H.Kasongo Hour-Emanuel Ole Naiko Katia Aibu

Dawa ya hapa Tanzania ni kuhakikisha Si Si Em wanaondoka katika Power halafu tuanze upya.
hawa ni wezi wakubwa
 
Tatizo kubwa la hizi issue ni kuwa kuna tofauti sana ya professionals view na activist view

Nikiwa kama Civil/Mining Engineer kuna nyakati ambazo siwezi kuongea na Lissu maana ideas nyingi ziko ki-activist zaidi kuliko professional point of view.

At a glance bado watu wengi hawajui mambo mengi ya madini nchi hii, tumekuwa wageni, na hatutaki kujua, wala kujishughulisha kujua, hivyo kila siku hizi issue zitakuwa za hivi hivi tu, kuongea kulaumu n.k

Kuna ya ukweli aliyoongea Naiko, nadhani challenge kubwa kuliko zote ambazo serikali ya sasa ina zi-face ni kuingia mikataba ya madini ambayo ni kichekesho, na ombi langu kwa activist kushika mpini hapo, mikataba ni mibovu saana, ambayo haiwezi kuelezeka wala kutamkika kirahisi

Tukija mambo ya mazingira they will always find justifications na ujanja wao wakiishapata justification ya mazingira basi inakuwa assumed kuwa hata mikataba ni SAHIHI!!! digressive technique!

Mikataba kwanza!!!!! kusema mazingira ni kusema mikataba iko sahihi!

Mzee hatujakuelewa may be kwa kuwa wewe ni Eng. Kama ungeenda deep na kusema ni wapi Naiko yuko sawa ungetusaidia sana badala ya kutuzungushia maneno.

All in all, kama kweli TZ ilifanya research kwa kupitia nchi mbalimbali na kuangalia wenzetu wanavyofanya ingekuwa vizuri kama wangetwambia ni nchi gani hizo?? Maana ukiangalia nchi kama Botswana na Namibia tu kama tungeweza kupata mikataba kama ya nchi hizi nafikiri hakuna ambaye angekuwa analalamikia hii mikataba. Lakini kama wanakwenda Brazil, Canada, Australia kuiga then that is wrong. Wale makapuni ni yao wenyewe na yanamilikiwa na wazawa. Kwa hiyo hata kama serikali itapata 3 % haina tabu kwa vile mali ipo nyumbani na wananamna nyingine za kubanana nao tofauti na sisi ambao kampuni ni za wageni.
 
Mimi ni mmoja wa watu ambao simwani kama Ole Naiko na napata shida sana na uwezo wake wa kuongoza mambo ya uwekezaji. Ila guess what? Ukiuliza watu hawaoni hilo watasema alichaguliwa na wenye kuchagua hawezi kuguswa, lol!
Sijapata ona!!
 
Tatizo la mikataba wala siyo gumu au kitu cha ajabu kama wengi wanavyotaka watu waamini. Mikataba yetu ni mibovu kwa sababu walioiandaa hawaifahamu biashara ya madini kikamilifu, wengi wanadhani kwa kuwa ni wanasheria, basi wanaweza kuandaa mikataba ya kila aina hata kwa business ambayo hawaijui vizuri. Tunatakiwa kuwa na wataalam wa mikataba ya biashara ya madini ambao watashirikiana na wataalam wa biashara ya madini.

.

Niliogopa kusema hilo mwanzoni, kuwa wanasheria wote hawafai kwenye issue za madini, wataalamu wa mikataba ya madini lazima wawe wanaojua process zote za madini,the best personnel ni wahandisi, si wanasheria tu mpaka wachumi wa madini lazima wawe wahandisi wa madini. Australia is best example in this. Hapa umemaliza na ndio conflict iliyopo Tz kwa sasa, watunga sera za madini sio wahandisi wa madini, waingia mikataba sio wahandisi wa madini. Mining generally ni kama mkusanyiko wa fani zote ziko pale!!!

Kama mtu huwezi kusoma geological model ya kusema kuwa hapa kuna madini kiasi gani, then itakuwa unfair kusema tu tunataka asilimia kadhaa za madini kwenye mikataba. Mikataba inaingiawa baaada ya kujua uwingi wa madini ya mahali hapo ambayo inapataikana kwa geological investigation. wawekezaji kamwe huwa hawabahatishi! na sisi tunatakiwa wataalamu wa mikataba wasiobahatisha, hapa sijaona, na nchi haijajitayarisha.

Mining iko categorised katika vipengele vifuatavyo.na vyuo vingi wanatoa degree hizi!, wengine wanasoma postgraduate.

Mining Engineering, Tax and Economics
Mining Engineering , Laws and Contract
Mining Eng& infrastructure
Mining eng. and Environment
Ming engi.......

and so and so

wenzetu ndivyo wanavyofanya na UDSM wameshauriwa hili wanafuata sera za CCM!! 'somesha wakatumike kama punda'

cheers
 
Waberoya,

..Chenge aliwahi kuulizwa kuhusu hii mikataba akasema wajibu wa Mwanasheria Mkuu si "kupatana bei."

..kuna watumishi wa serikali waliopewa hilo jukumu la kupatana bei hao nao wanapaswa kubeba mzigo wa lawama.

..haya makampuni ya nje yanapokuja hapa nchini huwa wana-hire wanasheria wa ndani, kwa hiyo hatuwezi kusema kwa uhakika kwamba tatizo ni wanasheria.
 
wanajua udhaifu wetu na wanautumia sawa sawa
 
Sababu kubwa ni kwamba makampuni haya yana mitaji mikubwa, yana teknolojia na uzoefu mkubwa, lakini pia yana uwezo to absorb risks. Katika sekta ya madini kampuni inaweza kutumia $100m kufanya utafiti katika eneo fulani, na baada ya miaka kadhaa ya utafiti majibu ya mwisho ni kuwa 'the project is not viable', na kampuni ikaondoka. Tunao watanzania wangapi au kampuni ngapi hapa Tanzania ambazo zinaweza kutumia kiasi hicho cha pesa, zikawa zimepoteza na wamiliki wakaona siyo tatizo, kwa vile ndivyo biashara hii ilivyo.

Kwa mfano pale BuckReef (Biharamulo), IAM gold mpaka mwaka jana ilikuwa imetumia U$37m, wakaona mradi hauna faida, na wameondoka kurudi kwao. Haya makampuni yana uwezo wa kufanya hivyo kwa vile yana miradi mingi Duniani, wakati anapata hasara Afrika na Asia, amepata faida South America. Tusihangaikie sana umiliki wa migodi uwe wetu bali tuhangaike kupata faida kutokana na shughuli za uchimbaji wa madini zinazofanyika Tanzania regardless who own those mines.

Mkuu napingana na wewe kwa hizo sehemu nilizotaja .

Umesema haya makampuni yana uwezomkubwa. na yanatumia teknolojia . Naamini Karne hii vifaa vya exploration usahiii wake ni mkubwa vile vile . Ukiondoa gharama exploration mwanzoni

Mpaka kampuni inaamua kuanza kuchimba inakuwa imeshafanya mahesabu na kuridhika kuwa kutokana na result z exploration yao uchimbaji utalipa

Uwezo wa kuchimba kwa faida wanakuwa wamezingatia pamoja na risks zote. Hakuna kampuni inakuja kufanya eploration au kuchimba bila cosideration ya risks . Kwa hiyo mpaka wanaamua kuweka magrader ya kuchimba ujue ni faida tuuuuuuuuuuuu

Kwa hiyo ukisema hao jamaa wa buckreef waliwekeza 37 $ millo na wakaona mradi hauna faida wakaondoka ujue kuna usanii . Mabepari hwafanyi kazi hivi. Ndio hap tunaibiwa mchana mchana.
- Ni operation costs au factors gani ambazo hawakujuua au kuzingatia zilizopelkea waanze kupata hasara

Kwa sababu kwanza ukiweka pembeni kucheza na kiwango cha madini wanayochimba hawa jama pia wanacheza hata na vitabu vya mahesabu. Je serikali ina njia ya kuthibitisha au kuhakiki kma kweli waliwekeza 37$ mil na sio 15 $ Mil? Naamin Serikali inategemea Mabepari wawe Honest. Kitu ambacho ni kichekesho.

Hii imenikumbusha miaka kampuni moja ya mobile. ilifanya makadirio eti itaanza kuapta faida baada ya miaka 15. Is this realistic au ni ujanja wa kukwepa Kodi na malipo mengine. Style hii ndo inatumika kwenye madini

Ni Kweli uwezo wetu ni mdogo hatuna teknolojia na uwezo mdogo kwenye sekta ya madini lakini tunapodili na bepari tuhakikishe hawatukamui sana.

Ofisi yetu ya Auditing imeweka priority ya wa kufanya Auditing za accounting . Techincal Audit ya MAdini ndio tuliwategema Alex Stewart. Hawa nao walifanya kichekesho ile faida tuliyotakiwa kupata kutokana na kazi yao basi wao ndo wakawa wanaichukua

.........The Alex Stewart (Assayers) Government Business Corporation (ASAGBC) was being paid Sh16.4 billion every year to audit gold produced in the country while Tanzania Mineral Audit Agency (TMAA) last year was paid only Sh3.4 billion for the same work.................
http://allafrica.com/stories/201001140155.html
 
Jamaa wanapiga mnada rasilimali zetu,
wanasaini miktaba Feki af eti wanasema ni Siri
Wanawapata jamaa wavune hadi wao wasema basi tumseshiba

Hawafai kabisa, watnzania lazima tusema sasa inatosha.:whoo:
 
Mkuu napingana na wewe kwa hizo sehemu nilizotaja .

Umesema haya makampuni yana uwezomkubwa. na yanatumia teknolojia . Naamini Karne hii vifaa vya exploration usahiii wake ni mkubwa vile vile . Ukiondoa gharama exploration mwanzoni

Mpaka kampuni inaamua kuanza kuchimba inakuwa imeshafanya mahesabu na kuridhika kuwa kutokana na result z exploration yao uchimbaji utalipa

Uwezo wa kuchimba kwa faida wanakuwa wamezingatia pamoja na risks zote. Hakuna kampuni inakuja kufanya eploration au kuchimba bila cosideration ya risks . Kwa hiyo mpaka wanaamua kuweka magrader ya kuchimba ujue ni faida tuuuuuuuuuuuu

Kwa hiyo ukisema hao jamaa wa buckreef waliwekeza 37 $ millo na wakaona mradi hauna faida wakaondoka ujue kuna usanii . Mabepari hwafanyi kazi hivi. Ndio hap tunaibiwa mchana mchana.
- Ni operation costs au factors ambazo hawakujuua au kuzingatia zilizopelkea waanze kuapta hasara

Kwa sababu kwanza ukiweka pembeni kucheza na kiwango cha madini wanayochimba hawa jama pia wanacheza hata na vitabu vya mahesabu. Je serikali ina njia ya kuthibitisha au kuhakiki kma kweli waliwekeza 37$ mil na sio 15 $ Mil? Naamin Serikali inategemea Mabepari wawe Honest. Kitu ambacho ni kichekesho.

Hii imenikumbusha miaka kampuni moja ya mobile. ilifanya makadirio eti itaanza kuapta faida baadaya miaka 15. Is this realistic au ni ujanja wa kukwepa Kodi na malipo mengine. Style hii ndo inatumika kwenye madini

Ni Kweli uwezo wetu ni mdogo hatuna teknolojia na uwezo mdogo kwenye sekta ya madini lakini tunapodili na bepar tuhakikishe hawatukamui sana.

Ofisi yetu ya Auditing imeweka priority ya wa kufanya Auditing za accounting . Techincal Audit ya MAdini ndio tuliwategema Alex Stewart. Hawa nao walifanya kichekesho ile faida tuliyotakiwa kupata kutokana na kazi yao basi wao ndo wakawa wanaichukua

Nataka nikuhakikishie kuwa nipo kwenye Industry ya mineral Exploration kwa zaidi ya miaka 16, na hakuna kifaa hata kimoja kinachotumika kwenye exploration ambacho sijakiona au kukitumia labda kama kimeanza kutumika mwezi huu, ninavyozungumzia Exploration risks, nina uhakika na ninachokiongea lakini si nia yangu kuingia kiundani zaidi maana hiyo itakuwa ni long professional topic ila kwa ufupi unatakiwa ufahamu kuwa mineral or oil exploration start with 100% risk which continue decreasing as you continue exploring. Mimi mwenyewe binafsi nasimamia miradi mbalimbali ya utafiti ikiwa ni pamoja na bajeti zake. Kwa ufupi ujue kuwa kwa wastani katika duniani nzima 'in every 1000 gold exploration licenses/projects is only 1 license turns into 1 big gold mine', and this is the biggest reason why gold is expensive and will continue to be expensive. It is one of the most risk businesses. The day when the risk will much go down gold price wil not be much different from that of other metals like iron. Why precious minerals (like gold, diamond, tanzante, alexandrite, etc) are very expensive is because of their rarity and risks involved.

Tunapozungumzia IAM gold kutumia U$37m siyo hesabu zinazotokana na hisia bali ni kutokana na auditing reports. Haya mashaka mnayoonesha nayo ni kutokana na watanzania wengi kutokuielewa biashara hii kikamilifu lakini kwa anayeelewa vizuri anafahamu kuwa ni vigumu sana na wala haitegemewi kampuni kubwa ya uchimbaji madini iseme inapata hasara wakati inapata faida maana kufanya hivyo ni kujiua. Makampuni haya faida zao kubwa zipo kwenye masoko makubwa ya hisa duniani kote, na hisa zao zinapanda pale tu kampuni inapoonekana inapata faida, na ina miradi mingi mizuri in their projects potifolio.

Kusema kuwa makampuni haya hayawezi kuingiza pesa kwenye utafiti bila kujua kama kuna faida, nayo pia ni kutokufamu biashara yenyewe.Kuna tofauti kubwa kati ya Explortion na Mining. Mining huwezi kuanza kama hujui kama mradi huo una faida au hapana lakini exporation unaanza kufanya ili ujue kama mradi unaweza kuwa na faida au hapana, mpaka kufikia hatua ya kujua kama mradi una faida au hapana , tayari gharama unayokuwa umeingia ni kubwa sana. Na kampuni zinakuwa na licenses nyingi sana ili kuongeza uwezekano wa license mojawapo kugeuka kuwa mgodi huku nyingi zikiachwa kwa vile hazifai.
 
Ninyi mnaofaidika na Per DIEM just PEANUT ndiyo mnaopanga foleni kwenye msafara wa Mamba.

Wenzenu wanakula Sangara na nyie mnapat mapanki,

Raha yenu ni kuona mnapanda ndege bure kwenda LONDON na kusaini mikataba ktk mahotel.

Mnasafiri na mihuri ya Ofisi kwenda nchi za nje lakini mnashindwa kupeleka hata mwakilishi wa serikali katika hukumu ya rada.
Mnatuuudhi sana,
 
Nataka nikuhakikishie kuwa nipo kwenye Industry ya mineral Exploration kwa zaidi ya miaka 16, na hakuna kifaa hata kimoja kinachotumika kwenye exploration ambacho sijakiona au kukitumia labda kama kimeanza kutumika mwezi huu, ninavyozungumzia Exploration risks, nina uhakika na ninachokiongea lakini si nia yangu kuingia kiundani zaidi maana hiyo itakuwa ni long professional topic ila kwa ufupi unatakiwa ufahamu kuwa mineral or oil exploration start with 100% risk which continue decreasing as you continue exploring. Mimi mwenyewe binafsi nasimamia miradi mbalimbali ya utafiti ikiwa ni pamoja na bajeti zake. Kwa ufupi ujue kuwa kwa wastani katika duniani nzima 'in every 1000 gold exploration licenses/projects is only 1 license turns into 1 big gold mine', and this is the biggest reason why gold is expensive and will continue to be expensive. It is one of the most risk businesses. The day when the risk will much go down gold price wil not be much different from that of other metals like iron. Why precious minerals (like gold, diamond, tanzante, alexandrite, etc) are very expensive is because of their rarity and risks involved.

Tunapozungumzia IAM gold kutumia U$37m siyo hesabu zinazotokana na hisia bali ni kutokana na auditing reports. Haya mashaka mnayoonesha nayo ni kutokana na watanzania wengi kutokuielewa biashara hii kikamilifu lakini kwa anayeelewa vizuri anafahamu kuwa ni vigumu sana na wala haitegemewi kampuni kubwa ya uchimbaji madini iseme inapata hasara wakati inapata faida maana kufanya hivyo ni kujiua. Makampuni haya faida zao kubwa zipo kwenye masoko makubwa ya hisa duniani kote, na hisa zao zinapanda pale tu kampuni inapoonekana inapata faida, na ina miradi mingi mizuri in their projects potifolio.

Kusema kuwa makampuni haya hayawezi kuingiza pesa kwenye utafiti bila kujua kama kuna faida, nayo pia ni kutokufamu biashara yenyewe.Kuna tofauti kubwa kati ya Explortion na Mining. Mining huwezi kuanza kama hujui kama mradi huo una faida au hapana lakini exporation unaanza kufanya ili ujue kama mradi unaweza kuwa na faida au hapana, mpaka kufikia hatua ya kujua kama mradi una faida au hapana , tayari gharama unayokuwa umeingia ni kubwa sana. Na kampuni zinakuwa na licenses nyingi sana ili kuongeza uwezekano wa license mojawapo kugeuka kuwa mgodi huku nyingi zikiachwa kwa vile hazifai.

Mkuu binafsi mimi sio mtaaalam wa madini lakini Kwenye project yeyote ile lazima iwepo risk analysis. Sasa ukiniambia kuna kampuni yenye hadhi tena ya kimataifa imefanya exploration na inafanya uchimbaji bila kufanya risk assesment nitashangaa sana .

Naona unaongelea riks za exploration ambazo ni kubwa lakini naamin kuna tofauti ya exploration na Mining. Umeeleza vizuri Nashukuru. Na mimi nilicchosema ni kampuni ianze kuchimba madini baada ya miaka mitatu ya uchimbaji waseme wanasitisha sabbabu ya risk. RIsk gani hizo? kamawalianza kuchimba wakataka kuondoka kwa kisingizo cha risk nitapata picha hizi

-Wamechimba madini yameisha
- kadirio la madini yaliypo walilowasilisha sehemu wanayochimbaa lilikuwa la uwongo
- Kadirio la madini yaliyopo sehemu waliyochimba lilikuwa sahihi na wameyacimba yote

Ni makampuni mangapi yanafanya explortion na mangapi yanfanya uchimbaji. .Nitashukuru sanaukinipatia mwanga na elimu. Kwa uwelwa wangu zipo kampuni zinazchimba nazo zinafanya usanii

Issue nyingine hawa wanaofanya exploration/wanaochimba huwa wanasafirsha tani za michanga kupeleka nje eti kwa uchunguzi zaidi. Hata kama mchanga wetu hauna madini je hauwezi kutahminishwa. Hao IAM gold kabla yakuondoka walisafirsha tan ngapi za mchanga kwa uchunguzi. Thamani ya mchanga wetu hata kama ni wa kujengea nyumba ilikuwa shilingi ngapi?

Tunapozungumzia IAM gold kutumia U$37m siyo hesabu zinazotokana na hisia bali ni kutokana na auditing reports.
Mimi Sielewi mambo ya madini lakini najua kazi ya Internal Auditors ni kusadia mteja wao kukwepa kodi na malipo mbali mbali. Ndio maana nimesema serikali ikideal na hawa watu iwe na macho manne. Hii sio kwa kampuni za madini tu.

Kuna kessi serikali ya marekani imefungulia kampuni iliyokuwa inafanya Internal Aduting kwenye kampuni ya bilionea mmoja anaitwa Madolf. Kama una muda google uone mantiki ya hoja yangu. Bepari ni bepari we need to be smart ili badala ya kuibiwa shilingi 100 waibe 40.

Uzuri wa internet unaweza usiwe knoledge na kitu lakini ukapata taarifa za pande mbili. Hao IAM gold wamekimbia. soma hapa chini
VANCOUVER - Tanzanian Royalty Exploration Corp. (TSX:TNX) says it has an opportunity to earn a 55 per cent interest in the Buckreef gold project in eastern Africa - formerly a holding of Iamgold Corp. (TSX:IMG).
Tanzania's state mining company, Stamico, would own the rest of the project, which is described as an advanced stage exploration project.
According to Canadian regulatory standards, the property contains about 265,000 ounces of gold on a measured basis, 83,000 ounces on an indicated basis and 507,000 ounces on an inferred basis.
Tanzanian Royalty said Tuesday that a definitive joint venture agreement is expected to be signed "in due course."
It said the Buckreef area has a long history of small-scale mining and exploration work, most of which was undertaken by the United Nations, the Tanzanian Mineral Resources Division, Williamson Diamonds and Iamgold, which brought the Buckreef property to its current stage.

source : http://www.winnipegfreepress.com/bu...anias-state-mining-corporation-112285264.html
 
"OLe NAiko:
HITIMISHO
Kila kitu kilichofanywa na Serikali hasa kwa sasaivi chini ya Ngereja ni safi kabisa.
Naomba watanzania turidhike na tunachopata na bado narudia kuwa biashra ya madini ni kama biashara nyingine yoyote.
Mikataba tuliyoingia hatuwezi kubadilisha katu."

I would like to suggest a book to Mr. Ole Naiko : Kusadikika. Nchi iliyo angani. by Shaaban Robert.

This book might convince him otherwise -- hopefully.
 
I think your thinking is forked and winding, which for a Seniour Member is a diservice. You claim that Hon. Lissu views are inclined in activism. You should be aware that activists have been in forefront in fighting for human honour, right to life, end of slavery, imbalanced trade et al since time imemorial. Being a professional is not incompartible to being an activist. Remember the Afrikaans doctrine? The fight to eliminate apartheid and its implications in South Africa was led by all tiype of professionals including priests! Bad contracts cannot be dismembered from environmental degradation as apartheid could not be separated from segregation in South Africa. We need more not less of the Lissus!
 
Back
Top Bottom