Godfrey Monyo wa ITV atupia gwanda bila woga

Kwahiyo Nape anavyovaaga naye utamwita mwanachama wa magwanda? Mimi ni injinia na kwenye kazi yangu huwa navaa kombat, na mimi mtaniita mwana magwanda pia??
Acheni kulink vitu bila kureason.

U must accept kwamba,Gwanda lina mvuto wa kipekee,ndio maana hata Nape analihusudu. Niliwahi kupropose humu jamvini Gwanda ndio liwe Vazi letu la Kitaifa. Rejao ww unasema vipi? Viva and long live magwanda!!
 
Hutaki au unataka kujifananisha na mimi!

sijabisha kua wewe ni engineer, nnachosema ni kwamba haijawahi tokea mbinguni, duniani na hata motoni engineer kilaza kama wewe,mark my words,,,,nijifananishe na kilaza!!,, si yatakua maajabu ya dunia!!
 
kwa wadau mliokuwa mkiangalia taarifa ya habari ya ITV, mtakuwa mmemshuhudia mtangazaji huyu akiwa ametupia gwanda na kuripoti habari zake akiwa hapa jijini, hii inaonyesha hata waandishi wa habari wameanza kufunguka na kuachana na woga sasa wako huru, hongera monyo, wapo wachache wenye ujasiri kama wako

Eeeeeee mpaka kieleweke
 
kweli watu wana fikra finyu. Mwandishi kuvaa sare ya chama ni sifa! Upeo wa mtoa mada bado mdogo. Baadaye atasema polisi ni chadema na mgambo wote
 
Back
Top Bottom