Hai: Freeman Mbowe apatikana na hatia, ahukumiwa mwaka Mmoja jela

Namshauri huyu aliyepigwa afungue kesi ya madai na kuomba fidia.
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Sumu aliyowekewa Mwakyemba ndiyo hiyo hiyo aliyowekewa Mwandosyee,Maccm siyo mamtu mazurii kabisa mwaka huu ni kuyapiga chini tu.
 
Huyo hakimu naye magamba vilevile kama mshtaki hana shahidi ameridhishwa vipi na upande wa mashtaka mpaka atoe hukumu hiyo au mtoa nada hajasema hapo muwa mlalamikaji hakua na shahidi hata mmoja? Nisaidieni jamani hii sijaielewa maana nahisi mtoa mada ni mfuata mkumbo wa mgamba tafadhali msaada Kwa hili

Sababu aliyeshtaki ni CCM..........
 
yaani kwa hukumu hii, inatakiwa ajiuzulu nafasi zake zote hadi atakapo weza kuifuta hukumu hii. ila kwa siasa za tanzania ataendelea tu
Watafunguliwa kesi za jinai karibu wote ili wajiuzulu... hii ni Tanzania
 
Keshapoteza sifa ya kugombea nafasi yeyote, ikiwemo Ubunge.

Misukule nyie hamijui sheria na hilo ndo mlikuwa mnakisubiria sio? Imekula kwenu na mkaisome sheria. Kesi ya shambulio sio shtaka la kumzuia mtu kugombea nafasi yoyote. Hata bungeni watu huzichapa tena sana tu.. kesi zinazomzuia mtu kugombea ni , rushwa, wizi, ufisadi, ubadilifu wa mali ya umma na ugaidi pamoja na murder case. Mtalila mwaka huu lazima tuwamalize maccm.
 
yaani kwa hukumu hii, inatakiwa ajiuzulu nafasi zake zote hadi atakapo weza kuifuta hukumu hii. Ila kwa siasa za tanzania ataendelea tu

wapi; tutambania hapo hapo; shule za kata zimeokoa

muosha uoshwa; alimutaka sana zitto na kumkejeri sana ; aksante mungu kumuumbua asubuhi.
Badala ya kukata rufaa kakiri kosa na kulipa faini

time will tell
 
Hiyo ni criminal. Mojawapo ya test ni pamoja na kwamba fine inalipwa kwa jamhuri na wala siyo aliyepigwa. Pia mshitaki alikuwa jamhuri na si aliyepigwa.

Aliyepigwa anaweza fungua kesi ya madai na kuomba alipwe fiadia.

CC. Mmawia.
 
Last edited by a moderator:
Mwenykiti wa CHADEMA, Mh Freeman Mbowe, Leo katika Mahakama ya Mjini Hai, amepatikana na hatia ya kumshambulia muangalizi wa kituo cha kupigia kura.

Amehukumiwa faini ya 1m au kifungo cha mwaka 1.

Watu waliofika mahakamani hapo wamechanga pesa hizo na kumlipia papohapo.

Ameondoka kuelekea Dar.
Kesi ya muda hii,tangu 2010,so dogo alopigwa ndo atapewa hyo mil 1? Au inaenda kwa gvt?
 
2Q==
 
haya sasa. Huyo anataka ridhaa ya wananchi wakichague chama chake, atakuwa mwenyekiti wa chama tawala anayeshambulia raia wake.

naskia huyo aliyepigwa ngumi na kujipeleka policcm ni mumeo je katika hiyo milioni ww na mumeo mmemegewa ngapi?
 
Tumesikitishwa sana na hujuma zilizofanywa na mahakama leo baada ya kutoa hukumu iliyokuwa inamuhusu mbunge wa jimbo la hai ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa mhe.Mbowe kupewa hukumu ya kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya shilingi milioni moja .ukisoma katiba kwa makini katiba yetu kwa mstari hapo chini .Mbowe hatoweza tena kugombea ubunge wa hai kutokana na hukumu ya leo
View attachment 261192
Hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho baada ya ccm kuona Mbowe anakubalika sana kwenye jimbo lake la hai naona ccm wameamua kuja hizi mbinu za hujuma kwa kushirikiana na mahakama lakini watambue watakuwa wanashinda na moto wa gesi hawawezi kufanikiwa kuzuia harakati za Mbowe kwenye ukombozi wa nchi hii.
CCM IPO KWENYE MSTARI WA KIFO.

We utakuwa umeshachanganya mbege na kiroro wakati unaandika huu uzi, ccm ndio walimtuma hakimu kutoa hukumu? au mbowe alitumwa na chadomo kutenda kosa? au waliokuwa jela wote wamehukumiwa kwa mgongo wa ccm? fikiri kabla ya kuandika upuuzi wako humu jf, eti anakubalika:what:
 
Mwenykiti wa CHADEMA, Mh Freeman Mbowe, Leo katika Mahakama ya Mjini Hai, amepatikana na hatia ya kumshambulia muangalizi wa kituo cha kupigia kura.

Amehukumiwa faini ya 1m au kifungo cha mwaka 1.

Watu waliofika mahakamani hapo wamechanga pesa hizo na kumlipia papohapo.

Ameondoka kuelekea Dar.

Sasa sijui uyo kama anafaa kugombea tena mnao jua sheria mtuambie
 
Back
Top Bottom