TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,765
- 4,033
nipeni mimi hiyo nafasi ya ole naiko.
Mwaga sifa zako mkuu,tukupe kazi!CV please!!
nipeni mimi hiyo nafasi ya ole naiko.
Kha, atakuwa aliila kwenye mboga wala si kuvuta.
Huyu jamaa wakati anzungumza haya alikuwa amepiga bange kidogo??????????
Hujaeleweka mkuu, naomba uweke sawa hasa pointi yako ya Tundu lisu kitaaluma. Kwa kuwa umejitambulisha kama mtaaluma
Naomba utueleweshe alipokosea
Wabeloya sijakuelewa una lenga nini??? Je Tundu Lissu pamoja na kuwa ni activits alichokuwa akisema kina logic au hakina??? Je Madini ni Renewables au non-renewable?? Je makampuni hayaachi mashimo na uchafuzi mwingine??? Je kama nchi 3 or 4% ya mapato tunayopata kama nchi ni halali??? Je suala la kusema kampuni zilipe cooperate tax baada ya kupata faida, je ni haki kwa nchi??? Je ni lini hizi kampuni kweli zitapata profit??? Ni nani anayekagua kujua kuwa kampuni zinapata faida au hasara ili zilipe Cooperate tax???. Mkataba mzuri ni ule utakao angalia masuala yote ya mahimu katika mkataba kama mapato kwa taifa, shares, uchafuzi wa mazingira na namna ya ku-mitagate matatizo hayo. Good project plan ni ile inayokuwa na mitigation plan wakati huohuo huku uchimbaji ukiendelea na sio kusubiri hadi mwisho wa project kama kampuni nyingi zinavyofanya.
Una maana gani hapo ndg. kwa kuzingatia mahojiano ya hicho kipindi cha Hamza Kassongo?
Mimi siwezi shangaa majibu hayo ya Ole Naiko.....ni bogus sana jamaa. kuna wakati aliulizwa juu ya Wachina kujaa kariakoo kufanya petty bussiness kama wanapata busissiness license kwake (TIC). MMh!...jamaa alijibu ati hao ni familia ya wawekezaji, wanaona badala ya kukaa tu nyumbani nao wanajishughulisha na biashara ndogo ndogo! Akulizwa, je Mtz akienda China anaweza kufanya hivyo? (kufanya biashara bila leseni)...akajibu ...labda inawezekana! Aisee, nilikosa imani na huyu bogus kweli.
Chaajabu humu kuna mabogus ambao wanajiita mining engineers wanasupport kauli ati madini ni renewable!
Baba wa Taifa alikataa madini yasichimbwe hadi hapo Taifa litakapokuwa tayari limejiandaa..
Baada ya kifo chake, ikawa ndiyo fungulia mbwa..kila aliyekuwa ameficha makucha akayakunjua..bahati mbaya wote wamendia treni kwa mbele.
Wanahujumu na kuliangamiza Taifa up and down, right and left!!
Poor my country Tz..
But, sooner and not later they should be held accountable for all this mess..
Shame on you saboteurs !!
Kwa kifupi kabisa elezea Tanzania ifanye nini ili ifaidike na uchimbaji wa madini?Ndiyo maana nikasem wengi wetu huwa tunakurupuka hatujui issue za madini, issue ya non renewable na renewable ni kipengele ambacho ni debetable!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kwa mining engineers wa mwaka wa kwanza anajua kuwa:
Natural minerals are non-renewable because its formation is a time-consuming process. For instance, the petroleum (from which we extract oil) we get today, is a result of billions of years decaying of organic materials due to earth's excessive heat and pressure. Ukienda kwa geologist anaweza akasema tofauti!!!!! na ukachanganya mambo kabisa! na hayo madini kuna natural na artificial ambayo ni non-renewable na renewable respectively! alichokuwa anafanya Ole ni kuongea propaganda ambazo watu watatafsiri tofauti! purely politics! it does not make sense
Sidhani kama kuna mining engineers ayakayesema kinyume na hapo, la kama yupo basi aidha ni kisiasa lakini facts inabaki palepale!!!
Labda nikupe ukweli LISSU KUJADILI HII ISSUE NA HUYO OLE NAIKO NI KUWA HATA LISSU MWENYEWE ANAINGIA KWENYE KAPU LA MABOGUS! issue hii huwezi ukajadili na ole naiko! yaaini aidha Lissu mwenyewe hajui global trend ya mdini worldwide au ana past time!! dawa ya madini duni ya tatu ni kutochimba kabisa.period tukikubali tukubali na hayo mengine yote ambayo hatuna wezo nayo. I believe we can live without mining and yet we can sustain, kama wenyewe wanalipa 3% tu ya kodi, kwanini akina Lissu wasiseme au kuanzisha mchakato madini yasimamishwe??
This is excactly a point, tulitaka globalisation leo tunalia vitu vya mchina, viwanda vinakufa n.k, tulitaka uhuru wa teknolojia watu leo wanaishi na kufanya kizungu!
Tulipokubali tu issue za madini pasi kujua nyuma ya madini kuna nini, basi ni kilio ambacho mazungumzo yetu hayana cha kufanya kwa dunia ya sasa, na hasa sisi ambao viongozi wetu wanaenda kuomba omba fedha za misaada ya bajeti yetu wenyewe!! kusema mikataba, mazingira is bit too late!! though we cant quit but I believe war is cruel in such a way that having debate with Naiko is a joke! I sense politics here!
Naogopa ku-comments "umbumbumbu" wa huyu Naiko bcz atakuja dai tunamwonea kwa kuwa Mmasaai! This guy z unrenewable! Shame on 'her'!¿
kuanzisha migodi lazima uchukue mikopo benki ya dunia
bila kujua soko la madini yako litakuwa wapi, hupati mtaji/mkopo, bila kujua wataalamu gani watakuja kuchimba haupati mkopo/ bila kujua nani mchimbaji na huyo mtu anashirikiana vipi na WB hupati kitu!
Mkuu hizi ni stori za vijiweni na this tells me you are also completely ignorant as to how the mining business inaendeshwa. Pls acha kupotosha wananchi.......... Hizi ni pumba at its best!!!!!
Ndiyo maana nikasem wengi wetu huwa tunakurupuka hatujui issue za madini, issue ya non renewable na renewable ni kipengele ambacho ni debetable!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kwa mining engineers wa mwaka wa kwanza anajua kuwa: