Greetings!!!!

JS

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
2,064
499
Hamjambo ndugu zanguni za JF?? za masiku kaka na dada zangu??? Niliwamiss kweli katika kipindi hiki kifupi ambacho sikuweza kuwa jamvini kwa sababu za ugonjwa. Lakini nimerudi mzima wa afya kwa sasa.

Geoff vipi mipango inaendeleaje????

Fidel mbona hujanitafuta unipe ile michango au ushaila?????

Xspin i love you so much brother

Kaizer thank God you are my friend

Wapwazz na Binamuz wengine wote tuendeleze libeneke la JF na nawapenda wote..

icon12.gif

mipango ilisiizi baada ya wewe kusiizi...!niaje?
michango yako anayo fidel
 
Hamjambo ndugu zanguni za JF?? za masiku kaka na dada zangu??? Niliwamiss kweli katika kipindi hiki kifupi ambacho sikuweza kuwa jamvini kwa sababu za ugonjwa. Lakini nimerudi mzima wa afya kwa sasa.

Geoff vipi mipango inaendeleaje????

Fidel mbona hujanitafuta unipe ile michango au ushaila?????

Xspin i love you so much brother

Kaizer thank God you are my friend

Wapwazz na Binamuz wengine wote tuendeleze libeneke la JF na nawapenda wote..

icon12.gif

JS

Love you too sisy. mic u too! proud of you!
 
pole JS ingawa hukutoa taarifa ya hako ka ugonjwa kako, anyway...karibu tena jamvini, tupate new issues
 
Ehe nambie sala zangu zimefanya kazi? Manake hujanipa updates ya kale kakitu.

Zimefanya sana kazi yani kama si sala zako sidhani kama ningekuwa hapa JF saa hivi.
 
pole sana chweet, karibu tena leo tulikuwa tunakula samaki
 
Hamjambo ndugu zanguni za JF?? za masiku kaka na dada zangu??? Niliwamiss kweli katika kipindi hiki kifupi ambacho sikuweza kuwa jamvini kwa sababu za ugonjwa. Lakini nimerudi mzima wa afya kwa sasa.

Geoff vipi mipango inaendeleaje????

Fidel mbona hujanitafuta unipe ile michango au ushaila?????

Xspin i love you so much brother

Kaizer thank God you are my friend

Wapwazz na Binamuz wengine wote tuendeleze libeneke la JF na nawapenda wote..

icon12.gif

JS

You are welcome JS,, Nipo tu thank God u are better now! I am proud of you!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom