Goli la Messi: Uchambuzi na utangazaji wa soka ni jambo lisilo na misingi ya kuzingatia bali ni kila mtu na mtazamo wake

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,034
144,387
Katika mechi inayoendelea muda huu, mshambuliaji Messi kafanya kazi ya ziada iliyopelekea Argentina kupata bao la kuongoza baada ya kutoa pasi nzuri kwa mfungaji.

Kazi kubwa aliyofanya Messi ingefanywa na mchezaji mwingine, sifa zingeenda kwa mfungaji wa bao(mmaliziaji) na sio alietengeneza nafasi(Messi) kwa mfungaji

Na hii ndio kawaida kwenye soka anaefunga ndio anabeba sifa hata kama alitengenezewa nafasi akabaki yeye na kipa ili kumalizia na alietumia uwezo binafsi kutengeneza nafasi kwa mfungqji anaweza kusahaulikq ndani ya muda mfupi?

Swali ni je, kwanini hali hii huwa ni tofauti kwa wachezaji maarufu ambao wakisaidia kupatikana bao, husifiwa wao zaidi kuliko hata waliofunga goli?

Uchambuzi wa soka ni kama movie tu ambapo stelingi siku zote hafi na Katika soka, ukiwa star, basi wewe unakuwa ndio stelingi muda wote unasifiwa.
 
Katika mechi inayoendelea muda, mshambuliaji Messi kafanya kazi ya ziada iliyopelekea Argentina kupata bao la kuongoza.

Kazi kubwa aliyofanya Messi ingefanywa na mchezaji mwingine, sifa zingeenda kwa mfungqji wa bao(mmaliziaji) na sio alietengeneza nafasi kwa mmlaliziaji(Messi)

Na hii ndio kawaida kwenye soka anaefunga ndio anabeba sifa hata kama alitengenezewa nafasi akabaki yeye na kipa ili kumalizia na alietumia uwezo binafsi kutengeneza nafasi kwa mfungqji anaweza kusahaulikq ndani ya muda mfupi?

Swali ni je, kwanini hali hii huwa ni tofauti kwa wachezaji maarufu ambao wakisaidia kupatikana bao husifiwa kama au hata kuzidi waliofunga goli?

Uchambuzi wa soka ni kama movie tu ambao stelingi siku zote hafi na Katika soka, ukiwa star, basi wewe unakuwa ndio stelingi muda wote unasifiwa.
Messi ameasisit TU .Goli siyo lake.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Salary Slip unaangalia mechi hii hii ya Uholanzi na Argentina? Messi ametoa pasi ya goli. Kiukweli anastahili sifa. Ila hajafunga bado..
Sijui kama umenielewa. Ni kweli Messi kafanya kazi ya ziada na kumpa pasi mfungaji.

Hoja yangu hapa ni kuwa, kazi aliyoFanya Messi ingefanywa na mchezaji mwingine, sifa zingekuwa za kawaida tu na sifa nyingi zingeenda kwa mfungaji, ila kwa hii assist ya Messi, hali imekuwa tofauti hata mfungaji anaweza kufunikwa.
 
Sijui kama umenielewa. Ni kweli Messi kafanya kazi ya ziada na kumpa pasi mfungaji.

Hoja yqngu hapa ni kuwa, kazi aliyoganya Messi ingefanywa na mchezaji mwingine, sifa zingekuwa za kawaida tu na sifa nyingi zingeenda kwa mfungaji ila kwa hii assist ya Messi, hali imekuwa tofauti hata mfungaji anaweza kufunikwa.
Sasa Mkuu anapohusika Messi kuna wa kumfunika? Ni jambo la kawaida tu. Superstar prevails always!
 
Wewe utakua sio shabiki mkubwa kama mimi, nishawai wauliza watu swali hili hili kwanini mastaa wapewe sifa zote? Kuna jamaa akanambia Messi hata akikojoa tu uwanjani utasikua kojo la messi limeubadili mchezo
 
Sijui kama umenielewa. Ni kweli Messi kafanya kazi ya ziada na kumpa pasi mfungaji.

Hoja yangu hapa ni kuwa, kazi aliyoganya Messi ingefanywa na mchezaji mwingine, sifa zingekuwa za kawaida tu na sifa nyingi zingeenda kwa mfungaji, ila kwa hii assist ya Messi, hali imekuwa tofauti hata mfungaji anaweza kufunikwa.
Kila SIKU nakwambiaga ACHA Wivuuu
 
Katika mechi inayoendelea muda, mshambuliaji Messi kafanya kazi ya ziada iliyopelekea Argentina kupata bao la kuongoza baada ya kutoa pasi nzuri kwa mfungaji.

Kazi kubwa aliyofanya Messi ingefanywa na mchezaji mwingine, sifa zingeenda kwa mfungaji wa bao(mmaliziaji) na sio alietengeneza nafasi(Messi) kwa mfungaji

Na hii ndio kawaida kwenye soka anaefunga ndio anabeba sifa hata kama alitengenezewa nafasi akabaki yeye na kipa ili kumalizia na alietumia uwezo binafsi kutengeneza nafasi kwa mfungqji anaweza kusahaulikq ndani ya muda mfupi?

Swali ni je, kwanini hali hii huwa ni tofauti kwa wachezaji maarufu ambao wakisaidia kupatikana bao, husifiwa wao zaidi kuliko hata waliofunga goli?

Uchambuzi wa soka ni kama movie tu ambapo stelingi siku zote hafi na Katika soka, ukiwa star, basi wewe unakuwa ndio stelingi muda wote unasifiwa.
Ukiingia mgahawani kula , ukala chakula kitamu sana , sifa zinaenda kwa weita aliyekuletea chakula mezani au mpishi ? Hahahhaaa
 
Back
Top Bottom