Gwajima wa kanisa la Ufufuo na ving'ora barabarani

umekichukia king'ora? au umemchukia alibebwa na ham'ma?
sijaona tatizo, ukiona hivyo si lazima uruhusiwe na mtu
kiongozi wa kiroho ni mkubwa kuliko, kiongozi wa kundi la wezi
hata ana kofia ya kuwa raisi, any way hii ni nchi yetu na wananchi ndiyo sisi,
hata mimi hakuna kitu kinachoniudhi kama makelele ya adhana
Jibu lako linapatikana katika biblia Methali 9.1
 
TZ hata kama umebeba bangi unaweza kupiga king'ora na polisi waka clear njia for you. as long as you are driving an expensive car.

Haa haa haa! Umenikumbusha habari ya juzi ambapo jamaa alikuwa na debe mbili za bangi akasimamisha gari kuomba lift, alipoingia akagundua ni gari la polisi na walikuwapo askari kadhaa huko nyuma, basi jamaa akawa hatulii na mwishowe wakamshtukia na kumkagua!
 
Pic+2.jpg

Msukule aliyerudishwa kutoka msukuleni akipitishwa na wachungaji katikati wa watu ili waweze kumuona vizuri ndani ya Nyumba ya Ufufuo na Uzima katika viwanja vya Tanganyika Packers, kawe jijini Dar es Salaam.

DSC02089.JPG

Mmoja wa misukule fresh from shamba Mohamedi Mustapha, akioneshwa mbele ya maelfu ya watu na Mchungaji Josephat Gwajima katika ibada ya ijumaa ndani ya nyumba ya ufufuo na uzima.

Pic+5.jpg

: Binti, aliyefufuka kutoka kwa wafu akishuhudia uweza na nguvu za BWANA Yesu. Binti huyu mara baada ya kufa tu kaka yake alianza kuomba maombi ya kumrudisha akilitaja jina la Yesu akisema rudisha katika Jina la Yesu na kupambana katika maombi ya nguvu kwa muda wa masaa sita(6) na hatimaye dada yake alifufuka.
Ufufuo na Uzima
 
Hahahahaha alijipeleka mwenyeweeeeeeeee duh si mchezo hii kali.
 
kuna zaidi ya hizo.
 
Dah mm hii sikuijua kabisa kha!
Kakobe nae huwa anapiga piga route za huko sijui atapewa helcopter au kondoo wamekimbia?

ndugu yangu, kuna watu wanapona huko japani si mchezo, hapahapa Dar, kuna watu walikuwa na matatizo ya kufa mtu lakini kwa maombi tu Mungu amewaponya...sisi walokole huwa tunatabia ya kuwapenda na kuwatunza watumishi wa Mungu kwasababu Biblia inataka tufanye hivyo..ndio maana washirika huko japan wanaweza kumnunulia mtu gari ya mamia ya mamilioni kwamba awe anatembelea pale anapoenda kuhubiri mikutano....tumeitwa kuhubiri dunia nzima bila mipaka, sasa wale wanaojifanya wachungaji lakini wanaishia tu kibamba, wanajilimit kuhubiri....kakobe alipoenda korea kama uliona mikutano yake ilikuwa ya mamilion ya watu, walimpeleka kwenye kiwanda cha suti, kuna suti zake special zenye nembo ya saa ya uzima kama kilivyo kipindi chake...uyu gwajima kaanzisha makanisa kibao korea na japan, hapa mnamdharau lakini wenzenu wanaona ana kitu...anabomoa ubudha na uhindu katikati ya japan sehemu ambazo watu wanaabudu miungu mingine, na Mungu anamtumia ajabu...enda kwenye website zake pia utapata picha ndogo sana...wajapani wanaokuja pale kwenye kanisa lake wakikusikia wewe mlala hoi wa bongo unaongea hivyo, wanakushangaa kwasababu wao wameona mengi Mungu amefanya japan...

gctc bofya uone web yao, ukimaliza hapo nenda hapa

Ufufuo na Uzima
 
gctc bofya uone web yao,[/url]

Apart from details on Ministries, picha za waumini na Ziara ya Japan ya Pastor Josephat Gwajima (Founder, Bishop and Senior pastor), these are what most in there...
  • Testimonies: We are sorry, this page is still under construction, please visit next time. God bless you
  • Media and Publication Products:We are sorry, this page is still under construction, please visit next time. God bless you
  • Live Sunday Services on-line: Coming soon!!We are sorry, this page is still under construction, please visit next time. God bless you
  • GCTC school of Ministries:Coming soon!!We are sorry, this page is still under construction, please visit next time. God bless you.
  • Our branch churches (local & international):We are sorry, this page is still under construction, please visit next time. God bless you.
  • Saa ya Ufufuo na Uzima :We are sorry, this page is still under construction, please visit next time. God bless you.
  • Prayer praises:We are sorry, this page is still under construction, please visit next time. God bless you.
  • Donates to support this Ministry:We are sorry, this page is still under construction, please visit next time. God bless you.
KWA NINI HIZO FEDHA ZA KUCHANGIA GARI LA KIFAHARI LA MCHUNGAJI (HAMMER), MAFUTA NA GHARAMA NYINGINE ZA KUFANYA MBWEMBWE BARABARANNI ZISINGETUMIKA KUJENGA KANISA KUBWA ZAIDI ILI KUWAWEZESHA HUU MKUSANYIKO KUKAA SEHEMU NZURI KAMA HAO WENZAO WA JAPAN??.

HIVI HAMUWEZI KUONA WENGI YA WATU KATIKA HUU MKUSANYIKO WANA SURA ZILIZOKATA TAMAA NA WANGEHITAJI PIA SEHEMU ZA HIZO STAREHE ZA MCHUNGAJI KUJIMUDU NA FAMILIA ZAO ??. KAMA WAUMINI WAKO WAPO HIVI, KUNA HAJA GANI YA WEWE KUTEMBEA NA GARI LA KIFAHARI UKIPIGA VING'ORA BARABARANI KAMA NCHI NI YA KWAKO PEKE YAKO?.

NI YALE YALE TUNAYOYAPIGIA KELELE KWENYE SIASA NA HUKO MAKANISANI WATU HAWAYAONI. bADO TUTANDELEA KUWA MASIKINI KWA STAILI TOFAUTI ZA KUNYONYANA!.

Pic+20.jpg

Pic+15.jpg

Pic+1.jpg

Pic+6.jpg

Sehemu tu kati ya watu 400 waliokuwa misukule katika maeneo mbalimbali kama vile mashambani, mapangoni, kwenye misitu, mashimoni, chini ya uvungu, darini, nyuma ya kabati na milango, chini ya bahari, kuzimu, kwa wasoma nyota na sasa wamerudishwa na Bwana Yesu.Watu hawa katika picha wakishuhudia jinsi wachawi walivyowachukua na kuwatumikisha huko msukuleni. Pamoja nao katika picha ni Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima wa kanisa la Glory of Christ Tanzania (Maarufu kama Ufufuo na Uzima)
 
Kuna watu wanafanya makusudi kutoelewa lengo zima la Thread hii na badala yake wanaanza kuingiza Udini. jamani suala ni kwamba hata mtu awe na uwezo wa kufufua mtu, ambalo ni jambo la kujadili, bado analazimika kufuata taratibu na sheria za nchi. Utukufu wake haupaswi kuwa karaha kwa wengine. Iwapo kila mtumishi wa Mungu kuanzia Mama Rwakatare, Lusekelo, Sheikh Mkuu, Kakobe na wengineo kila wanapokwenda na kurudi safari zao kila mmoja aamue kutumia ving'ora kuwasukuma kando watumiaji wengine wa Barabara kwa kisingizia kuwa waumini wao ndivyo wanavyotaka nchi hii itakuwa Vurugu Tupu! Utukufu ni pamoja na uwezo wa kuwaambia waumini wako kwamba nipelekeni tu nyumbani kama wengine wote wanavyowenda nyumbani na sio kwa Ving'ora!!!
 
hiki kitu ni kigeni kwenye nchi hii, lakini nchi zingine ni kitu cha kawaida na wanalifurahia si kawaida...zoeeni, itafikia kipindi mtazoea tu...kama mmekwazika mpelekeni mahakamani, msipige kelele hapa..kama hamuendi mahakamani, kaeny kimyaaa
 
mtu kajinyonga,akafa eti wamemfufua...mweh!???!

hata mimi nilikuwa siamini na nilikuwa naona kama mazingaombwe, lakini nilipoenda kuona kwa macho yangu, na nikashuhudia vitu vingi, nikatambua ya kuwa, hakuna kitu kigumu kwa Mungu, Mungu anaweza yote, "mtu akiniamini mimi, kazi hizi nizifanyazo nayeye atazifanya, naam na zaidi ya hizo", pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma toeni pepo...., Yesu alifufua lazaro hivyo unaweza kufanya kitu kikubwa kuliko kile cha kumfufua lazaro ambacho hata Yesu mwenyewe hakufanya,ndo maana alisema ametupatia mamlaka kufanya mambo makubwa kuliko yale aliyoyafanya yeye kama tukimwamini..hii ni mistari kadhaa tu ya kukusaidia, nenda pale kaone kwa macho yako, ndo utakuja kutoa point vizuri..God bless you.
 
umekichukia king'ora? au umemchukia alibebwa na ham'ma?
sijaona tatizo, ukiona hivyo si lazima uruhusiwe na mtu
kiongozi wa kiroho ni mkubwa kuliko, kiongozi wa kundi la wezi
hata ana kofia ya kuwa raisi, any way hii ni nchi yetu na wananchi ndiyo sisi,
hata mimi hakuna kitu kinachoniudhi kama makelele ya adhana

Pole we !
 
Jamaa alifanya upuuzi starehe kama hizo azisubiri mbinguni sio hapa. Maana kwa kufanya hivyo inawezekana kasababisha vifo vingi tu, maana bara barani kuna watu wanawahi wagonjwa, madaktari , na wengine wana wagonjwa na wengine wana presha.

Huu ni upuuzi ambao hautakiwi kuwa entertained duniani maana dunia suiyo ya wakrosto mtu wapo waislam na wapagani pia. Ukuu wako kanisani kwako usiulete mitaani. Harafu hawa mi najua ni wezi tu woote mnawajua. mliosoma pyschology mnalitambua hilo.. Yesu ambaye alikuwa na ambaye ndo roll model yao aliishi maisha ya kifahari kama yao? ukiangalia kihivyo utaona kama ni matapeli ambao wametapeli wamepata pesa nyingi sasa zimewalevya.

Ukitaka kujua angalia trends zao kakobe alifikia akaanza kuingia mpaka kwenye siasa, na kubishana na serikali, na huyu mwingira msikilizeni siku hizi utaona ni uhuni tupu. huyu lwakatale ameingia kwenye siasa . . . . sijui kama anaweza kutumikia mabwana wawili. pesa mbele
 
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni na mtazamo wake hapa na sio kushambuliana mzee. Kama umeelewa somo, chukua hatua za kiuungwana.

Tuendelee kuchangia mada kwa amani na upendo mzee.
Shukran Ngoshwe. U said it ALL!
 
hiki kitu ni kigeni kwenye nchi hii, lakini nchi zingine ni kitu cha kawaida na wanalifurahia si kawaida...zoeeni, itafikia kipindi mtazoea tu...kama mmekwazika mpelekeni mahakamani, msipige kelele hapa..kama hamuendi mahakamani, kaeny kimyaaa

....Wanafurahia? How do you know kwamba wanafurahia? na wale wawili watatu wanaonuna kwa kukwazwa hawana haki?? Sidhani kama ni kweli hii kitu lakini nakupa benefit of doubt. Tukubaliane tu kwamba sio lazima kila kitu kinachofanyika huko nje na wenyewe wakakifurahia basi ni lazima na sisi huku tutakifurahia! Kwa miundombinu gani? Niulize tu kidogo, Je huko nje wanakofurahia mambo kama haya barabara zao ni nyembamba kama zetu??
 
umekichukia king'ora? au umemchukia alibebwa na ham'ma?
sijaona tatizo, ukiona hivyo si lazima uruhusiwe na mtu
kiongozi wa kiroho ni mkubwa kuliko, kiongozi wa kundi la wezi
hata ana kofia ya kuwa raisi, any way hii ni nchi yetu na wananchi ndiyo sisi,
hata mimi hakuna kitu kinachoniudhi kama makelele ya adhana

Mkuu Anyisile,

Hivi nchi hii ina maaskofu wangapi na hasa walioko Dar Es Salaam? Hivi kila anayejiita Askofu akiamua kusafiri kwa kuongozwa na gari lenye king'ora itakuwaje? Si itakuwa kero mjini? Hawa watu wenye uaskofu wa kujipachika wenyewe wana vituko visivyo vya kawaida na kimojawapo ni hiki!!!

Tiba
 
Back
Top Bottom