nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,664
- Thread starter
- #21
Softcopy hatujaafikiana kuzitoa.Softcopy naweza kuipataje?
Softcopy hatujaafikiana kuzitoa.Softcopy naweza kuipataje?
Sio mbaya kama urithi bado upo ndani ya damu yenu ila hata kufuata usia wake nalo la kupongezwa.mhhhh icho kipaji mimi sina, ila kuna wanawe wengine wanaojaribu. Mimi nafuata yale aliyousia tu.
asante sana.Sio mbaya kama urithi bado upo ndani ya damu yenu ila hata kufuata usia wake nalo la kupongezwa.
Una vitabu vipya vya aina ngapi? Ningependa kununua nakala mpya aina zote ulizonazoasante sana.
VIPO AINA SITAUna vitabu vipya vya aina ngapi? Ningependa kununua nakala mpya aina zote ulizonazo
Kwa hao watunzi, walizitendea haki kalamu zao.Nameless japo tunapata burdan but tu nakumbuka mbali ni furaha ndani ya majonzi utunzi kama huu adhwimu kuupata kwa watunzi wa miaka hii hakuna.Mzee Ben,mzee ganzel na mzee musiba watabaki kuwa watunzi bora katika akili yangu.
Itabidi tu usake copy yako mkuuUtunzi maridhawa kabisa Huu.
Utaileta yote ama n do itatubidi tusake copy ?
Hakuna shida. Karibu.dah nitakupigia kesho kama kutakuwa na uwezekano tukutane posta nichukue kitabu cha hii stori... Mimi ni mtumwa katika kusoma vitu kama hivi.. Mngekuwa mpo ofisini ubungo mpaka saa mbili ningekuja usiku ningekuja leo leo
mi mwenyewe hata sijui. Pengine mzimuDah sasa huyu Monalisa ni jini au??? anajuaje hadi majina bandia wakati hakuwepo?? au aliweka kinasa sauti kwa siri kwenye mwili wa Joram??? Nitafanya kila njia nikipate na hiki kitabu this weekend!!! Thanks Nameless girl.