Wanasema unabana halafu unaachia unabana tena halafu unaachia ndio maisha kibongo bongo tutafika.Kuna theory moja sijui hii ni ya ukweli iko hivi; ikitoka awamu ya kiongozi imara, mchapa kazi na asiyetaka mchezo kwenye kazi basi awamu inayofuata itakuwa goigoi na yenye kuchezewa na wapiga deal hadi wananchi washangae!!
Sijui upo ukweli?
Wahuni tu mbona mikataba ya madini na gas hawakufanyia hadharaniLeo pale kivukoni wamezuia magari na kuleta usumbufu mkubwa kwa wananchi ili uweza kufanya hiyo hafla ya utiaji saini,ukiliangalia hili jambo kiundani utakuja kugundua inaonyesha wazi wazi jinsi viongozi wetu wa zama hizi
umeona eeeh....kwa jambo hili la kujionyesha ndio wanafanyaWahuni tu mbona mikataba ya madini na gas hawakufanyia hadharani
100% correctKuna theory moja sijui hii ni ya ukweli iko hivi; ikitoka awamu ya kiongozi imara, mchapa kazi na asiyetaka mchezo kwenye kazi basi awamu inayofuata itakuwa goigoi na yenye kuchezewa na wapiga deal hadi wananchi washangae!!
Sijui upo ukweli?
anaweza akawa yeye 😃Mgeni Rasimi sio Samia?.
Hajasema hayapiti tumevuka kwa shida mno asubuhiMtoa mada muongo.
Magari yanapita Kivukoni kama kawaida
Tunaongozwa na waswahili wa pwani huo ndio utamaduni waoInasikitisha sana kuona jambo dogo la utiaji saini kwa ajili ya kwenda kwenye matengenezo ya Mv Magogoni ukifanyiwa sherehe kitu ambacho hakikufanyika kwa Mv kazi japokuwa ilitengeneza hapa hapa na mzawa Songoro marine.
Leo pale kivukoni wamezuia magari na kuleta usumbufu mkubwa kwa wananchi ili uweza kufanya hiyo hafla ya utiaji saini,ukiliangalia hili jambo kiundani utakuja kugundua inaonyesha wazi wazi jinsi viongozi wetu wa zama hizi wasivyokuwa serious na kazi,kivuko cha Mv Magogoni ni cha muda mrefu kidogo na kilipaswa kupelekwa mapema sana kwenye matengenezo bila kuchelewa kwa sababu ni kikubwa na ni msaada mkubwa kwa wananchi wa Kigamboni sasa kimeegeshwa ni wiki ya 3 sasa na leo ndio inafanyika hiyo hafla kwanza kabla ya kupelekwa Mombasa kwa matengenezo.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni malalamiko na minongono mingi ya wananchi mbalimbali waliokuwa wanavuka hakika wameshangazwa sana na hilo jambo wamebaki wakijiuliza maswali mengi yasiyokuwa na majibu.
Tunaomba serikali ijaribu kuwa inaangalia umuhimu wa jambo kabla halijafanyika kwa maslahi mapana ya Taifa.
Mungu ibariki Tanzania.
hakika 😃Tunaongozwa na waswahili wa pwani huo ndio utamaduni wao
Watakibeba au kitatembea chenyewe? Kwanini kisifanyiwe matengenezo hapahapa, kuna kaharufu ka upigaji.Inasikitisha sana kuona jambo dogo la utiaji saini kwa ajili ya kwenda kwenye matengenezo ya Mv Magogoni ukifanyiwa sherehe kitu ambacho hakikufanyika kwa Mv kazi japokuwa ilitengeneza hapa hapa na mzawa Songoro marine.
Leo pale kivukoni wamezuia magari na kuleta usumbufu mkubwa kwa wananchi ili uweza kufanya hiyo hafla ya utiaji saini,ukiliangalia hili jambo kiundani utakuja kugundua inaonyesha wazi wazi jinsi viongozi wetu wa zama hizi wasivyokuwa serious na kazi, kivuko cha Mv Magogoni ni cha muda mrefu kidogo na kilipaswa kupelekwa mapema sana kwenye matengenezo bila kuchelewa kwa sababu ni kikubwa na ni msaada mkubwa kwa wananchi wa Kigamboni sasa kimeegeshwa ni wiki ya 3 sasa na leo ndio inafanyika hiyo hafla kwanza kabla ya kupelekwa Mombasa kwa matengenezo.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni malalamiko na minongono mingi ya wananchi mbalimbali waliokuwa wanavuka hakika wameshangazwa sana na hilo jambo wamebaki wakijiuliza maswali mengi yasiyokuwa na majibu.
Tunaomba serikali ijaribu kuwa inaangalia umuhimu wa jambo kabla halijafanyika kwa maslahi mapana ya Taifa.
Mungu ibariki Tanzania.
Kazi TunayoHii tabia ya kutafuta attention kwenye kila jambo ni dalili ya uoga na kutojiamini kwa serikali yetu, na watendaji wake.
Nchi imegeuka ya "hafla" kila siku, hapo naamini budget iliandaliwa wajanja wameshajipigia chao, maisha yanaendelea, kesho tena wanapanga waandae "hafla" ya nini kingine wajipigie pesa za wajinga.