Hadhi ya kuitwa ‘Balozi’ huwa ina faida gani kwa mtu asiyetumikia tena ubalozini?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,129
35,153
Huenda kuna kitu sikijui au kimenipita. Hivi mtu ambaye aliwahi kuwa balozi, na sasa hatumikii tena kazi hiyo, kuendelea kuitwa balozi huwa kunaongeza nini kimaisha yake ukiondoa sifa za kujidai kijamii au kumbukumbu za zamani?

Je, kuna posho huwa wanalipwa kwa kuwa na hiyo hadhi ya kuitwa balozi?

Je, huwa wanaendelea kubakia na diplomatic status previlege maisha yao yote wakiwa na hiyo hadhi ya kuitwa balozi?

Hapa ni baadhi ya watu ya watu waliowahi kuwa mabalozi na hatukuwahi kuwasikia wakiitwa au kujiita mabalozi mara baada ya kuondoka kwenye kazi za ubalozi.

1. John Samweli Malecella
2. Salim Mohamed Salim
 
Sifa za kijinga kwa wapumbavu ngozi nyeusi
 
Umesahau kuwa kuna Mzee mmoja sasa ni Marehemu alipoitwa Balozi alikataa kwa kusema kuwa, unaitwa Balozi ukiwa unamwakilisha Rais na baada ya hapo, si sahihi kuitwa Balozi. Ni Marehemu Andrew Tibandebage ambaye alikuwa rafiki kipenzi wa Mwalimu Nyerere.
 
Salim Mohamed = Salim Ahmed Salim
 
Umesahau kuwa kuna Mzee mmoja sasa ni Marehemu alipoitwa Balozi alikataa kwa kusema kuwa, unaitwa Balozi ukiwa unamwakilisha Rais na baada ya hapo, si sahihi kuitwa Balozi. Ni Marehemu Andrew Tibandebage ambaye alikuwa rafiki kipenzi wa Mwalimu Nyerere.
Hizi ni vyeo vya Waafrica wapenda sifa, Wazungu hawana huu ujinga
 
Back
Top Bottom