwa sana tukitaniana sana, lkn wao hawakujua kwamba nilikuwa nawahusudu mbaya!! Ingawa nilikuwa na oly 8 yrs hahahahahah mpaka leo nawakumbuka. Huyu monica alikuwa mweupe kama papai ana meno meupeeee, dimpo za kufa mtu na nywele ndefu akisuka only twende kilioni wakati ule kulikuwa hakuna kulemba. Huyu lilian alikuwa ana weusi wa nyoka, ana ng'aa balaa halafu alikuwa ana kaalama shavuni hivi ka duara. Nilipenda kuwaita wachumba zangu lkn bahati mbaya tulikuwa bado watoto wadogo sana. Baadaye darasa la tatu nilihama mkoa. Kila mvua inyeshapo na kiubaridi kama hiki sichelei kuwakumbuka hawa friends wangu!!!!

nimecheka mie hiyo ilikuwa miaka ya 80 vip sasa hali kama hii ya mvua unajisikiaje?
 
DN mimi bwana kipindi hiki nilipokuwa shule ya msingi.............mmh nilikuwa sipendi kukanyaga maji maji au matope, kwenda shule duh kazi ya ziada ilihitajika. nilikuwa na boot zangu maalum for such days with my stockings (uchepechepe ulikuwa unaniudhi sana, sasa ndo nikiona na uchafu uchafu dizain duh hata msosi sitaki kabisa coz when am eating i would recall that) hahaaa but I looked lovely with my speicial boots n stockings lol!!!

kumbe hujaanza leo B eeh! no wonder...
 
nimecheka mie hiyo ilikuwa miaka ya 80 vip sasa hali kama hii ya mvua unajisikiaje?

we acha tu, kama ulikua kwenye mawazo yangu!!! lazma atakua kajikunyata kishenzi na mwazo mbaliiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom