Mpeni sifa Yesu
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 646
- 129
....Wanafurahia? How do you know kwamba wanafurahia? na wale wawili watatu wanaonuna kwa kukwazwa hawana haki?? Sidhani kama ni kweli hii kitu lakini nakupa benefit of doubt. Tukubaliane tu kwamba sio lazima kila kitu kinachofanyika huko nje na wenyewe wakakifurahia basi ni lazima na sisi huku tutakifurahia! Kwa miundombinu gani? Niulize tu kidogo, Je huko nje wanakofurahia mambo kama haya barabara zao ni nyembamba kama zetu??
yaani mtaongea, mtaongea, usiku utaingia, mtalala mtaongea mchana utakuja mnazidi kuongea tu...lakini kama hamtaacha chuki dhidi ya walokole, mtaumia mioyo boreee. wivu tu umewajaa na ile hummer yake...angekuwa 50cent amekuja hapo, au limwanamziki fulani lenye mlegezo mnaruhuru ving'ora, lakini akija mtu wa Mungu anaewasaidia hata dhidi ya shehe yahya, mnafoka..ni matatizo tu ya uelewa..Mungu awasaidie muone kuwa wanamuziki, wanamichezo na vitu vingine kama hivyo si vya muhimu sana kuliko mambo ya Mungu.