Hai: Freeman Mbowe apatikana na hatia, ahukumiwa mwaka Mmoja jela

Tumesikitishwa sana na hujuma zilizofanywa na mahakama leo baada ya kutoa hukumu iliyokuwa inamuhusu mbunge wa jimbo la hai ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa mhe.Mbowe kupewa hukumu ya kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya shilingi milioni moja .ukisoma katiba kwa makini katiba yetu kwa mstari hapo chini .Mbowe
hatoweza tena kugombea ubunge wa hai kutokana na hukumu ya leo
View attachment 261192
Hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho baada ya ccm kuona Mbowe anakubalika sana kwenye jimbo lake la hai naona ccm wameamua kuja hizi mbinu za hujuma kwa kushirikiana na mahakama lakini watambue watakuwa wanashinda na moto wa gesi hawawezi kufanikiwa kuzuia harakati za Mbowe kwenye ukombozi wa nchi hii.
CCM IPO KWENYE MSTARI WA KIFO.

Tuna mawakili wasomi akina Lisu
Hii ni issue ndogo
Mbona Rage na Chenge walihukumiwa na wakalipa faini na wakagombea ubunge?
 
We utakuwa umeshachanganya mbege na kiroro wakati unaandika huu uzi, ccm ndio walimtuma hakimu kutoa hukumu? au mbowe alitumwa na chadomo kutenda kosa? au waliokuwa jela wote wamehukumiwa kwa mgongo wa ccm? fikiri kabla ya kuandika upuuzi wako humu jf, eti anakubalika:what:

Jibu HOJA, matusi peleka nyumbani kwako...
 
We utakuwa umeshachanganya mbege na kiroro wakati unaandika huu uzi, ccm ndio walimtuma hakimu kutoa hukumu? au mbowe alitumwa na chadomo kutenda kosa? au waliokuwa jela wote wamehukumiwa kwa mgongo wa ccm? fikiri kabla ya kuandika upuuzi wako humu jf, eti anakubalika:what:

CCM wamefanya hujuma kwenye hiyo kesi kwani hukumu nyingi zinazofanyika zinakuwa zimeshatolewa na viongozi wa ccm kwani kuna siri gani .mbona Rage alipokuwa na kesi kumtishia mtu kwa bastola alihukumiwa kwa miezi 6 kwa nini
 
wapi; tutambania hapo hapo; shule za kata zimeokoa

muosha uoshwa; alimutaka sana zitto na kumkejeri sana ; aksante mungu kumuumbua asubuhi.
Badala ya kukata rufaa kakiri kosa na kulipa faini

time will tell

Tulia ewe msukule wa zito. Hii ni case ya kawaida tu. Hata wew mwenyew unayo sema uliwahi kumshambulia kimaneno ama kumpiga hakuenda mahakaman. Umegombana mara ngapi ktk maisha yako wew. Hata bungeni watu huzipiga na huendelea kuwa mbunge. Au unajifanya wew leo ndo umesikia kesi kama hiyo ya kitoto???
 
We utakuwa umeshachanganya mbege na kiroro wakati unaandika huu uzi, ccm ndio walimtuma hakimu kutoa hukumu? au mbowe alitumwa na chadomo kutenda kosa? au waliokuwa jela wote wamehukumiwa kwa mgongo wa ccm? fikiri kabla ya kuandika upuuzi wako humu jf, eti anakubalika:what:
Hila Za magamba haziwezi kuzuia nguvu Za Mungu. Mbowe atagombea na atarudi Tena Bungeni. Ni jambo la kusikitisha huwezi kujadili hoja Ila unatukana
 
Tuna mawakili wasomi akina Lisu
Hii ni issue ndogo
Mbona Rage na Chenge walihukumiwa na wakalipa faini na wakagombea ubunge?

Kosa linalomuondolea raia haki ya kutochaguliwa ni pale anapohukumiwa kwa makosa ya jinai
 
CCM wamefanya hujuma kwenye hiyo kesi kwani hukumu nyingi zinazofanyika zinakuwa zimeshatolewa na viongozi wa ccm kwani kuna siri gani .mbona Rage alipokuwa na kesi kumtishia mtu kwa bastola alihukumiwa kwa miezi 6 kwa nini

Kwa hiyo Rage alipohukumiwa hakugombea tena Ubunge mbona yupo mjengoni au mdogo wake.
 
Haya sasa. Huyo anataka ridhaa ya wananchi wakichague chama chake, Atakuwa Mwenyekiti wa chama tawala anayeshambulia raia wake.

Dc Makonda ni kada wa chama tawala, alimshambulia (alimpiga) hadharani waziri mkuu mstaafu mzee Warioba na m/kiti wa tume ya katiba. Hakushitakiwa mahakamani (culture of impunity) na kisha kuteuliwa kuwa dc wa wilaya ya Kinondoni!
 
Tuna mawakili wasomi akina Lisu
Hii ni issue ndogo
Mbona Rage na Chenge walihukumiwa na wakalipa faini na wakagombea ubunge?

Chenge na Rage kama wapo juu ya sheria hawa magamba watatuambia hatuwezi kukubali huu uonevu kuendelea .
HAKUNA AMANI BILA HAKI
 
We utakuwa umeshachanganya mbege na kiroro wakati unaandika huu uzi, ccm ndio walimtuma hakimu kutoa hukumu? au mbowe alitumwa na chadomo kutenda kosa? au waliokuwa jela wote wamehukumiwa kwa mgongo wa ccm? fikiri kabla ya kuandika upuuzi wako humu jf, eti anakubalika:what:
Umesahau kaka ungemmalizia tu kwa kumuambia kwamba.
Dhambi waliomfanyia ZITO kabwe itawatafuna wao kwa wao kama Mbuzi wa kafara.

Na hapo ndio naona UKAWA wanamsimamisha LIPUMBA sasa kwenye Uraisi,hahaha sipati picha ya watu kupoteza majimbo kama njugu kwa chuki za wao kwa wao,ndani kwa ndani.
 
We utakuwa umeshachanganya mbege na kiroro wakati unaandika huu uzi, ccm ndio walimtuma hakimu kutoa hukumu? au mbowe alitumwa na chadomo kutenda kosa? au waliokuwa jela wote wamehukumiwa kwa mgongo wa ccm? fikiri kabla ya kuandika upuuzi wako humu jf, eti anakubalika:what:

Punguza ushabiki....
 
dc makonda ni kada wa chama tawala, alimshambulia (alimpiga) hadharani waziri mkuu mstaafu mzee warioba na m/kiti wa tume ya katiba. Hakushitakiwa mahakamani (culture of impunity) na kisha kuteuliwa kuwa dc wa wilaya ya kinondoni!

sio mwenyekiti wa chama ; mfano wako relete na mwenyekiti wa cuf au ccm jk
 
Back
Top Bottom