Habari zenu wanajamii! Nimekuja kutoka uswaiilini

kutoka-uswazi

New Member
Jul 4, 2012
2
0
Habari zenu wanajamii wote!naomba mnipokee pia nategemea muongozo wenu jinsi yakushiliki kwenye mijadala mbalimbali
 
karibu ila tabia za kiswazi huko huko. mwone BAGAH ulipie utambulisho.
 
Last edited by a moderator:
karibu mjini...hapa ndio JF, kuna mitaa mingi sana kama MMU, Chit Chat, Hoja Mchanganyiko n.k hakikisha tu haupotei
 
Back
Top Bottom