Grade za mishara ya serikali

kabye

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
355
39
JF naitaji kujuwa grage za mishara za serkali kuanzia chini adi juu, plz naomba anayejuwa anifamishe, And if possible attach the grade doc.
 
Oya! inategemea na field husika which field are you interested?
 
Oya! inategemea na field husika which field are you interested?

inategemea mwajiri wako ni nani pia. Computer techinian wa halimashauri ya wilaya ni tofauti na computer techinician wa TRA
 
Kama wewe ni Computer Tech, kwa nini unauliza Grade nyingine? Soma tangazo la nafasi ya computer tech utaona ngazi ya mshahara wako.
 
sawa, kwa mfano mshaara wa mwalimu aneanza kazi?, mi nataka kufaamu grade eg TGSS ...... etc plz nijuze
 
Back
Top Bottom