Habari za vitisho kwa Madaktari ni za kutunga - Kibonde wa Clouds FM

Status
Not open for further replies.
Huyu bwana mdogo ni wa kusamehewa ni taahira na mtindio wa ubungo ndio maana hata dental formulae yake ni mbovu
 
watangazaji kama hawa ndo wanaifanya hii radio inapoteza fans kila siku.ccm itakufa na washirika wake wote
 
Anaesema nizakutungwa ndie mwenye nafasi ya kuthibitisha kwamba ni zauongo, vinginevyo aulizwe vizuri inaelekea anawajua wahusika, tabu ya hizi radio za kihuni na watangazaji nao ni likely kuwa wahuni
 
[h=2]
icon1.png
Kibonde wa couds fm ni mnafiki na mzandiki[/h]
Salaa wana JF.

Kwa masikitiko makubwa nimelazimika kuandika thread hii kuhusiana na tabia ambayo haiakisi weledi wa fani ya utangazaji inayooneshwa na mtangazaji wa clouds fm aitwaye Ephraim Kibonde. Huyu jamaa ktk kipindi cha jahazi ktk segment ya habari zilizojiri mjini ni mara nyingi saana huwa anaforce mitazamo yake ionekane ndio sahihi hata kama hana hoja za msingi.

Kwa mfano leo jioni ktk kipindi cha jahazi, jamaa ameponda sana taarifa zilizotolewa ktk magazeti kuwa viongozi wa CHADEMA wametishiwa kuuawa. Kwa maelezo yake ni kuwa hizi ni habari za uongo na anataka wasikilizaji wote waamini kuwa habari hizi ni za uongo. Akaendelea kueleza kuwa waandishi wa habari kabla ya kuchapisha habari kama hizi wanapaswa kupewa kwanza ushahidi. Je waandishi wa habari nao ni sehemu ya jeshi la polisi?

Maswali machache ambayo ningependa yeye binafsi ayajibu kama huwa anatembelea humu jamvini ni haya yafuatayo:
1. Unafahamu kuwa Dr. Harrison Mwakyembe aliwahi kutoa taarifa ktk vyombo vya habari na pia polisi kuwa kuna watu
wanasuka njama za kumuua? Wapuuzi kama wewe walipuuza na matokeo yake kila mtu anafahamu yaliyomkuta Dr.
Mwakyembe.
2. Unafahamu kuwa Amina Chifupa kabla ya kufariki aliwahi kuripoti kuwa anatumiwa sms za vitisho na watu ambao
walikuwa wanahofia kuwa angewataja kuwa wanajishughulisha na biashara ya madawa ya kulevya? Wapuuzi kama
na wanafiki kama wewe walipuuza na matokeo yake kila mtu anafahamu kilichotokea.
3. Unafahamu yaliwahi kumkuta Imran Kombe? Naye pia alianza kwa kutumiwa ujumbe wa vitisho. Wanafiki, wapuuzi na
wazandiki kama wewe walikaa kimya lakini matokeo yake kila mtu anayakumbuka.
4. Unafahamu yaliyomkuta Horace Kolimba? Yaliyojiri si siri kwa umma wote wa watanzania.
5. Ufahamu matokeo ya vitisho alivyokuwa akitumiwa Said Kubenea wa mwanahalisi?

Tatizo kubwa mimi ninaloliona kwa waandishi wa habari wa aina hii ni matarajio yao kuwa huenda wakapewa fadhila ya Ukuu wa wilaya kama ambavyo baadhi yao juzi juzi walivyolipwa fadhila. Kama wewe Kibonde ni mpuuzi usijaribu kuwafanya watu wengine kuwa ni wapuuzi wenzako. Kwa hasira nilizonazo tu ni kwamba ninaisuburi kamati ya kuratibu maoni juu ya katiba mpya na hoja yangu ya kwanza ni kufutwa kwa vyeo vya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa kwani naona ndio chanzo cha baadhi ya watangazaji kupotosha ukweli wa habari wanazozitoa. Ninawaomba sana radhi kwa kutoiweka ktk mtiririko mzuri thread hii kwani nilikuwa na hasira zisizo kifani.​

Katika kipindi chake cha jahazi leo jioni, Ephraim Kibonde amesema habari zinazoandikwa na magazeti ya kwamba kuna watu wamekwenda Afrika Kusini kwa lengo la kumdhuru Dk.Ulimboka na habari za vitisho wanavyopewa viongozi wa chama cha madaktari Tanzania (MAT) ni habari za kutungwa, na vyombo vya habari vinatakiwa kuthibitisha habari hizo kabla ya kuandika. mfano akasema habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Tanzania Daima la leo tarehe 10 july 2012 ni habari ya kutungwa.
Naona huyu jamaa anazungumza upuuzi kama wa Stella Manyanya.

Ukiona mtu ana limdomo likubwa mwogope maana anaweza asimudu kulitawala - mfano, linaweza kufunguka mahali ambapo yeye hakutaka lifunguke! This is what I suspect happened to the guy!
 
Kibonde najaribu kujua anafanana nani sipati jibu yote nimemwachia mungu lamsingi nimefanya kama chombo chakunitoa stress basi lakini hana chakuonge ukakaa na kumsikiliza!!Kwakuwa na Media aliyopo ni kwamba haizingatii maadili ya utangazaji....wanachozingatia ni kama unajua kubwabwaja basi!

Ngoja nijaribu kukuchorea hapa (what he could be like) kama itakusaidia: Kakichwa kadogo, vimacho vidogo, vimasikio vidogo na limdomo hilo... Got it?
 
Kibonde anahemea njaa, kufanya kazi bila kuwa na profession kunasumbua inabidi utafute njia ya kukuweka mjini kisanii, hiki ndo kinachomsumbua Kibonde.
Alianza kunichefua muda mrefu tu kwa kutoa comments za kijinga once serikali hii dhaifu inapokuwa imebanwa kwa tuhuma au kutotenda haki kwa kada fulani mfano wa madaktari au waalimu, kibonde utumia muda wa kipindi chake cha Jahazi kuisemea na kuitetea serikali, njaa inamsumbua na yule BONDIA wake pale home anahitaji kula.
Ila huenda tabia hii ya kijinga ni moja ya falsafa ya utendaji wa kazi wa kampuni yao ya Cloude Entertainment Ltd coz kuna mjinga mwingine katika kipindi cha asubuhi cha Power breakfast anaitwa Gerrald Hando, naye tabia ni zile zile!
Kwanini wasijifunze toka kwa yule mwenzao wa Kenya aliyekuwa akitangazia Kiss Fm ambaye sasa aapatikana kwa sana kwenye ile mahakama ya baba Ocampo pale the Hague?
 
Ngoja nijaribu kukuchorea hapa (what he could be like) kama itakusaidia: Kakichwa kadogo, vimacho vidogo, vimasikio vidogo na limdomo hilo... Got it?

we chezea maumbile ya Mungu, subiri uzae mwanao ana hizo characteristics..
 
Unajua ma.s.h.o.g.a huwa hawana aibu,tabia zao hazitofautiani kabisa na machangudoa,tusiumize kicha kwa m2 km kibonde.
 
Hata EPA na Richmond zilianza hivi hivi wakasema ni Uongo, mara oooh baadae ikadhihirika ni kweli. Serikali hata siku moja haiwezi kubali makosa. Kibonde inabidi na yeye atuthibithishie kuwa anachosema ni kweli sio maoni yake tuu..

Katika kipindi chake cha jahazi leo jioni, Ephraim Kibonde amesema habari zinazoandikwa na magazeti ya kwamba kuna watu wamekwenda Afrika Kusini kwa lengo la kumdhuru Dk.Ulimboka na habari za vitisho wanavyopewa viongozi wa chama cha madaktari Tanzania (MAT) ni habari za kutungwa, na vyombo vya habari vinatakiwa kuthibitisha habari hizo kabla ya kuandika. mfano akasema habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Tanzania Daima la leo tarehe 10 july 2012 ni habari ya kutungwa.
Naona huyu jamaa anazungumza upuuzi kama wa Stella Manyanya.
 
Hivi Kwani Kibonde ni mwandishi wa habari?? Kibonde ni muongea habari tuu.
 
Magamba ndio wanamsaidia kununua ARV zake
 
alikusudia kusema ni za propaganda , Inawezekana uongo ukawa ukweli na ukweli ikawa uongo !
 
Mi simlaumu sana Kibonde, i think he is making his life from the system ya sasa, no mater how smal it is. Clouds fm i hv hando n Anold. Hando with the orientation of the radio yet u can feel sences. Kayanda not details much bt u can get something also, he is always neutral. Kibonde, not detailed, skewed, dominant on things he doesnt kno.
Mzee wa porojo na misifa.

halafu ukimsikiliza utasema ni mjuvi wa mambo kumbe hamna kitu,in most cases shule ni muhimu sn cuz inaondoa biases zisizokuwa za ulazima.
 
Hivi Kwani Kibonde ni mwandishi wa habari?? Kibonde ni muongea habari tuu.

lile boga linaweza kuwa mwandishi wa habari kweli?kazi yake ni kucritisize kilichoandikwa na wenzie.....kipindi chenyewe cha blah blah kile hamna chochote.masaburi yake yanafanya sana kazi.
 
Jamani huyu bwana amezidi kupotosha uma na kutetea uozo wa system sasa imefika wakati sisi wanyonde tuamue tunamfanyaje ili iwe fundisho pia kwa HANDO,WASIWASI na KAYANDA nadhani kumuacha tu virus ndio vimmalize haitoshi anazidi kutuchafua roho wana JAMVI toeni modality.
 
Jamni jina tu linaonyesha huyu ni mtu wa aina gani,mpeni dozi yake ile akalale angojee siku zake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom