Gone Too Soon: RIP JF Member.....Chetuntu!!!

Kwa hiyo kifo si mpango wa Mungu mkuu?..........Hata mtu anapozeeka na kufikia ukomo bado ni mpango wa shetani? Hili ni fumbo la imani aisee.....
kuna umuhimu wa sisi na vyombo vya dola kuvichunguza na kuzikataa hizi 'new edition religions'.

Mkuu;
....ni mpango wa shetani,...!
Mkuu kwa mara ingine naomba kama huna neno zuri la kuchangia hapa nyamaza tu,unatuongezea machungu,thread hii sio ya malumbano ni kutoa pole na kufariji.
 
Aisee kumbe ni kutokujua yaani Leo ndo nimetoka kigoma tena nilikuwa kikazi pale msalaba mwekundu nikaskia hizo habari lkn sikujua kama ni JF member ila huo msiba umegusa wengi sana watu walikuwa na simanzi sijapata ona kama Finance wao Michael alihuzunika vibaya.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la Bwana libalikiwe.
 
R.I.P Chetuntu
Mwenyezi Mungu awafariji wote walioguswa na msiba hu na hasa baby boy wake

God,...imenigusa
Asante Babu kwa taarifa
 
Hii imenikumbusha kuwa tuko safarini, siku wala saa tusioijua Mungu atatuhitaji.............tujiandae. Moyo wangu unasikitika pamoja na familia yake ya nyumbani na Jf family pia. Ni ngumu kukubali hali halisi kibinadamu lakini ndio hakuna rufaa. Moyo wangu pia uko kwa mtoto wake mzuri aliyetuachia, namuombea faraja pekee ya Mungu imfariji, Mungu ampe walezi wazuri watakao mjali, kumthamini na kumpenda.
 
Wadau sikuwa hewani kwa wiki kadhaa, leo nimeangalia kwenye avatar ya CHETUNTU NIMEONA PAMEANDIKWA RIP(DEAD)Nimeogopa na kushtuka ,Ni kweli ndivyo ilivyo au! najua alikuwa mdau mkubwa na ndio nilimwoba urafiki ...naomba taarifa ilikuwaje na lini!
 
riptombstoneballoon.jpg
 
RIP blessed soul, its very painful to lose life while giving life, God help us to count our days duniani, I have gone to labour 3 times and God helped me and my children lakini kifo chatembea nasi sote la muhimu ni kumshukuru Mungu kila iitwapo leo kwa kuona siku mpya na kuwaombea waliotangulia,
This has pained me a lot
 
Back
Top Bottom